Ladies Na Pairs Luluki Za Viatu: Why?

Its great to be a woman! Nina -
Viatu vya height tofauti...flatties, six inches, 2 inches no-inches etc...
Viatu vya colour tofauti..blue-black, Hot pink, Fuschia, Dark brown..light brown, damu-ya-mzee etc...
Viatu vya texture tofauti...leather, imitation, crocodile skin, snake-skin, velvet, satin...etc
Viatu vya designers...(imitation)..Gucci, Chinese Cucci, Next, Nine West, Masai, Kariakoo etc
Viatu vya asubuhi, mchana, usiku, Kparty, Wedding, Dinner, office party, Kiduku etc
And the list goes on.....
 
Viatu vya designers...(imitation)..Gucci, Chinese Cucci, Next, Nine West, Masai, Kariakoo etc

Hapo mimi ndiyo huwa nashangaa. Unakuta mdada kajikwatua kwelikweli...juu kakupigia BeBe (authentic), Marc Jacobs shades (authentic), handbag ya Balenciaga (knockoff), viatu Manolos (knockoff)......sasa hapo mtu utapigwa changa la macho na kudhani 'yeeah..she's ballin' kumbe wapi....
 
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.

Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.

Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?

Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?

Du!spouse wako kiboko kama Imelda Marcos..Ina maana hatupi viatu? ananunua tu?
Nadhani viatu ni kati vya vitu ambavyo wanawake wanahusudu kwenye maisha yao...
 
Gaijin, swali zuri. But what if you want to keep up with the Joneses but you ain't got the wherewithal? That's when you turn to knockoffs....

Knockoffs bora za nguo unaweza usishtukie, viatu noma.

Besides kwani lazima uvae vitu vyenye majina ndo upendeze?

Kwangu naona kuvaa knockoffs ni kama kujidanganya mwenyewe tu.
 
Knockoffs bora za nguo unaweza usishtukie, viatu noma.

Besides kwani lazima uvae vitu vyenye majina ndo upendeze?

Kwangu naona kuvaa knockoffs ni kama kujidanganya mwenyewe tu.

Siyo lazima uvae au ubebe vitu vyenye majina. Ni mambo ya perception na status symbol tu.
 
Mkubwa ni aina gani ya ladies unayoongelea? As far as I know majority of Tanzanian ladies hawana hata pair 2 za viatu. Kwao kandambili ndo viatu. Make it clear kind of a lady that ur spouse is,ili niweze changia.
 
Mkuu si ushaambiwa kuwa wake ni the kind who has 100 pair of shoes au?

Apparently wake yeye hayumo kwenye kundi la majority.
 
Du!spouse wako kiboko kama Imelda Marcos..Ina maana hatupi viatu? ananunua tu?
Nadhani viatu ni kati vya vitu ambavyo wanawake wanahusudu kwenye maisha yao...

BJ
sio mbaya kuhusudu lakini angalieni na ka uwezo basi, sio baba mbeba zege ,mama hauz waifu halaf mnakomaa na pair 100 na mkieleweshwa hamkawii kuweka hunger strike.
 
QUOTE=Gaijin;Mkuu si ushaambiwa kuwa wake ni the kind who has 100 pair of shoes au?

Apparently wake yeye hayumo kwenye kundi la majority.

Nimekusoma mkuu. I wast just being curious.
 
Jamani mbona ni kitu ya kawaida, viatu pia ni ugonjwa wangu, I have 70 pairs so far pure authentic. lol. Lakini huwa natoa ambavyo sivai maana napigiwa kelele kilasiku sehemu ya kuviweka and can't stop having more....
 
Ama kweli maisha hayaishi kunishangaza.

Kugawa viatu pia anagawa na hapa ndo maana nashangaa zaidi.

last Sunday kulikuwa na Kitchen Party, pair mpya ikanunuliwa.

Leo kuna SendOff, mambo ni yale yale kuna vingine.

Viatu vyenyewe afadhali vingekuwa bei ya kariakoo . . . sometimes mtu unaweza kubwaga manyanga.

Ni vile tu nampenda sana Shem wenu . . .
 
Shoping za kina mama/dada huwa hazichagui siku akipenda kitu kinanunuliwa. Viatu na Handbag lazima uwe nazo za kutosha
 
Superman

Afadhali wa kwako anasubiri kuwe na occasion, wengine wakijiskia stress kidogo tu, huenda kufanya shopping ya viatu.

Akiwa anaumwa kidogo ili ajisikie afadhali, kinanunuliwa kiatu.
 
Superman

Afadhali wa kwako anasubiri kuwe na occasion, wengine wakijiskia stress kidogo tu, huenda kufanya shopping ya viatu.

Akiwa anaumwa kidogo ili ajisikie afadhali, kinanunuliwa kiatu.

Gaijin

Nimefunguka macho kwa maelezo niliyoyapata hapa.

Vilipofika pairs 30 nilianza zogo kukawa hakuna amani home. Hakika somo halikueleweka kabisa. Nikaona ngoja nilifanye issue, ndo sasa ikawa kama hivyo.

Afadhali handbags zinaweza kufika 30 labda.

Mawig nayaona kama 10 ingawa mengine hayajavaliwa. Binti mwenyewe ni mzuri sana. Nywele kama za Eva. Uzuri wake ni wa kuzaliwa. Kila vazi linamkubali. Sasa hata sijui na haya mawigi ya nini.
 
Back
Top Bottom