Ladiees....whats your preference

TATE

Member
Aug 11, 2010
89
17
Napenda wangu awe mweusi si sana kichocolate fulani, asiwe mrefu sana, awe amebinuka kidoogo yaani asiwe amepigwa pasi sana kijungu kwa mbaali yaani cha kimazoezi, six packs lazima not one pack, miguu yake iwe na vigimbi vya kiushkaji akivaa pensi hadi raha, hapo ni physically.
Huyo ndio my dream man wangu.
Na no miye si mwanafunzi ni mdada tu am just fantasizing si lazima niliye naye awe hivyo hivyo.
 
sasa bora ungenitamkia tu...

maana naona unataja sifa zangu hapo juu lol
 
tate,hebu muanzishie sredi the boss chap chap.mi preference zangu kutaja hapa ni nyingi mno bt none of them is physical.i think i can fall for a tree with the right internal persona!
 
Back
Top Bottom