Ladies Only: FIND YOUR DREAM PARTNER

Fmewa

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
292
81
Jamani wana jamvi habari zenu dada zangu. pamoja wale kaka zangu ambao mmeingia hapa kwa bahati mbaya.
Leo nimeona nishirikiane na ninyi kuhusu jinsi ambavyo naweza kumconnect mtu (lady) kupata a foreign prtiner kutoka bara la America, Ulaya na nchi nyingine za magharibi. hivyo nimeona niwashirikishe watu katika jamvi hili ili kama kuna ambaye atapenda basi tuwasiliane.
Kwa kifupi ni kwamba kazi yangu ni kuwaunganisha wanawake wa ki-africa hasa tanzania ambao wangependa kudate, kucorrespond au kuolewa na wanaume ambao wanaishi katika maeneo yaliyotajwa hapo juu. tuna taarifa ktk database yetu zinazotumwa na wanaume tofauti ambao wanapenda kudate au kuoa wanawake wa kiafrica. hivyo huyu dada atakachotakiwa ni kutoa taarifa zake halisi na picha yake na mawasiliano yake halafu tutamsajili ili nae aweze kuona au kuwasiliana na watu ambao wanatafuta african ladies. Katika huduma hii mwanamke wa kitanzania hatalipa gharama yoyote bali anachotakiwa kufanya ni kutoa taarifa zake halisi na picha yake halafu mambo mengine yanaendelea.
If you feel to interested please send your name, age, and phone number to nguima@yahoo.com.
You are all welcome
Weekend njema
 
Kazi ipo, niache wanaume wetu wa kiafrica wamoto nikang'ang'ane na za baridi kama za frijini.

Dunia ina mambo!
 
mkuu nimeshakutumia details zangu pamoja na picha,mi nataka wa usa kama watakuwa interested,natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Mi nataka demu wa kizungu nisaidie nikate cycle ya umaskini.
 
Unapata nn kutokana na mission ya namna hii? Dunia ina mambo kwelia!
 
Mambo yake yako kiaina
linapokea posho ya kujikimu toka nchini kwake
haimalizi hata wiki 2 lishamaliza
linaanza kukopa
afu matatoo mwili mzima hadi nanii limeichora kobra

Mambo yake yakoje?
 
Mambo yake yako kiaina
linapokea posho ya kujikimu toka nchini kwake
haimalizi hata wiki 2 lishamaliza
linaanza kukopa
afu matatoo mwili mzima hadi nanii limeichora kobra
Khaaa. . kumbe mtu mwenyewe ndio hivyo?

Fynest embu fanya unitake radhi HARAKA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom