LADIES: 7 Things You Shouldn't Do after a Breakup

mkuu Invisible
ni mambo ya kimagharibi zaidi, hapa mkishapigana chini kila mtu huwa anashika hamsini zake, labda kwa wenye ndoa na ambao huwa tayari wana watoto!
 
...halafu haipendezi, haichekeshi wala kufurahisha EX-wako anapofanya juhudi za lazima upate habari zake
za maisha hata kwa kupitia 'a 3rd party!' (through marafiki/ndugu zako)...Get a Life lady!, life has to go on!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom