Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Sasa unakuta dada ana vigimbi kama mcheza mpira unategemea video: http://t.co/XLQGTiqXs0
sketi ili achekwe. Mf, kuna dada mmoja tulikuwa tunasoma nae chuo huwezi amini kuanzia mwaka w kwanza mpk tunamaliza chuo hakuwahi kuvaa sketi. I wonder yule dada alikuwa anaficha nn?![/QUOTE]

labda mkorogo ulidunda, usoni mweupe miguuni Pepsi.!!
 
....jamani jamaniiii.....

....1: ♡♡♥♥○●● mie mwanamke avae chupi na kanga moja weeeeeeee namfuata tu hadi sikuwa na safari ya aendako ntaenda.... awe na KABAANG yenyewe...
...2: avae dela rojorojo na yeye awe na kabaang kajazia afu rojorojo na chupi tu basii...nakufa akili haiwazi chochote hadi asionekane au namfuata hadi niongee nae....!!!!.

hii Tabia ipo sana uswahilini kwetu.
Halafu kanga ikipulizwa na upepo anajifanya kurudishia kimapozi.

wananikera kweli maana ni mitego ya wazi.!!
 
Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.

Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.

Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!

Mwanamke alievaa sket huonyesha miguu na kumpa uhuru mwanaume sababu kuna mwanaume anampenda mwanamke sababu tu anamguu mzuri so hawez kuuona kama amevaa suruali
 
si kweli kama mzuri mzuri tu na si suruali wala scat fikilia tena au rudi darasani

watu wengine mnapenda kukurupukia wenzenu,we umeona kwenye comment yangu ina uhusiano na hicho ulichoniandikia.
 
unasema skirt gani? zile zenye mpasuo hadi kiunoni? zile zinazo gusa ardhi? zile zinazo ishia kwenye magoti?

lakini skirt azimpendezi kila mwanamke ukilinganisha na suruali. kila mwanamke ana weza kuwa na sababu zake nyingi za kuto vaa skirt.
 
Mwanamke alievaa sket huonyesha miguu na uhuru mwanaume sababu kuna mwanaume anampenda mwanamke sababu tu anamguu mzuri so hawez kuuona kama amevaa suruali

tukubaliane mwanamke anaevyaa sketi licha ya mvuto anajiamini.!!
 
kwel madm mama wakwe wanakera sana hususan ukute mnaishi under the same roof looooooooooooh mpaka mume anaweza shangaaa
 
Nimecheka sana hata chakula nilichokuwa nakula nimeshindwa kukimaliza

Muwe mnakula kwanza kisha ndo mnachokorachokora kwenye komputer.......Utamaduni gani huo wa kula huku unachezea komputa?? Ah umeniboa kweli......Sasa hicho chakula kilichokushinda kula utakila tena baadaye ama ndo utakitupa???????
 
Back
Top Bottom