Ladies Na Pairs Luluki Za Viatu: Why?

Jamani mbona ni kitu ya kawaida, viatu pia ni ugonjwa wangu, I have 70 pairs so far pure authentic. lol. Lakini huwa natoa ambavyo sivai maana napigiwa kelele kilasiku sehemu ya kuviweka and can't stop having more....

Ngoja nikupe ustaarabu wa kutumia kwa wale watu wenye viatu pair nyingi na huna nafasi ya kutosha ya kuweka.

Vile viatu ambavyo ni vya mitoko maalum (kwa hapa utakuwa navyo kaa 40 hivi) kila kimoja unakipiga picha na kubandika picha yake kwenye box lake kwa nje, kisha unaviweka kabatini kwa kuvibebanisha.

Ukikihitajia kukitumia, huna haja ya kupekua mabox yote, unaangalia picha tu unachomoa box lako, unavaa

:wacko:
 
Gaijin

Nimefunguka macho kwa maelezo niliyoyapata hapa.

Vilipofika pairs 30 nilianza zogo kukawa hakuna amani home. Hakika somo halikueleweka kabisa. Nikaona ngoja nilifanye issue, ndo sasa ikawa kama hivyo.

Afadhali handbags zinaweza kufika 30 labda.

Mawig nayaona kama 10 ingawa mengine hayajavaliwa. Binti mwenyewe ni mzuri sana. Nywele kama za Eva. Uzuri wake ni wa kuzaliwa. Kila vazi linamkubali. Sasa hata sijui na haya mawigi ya nini.

mkuu. kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue kwamba ndio unamuelewa. hawa viumbe wana miujiza kuliko ya moses.
 
Gaijin;

Nimeshakushtukia. Tuambie ukweli, wewe una pair ngapi?
Mmmmmh!
 
Kila mtu ana addiction yake na wanawake wapo wengi tu wenye addiction na viatu.

Huyu Eva ni yupi? Au mama wa wanaadamu? lol

Ndo ufashionista wenyewe huo, mawigi kumi, na vikorombweza vyengine kuhakikisha anapendeza kwa kutoka na mionekano tofauti.

* Ila hapa kwenye mawig hata mie nataka kuelezwa. Unajiskia vipi?
 
mkuu. kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue kwamba ndio unamuelewa. hawa viumbe wana miujiza kuliko ya moses.

Klorokwini una maneno wewe. Duh! @miujiza kuliko ya moses....lolz

Gaijin;

Nimeshakushtukia. Tuambie ukweli, wewe una pair ngapi?
Mmmmmh!

Hapo mkuu 'shhhhhh......usimwambie mtu'
 
Kila mtu ana addiction yake na wanawake wapo wengi tu wenye addiction na viatu.

Huyu Eva ni yupi? Au mama wa wanaadamu? lol

Ndo ufashionista wenyewe huo, mawigi kumi, na vikorombweza vyengine kuhakikisha anapendeza kwa kutoka na mionekano tofauti.

* Ila hapa kwenye mawig hata mie nataka kuelezwa. Unajiskia vipi?

We acha tu. Ana nywele ndefu saana. Sasa kuna kipindi alizikata akasema anataka awe kama Bob Brown sijui (Bana mimi hata sijui nani - LOL). Sasa nadhani labda hakutoka kama alivyotarajia. Sasa akaibukia kwenye mawigi.

Nikampasha kuwa yuko bomba zaidi bila mawigi. Akaishia kuyavaa mawili tu au matatu. Mengine yapo tu. Sasa hivi nywele zake zishakuwa ndefu.

Mmh! Siku akisoma hapa hata sijui itakuwa vipi . . . itabidi niseme kuna mtu aliiba ID yangu . . . . LOL
 
Siku akisoma hapa hata sijui itakuwa vipi . . . itabidi niseme kuna mtu aliiba ID yangu . . . . LOL

Shauri yako mwenyewe .......pengine yumo humu humu.

Wanawake wanataka kusifiwa tu, wewe kila asipotumia wigi ukimsifu kuwa katoka bomba basi ataacha kuvaa mawigi.

Lakini waswahili wanasema 'kiingiacho mjini si haramu', so let her enjoy akijukuu apate cha kuhadithia :)
 
mkuu. kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue kwamba ndio unamuelewa. hawa viumbe wana miujiza kuliko ya moses.

Daaahhh Klorokwini kulikoni miujiza zaidi Musa??? Jamani kwani ulitendwa na kupatwa na maswahibu gani hasa mpaka useme hvyo
 
Daaahhh Klorokwini kulikoni miujiza zaidi Musa??? Jamani kwani ulitendwa na kupatwa na maswahibu gani hasa mpaka useme hvyo
hakuna maswaibu yoyote, naongelea syllabuss ya kinamama kama ilivyoandikwa na Mungu. mbona mimi naona huitaji dikshineri kuona miujiza ya kinamama. au mimi ni mteule ndio maana naiona?
 
hata mimi ningekua sigawi viatu ningekua navyo zaidi ya pair 100 ndani ya hiyo miaka 4.ila huwa nna tabia ya kuvigawa nikienda kijijini,pia hata napoona sivihitaji tena huwa nawapa wanaohitaji.maana kuna kipindi vinaisha fashion au unakua una rangi nyiingi sana hivyo napunguza.kwa sasa nna pair kama 30.
mwambie tu superlady wako avigawe vingine maana vitaharibika na ataishia kuvitupa.
 
Sio viatu tuu. Yaani hata kama ametoka kununua kitu flani jana, leo utaona anafanya window shopping ya kitu kile kile. Pengine sababu ni kwamba bei ya baadhi vitu vyao si kubwa.
 
pair 100 ni nyingi sana, ingekuwa bora hagawe kwa kuwa bado ataendelea kununua, mwisho wa siku vitaonekana ni karaha hm, au mwenzetu anataka kufungua duka?
 
kwa kweli hakuna mwanamke Nyewza kuisi na pea mbili za viatu labda awe hana uwezo lkn pia 100 ni nyingi!
kuna nguo huwezi vaa na flat shoes,na wkt mwingine unapenda kuvaa flat,na huwezi kuwa na vya rangi moja lazima kila nguo uvae na kiatu kinachoendana nayo.
Ila kila mwanamke ana kitu chake anapendelea zaidi,wengine viatu hata awe navyo vingapi hatosheki,wengine perfum ,wengine wanacolect handbags n.k.

Kwanye swala hili ni vema wanawake wakaachwa watoe busara zao, hakuna mwanaume anayeweza kuelewa ni kwanini wanawake wanakuwa na pea 50 za viatu. Nilijaribu kujiuliza mpaka leo sijapata mantiki wala jibu. Sisi wanaume ukiwa na pea mbili au tatu zinatosha sana. Na tunanunua viatu kutokana na mahitaji yanayoendana na kazi zetu, kama ni mvuta mkokoteni basi inabidi unanunua viatu vya kazi hiyo, kama mkulima basi buti. Lakini kama unaenda shambani na mwana mama unaweza kushanga hata buti zinanunuliwa pea tano. Kwa hiyo hilo wao wenyewe ndio wanalijua.
 
Tunaenda na Fashion Kila kiatu kinachoingia tunajitahidi kama pesa iko tunaenda sambamba .
kama pesa hakuna tunaacha hiyo aina ipite
Ukizingatia mambo ya kumechisha,,hapo me umenigusa .
 
Tunaenda na Fashion Kila kiatu kinachoingia tunajitahidi kama pesa iko tunaenda sambamba .
kama pesa hakuna tunaacha hiyo aina ipite
Ukizingatia mambo ya kumechisha,,hapo me umenigusa .

Haya asanteni, somo limeeleweka sasa.
 
Sio viatu tu, kuna kitu hereni. Watu wana pairs hadi mia tatu.
Sometimes tunanunua vitu eg viatu tukifika home tunaviona kama vibaya au unavaa mara moja unakikinai unakiacha unatafta kingne. Ndio maana tunajikuta tunarundika.
Kila mtu na hobi yake. Wengne wapo radhi wasile ila watoke bring bring.
 
mmmh kiukweli ninapenda viatu sana
ila nikishanunua hata sivivai tena sivifeel tena kiviile
sijui ni kwanini?
 
Ni kawaida, binafsi nina pair kibao za viatu but vikiwa vingi sana na vikipitwa na wakati huwa nagawa.
But kwakweli I like kununua viatu na pichu na nikiingia dukani tu maadamu nina hela nikikuta pichu nzuri na viatu vizuri nabeba
 
Back
Top Bottom