Ladies, are we the cause of our husbands cheating?

Am asking this coz most of the time if a husband cheats he will blame his wife.he will say that his wife shouts at him even a small mistake or sometimes he will say that his wife doesn't care the way she use to care when they first met.so is true?? And if it is true what are we suppose to do to make our marriage life to be good and to avoid blame???
sasa
we unauliza mapanga tarime?
 
Always men needs female for pleasure (sex) if you can't fulfill him in that angle he will cheat, hey you female please try to be creative, know your body ( wonderful a african woman phd holder she don't know if she have a G-spot)
 
mmmmmh....
 
Kila siku wanaume kwa wanawake wanatoka nje ya mahusiano yao bila kujua au hata kujali sana kitakachotokea ikiwa watafumaniwa/gunduliwa na wenzi wao. Kama baadhi yetu tunavyoimba kila siku kwamba "Cheating is BAD" ndivyo nao wanavyoimba kwamba "Cheating is NECESSARY/INEVITABLE". Wanatoka nje ya mahusiano yao bila kufikiria wala kujali matokeo yake kwao binafsi, watoto kama wanao na wenzi wao kwa visingizio vya "nature haikubali niwe na mwanamke mmoja, mume/mke wangu haniridhishi/ mwenzangu hanijali/umbali ndio chanzo n.k"

Matokeo mabaya ya kucheat ni pamoja na kumuumiza mwenzi, kupeleka magonjwa (ya moyo/kiakili na kimwili kwa ujumla) kwa aliyetulia nyumbani, kuzaa mtoto ambae anaweza asikubaliwe na mwenzi hata kuishia kunyanyaswa, kuwakosesha watoto malezi wanayostahili, mahusiano/ndoa kuvunjika na kubwa zaidi ambalo sidhani kama watu hua wanalifikiria sana. . . nalo ni kuuwawa au hata kuumizwa sana pale atakapokamatwa.

Hizi kesi ambazo mtuhumiwa anakua amefanya kosa (laweza kuwa ni la kuua, kubaka au kumpiga hata kumuumiza mwenzake) kutokana na hisia kali sana za mapenzi au hasira baada ya kufumania huitwa Crimes of passion. Je na wewe uko tayari kuwa victim wa hili baada ya kumfanya mwenzio victim wa kudanganywa?

Mwaka jana tu tulisikia hapa kwetu mwanaume alichomwa kisu na mwanamke wake wa nje baada ya kugundua kwamba hakua mwenyewe, kuna mama wa kiMarekani (Clara Harris ukipenda kumgoogle) yeye alimgonga mume wake kwa gari mara kadhaa baada ya kumkuta hotelini na mwanamke mwingine, Zimbabwe kuna mwanaume alimchoma mke kisu. . akachinja mtoto mwenye umri wa siku mbili ambae alikua wa mwanaume mwingine kabla nae hajajitundika.

Haya ni madhara makubwa zaidi tofauti ya yale tuliyozea/wahusika wanayotegemea kwasababu yanahusu kuondoa maisha ya mtu au hata watu. Je wewe unadhani hicho unachopata huko nje ya ndoa/mahusiano yako kina thamani sawa na maisha yako wewe au ya mtu mwingine yeyote yule? Kama kina thamani kiasi hicho kwanini usiachane na maisha uliyonayo ukaenda kuanza upya huko unakopata hicho/hayo yaliyo muhimu zaidi?

Binafsi napinga sana kitendo cha mtu kutoka nje ya mahusiano yake kwa sababu yoyote ile. . tena baada ya kushuhudia mtu ambae alijitahidi kuwa mke mtulivu akiletewa UKIMWI nyumbani kwake, ugonjwa ambao unaweza ukafupisha maisha yake nashindwa kabisa kuelewa ni vipi mtu anaweza akawa mbinafsi hata kupitiliza. Jioneeni huruma, waoneeni wake/waume/wapenzi/watoto na ndugu zenu huruma. Ukiona mambo yamekufika shingoni, nyumbani hakukaliki jiweke huru. Maana kwa kutaka kuendelea kuwepo huko na bado uwepo kule kunaweza kukakufanya wewe usiwe tofauti na mtu muuaji.

Cheating is a very selfish act. . . JALI, CHUKUA HATUA!
Lizzy
 
Cheating inaweza kuwa ni selfishness, lakini inaweza kuwa ni kujijali.

Wanasema raha jipe mwenyewe usingoje kupewa. Kama raha yako ni kucheat, cheat.
 
An absolutely superb piece!

That Clara Harris saga still gives me goose bumps! I felt for her and her deceased husband and their two sons.

She is in the penitentiary serving her sentence. Her husband is dead and gone.

Their kids don't have a father and their mother is locked up.

And I wonder where the homewrecker is and what she's been up to!! Damn.
 
An absolutely superb piece!

That Clara Harris saga still gives me goose bumps! I felt for her and her deceased husband and their two sons.

She is in the penitentiary serving her sentence. Her husband is dead and gone.

Their kids don't have a father and their mother is locked up.

And I wonder where the homewrecker is and what she's been up to!!

Look at how many people got hurt on that one ocassion. . . . it's unfair to almost everyone who was involved.

Mmmhh the misstress is probably out there somewhere, living her life like nothing hapenned or NOT.
 
That's right. She's probably out there somewhere living it up like there is no tomorrow.
 
Raha at the expense of other people's feelings? That's sadistic.

If anything why not just free yourself from the commitment and play the field all you want?

What do you mean 'at the expense of hurting other peoples' feelings'?
 
kwa sababu sio selfish. Anakujali wewe by 50% ndo maana habaki huko.
AISEEE!!

Kwahiyo mtu anapomletea mwenzake magonjwa(ya aina yoyote ile), anapomkosesha raha, anapomuongezea watoto wa kulea toka huko nje, anapokosa nafasi ya kutimiza majukumu yake yote kwa mke na watoto anakua anamjali?
 
utakaaje usuburi kupewa raha na mtu mwingine? mtu anawezaje kukuongezea watoto?

Au tuseme hivi, kama unaona unaletewa magonjwa na ukaendelea kuyapokea, nani alaumiwe?

Kama unaona unakoseshwa raha, kwa nini usiende unapodhani utapewa raha?

Kama unaona unaongezewa watoto, kwa nini unaendelea kukubali?

Let us be responsible for our own mistakes.

What part of that didn't you understand?

you seem not ready for any discussion.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom