Labda Mungu tu ndo atawaokoa Atletico Madrid Alianza Arena

Ila limewekwa kwa mujibu wa sheria...tukubali tu kwamba haitoshi kuwa mwalimu mzuri tu bali na uwezo binafsi wa wachezaji unachangia...Masikini Gurdiola na kujiapiza kote akitolewa wamuue, wajerumani wakiamua kumfanya hakuna kuna kesi kweli?
Ile ni lugha ya ki sports halafu game kashinda sema away goal ndo imemuondoa
 
Nina mpango wa kuacha kuishangilia Arsenal mpaka AW atakapoondoka nitabaki kuwa mshabiki tu asiye na timu

Duhhh!!!! Ila Timu zetu zimetia aibu yaani pyuuuuu!!!! Ngoja tujipange msimu ujao,ila nyie aisee bila Wenger kasi mliyokuwa mmeianza Hakika mlitakiwa muwe mabingwa
 
Tehee Buyern Soksi imevuka Kiatu kimebaki..ila EL CHOLO ana midadi ya Hatari kwa jinsi alivyomsabua kamisaa Ban inaweza muhusu..Fainali Man Cty Vs AT
 
LOL! Umesikia mwekundu? Ukipandisha hasira tu imekula kwako.

Tuachane na sheria ya away goal tuchukue matokeo hivyo hivyo yalivyo ina maana ni draw so bado Bayern hajashinda .........Bayern Chaliiiii ......Atheltico beibiiii.....hahahaha hili game halihitaji hasira...
 
Mkuu uliyetoa thread,,,naomba urejee tena thread niliyoitoa ndo utaelewa nilimaanisha nini kwa matokeo ya leo,,,
 
Bayern Munichthrew everything at Atleti, and got themselves back in front on the night through Lewandowski, but Atleti once again produced defensive masterclass and held on, with even Fernando Torres’ missed penalty deemed meaningless.

Once again, it didn’t matter that Atleti saw almost none of the ball – finishing the game with a measly 27.6% possession - they just need one chance, and in Griezmann they have a man who doesn’t need asking twice to find the net.
Wonder why babu Robben didn't have a place in the line up
 
Tena mabadiliko makubwa sana ambayo huyu AW hawezi kuyasimamia tutabaki kugombania nafasi ya nne kila msimu ili tu tushiriki UEFA. Tunataka makombe yenye hadhi sasa siyo vikombe mbuzi.

Hahaahhaha aiseee kweli mnahitaji mabadiliko!!!
 
Mpira nao Mungu anakuwepo kuchagua timu ipi Ishinde? Dini ni sawa na nchi ya kusadikika...
 
Maujanja ya Simeone yamesaidia.
Tangu akichezea Lazio huyu bwana ni mjanja mjanja hivi hivi!
Mechi ya kwanza ilipoisha wakati anahojiwa alisema atakuwa na hard time allianz arena jamaa wakiwa na muziki wa mashabiki wao ila atatafuta bao la ugenini na kudefend vizuri..and that is exactly ilivyotokea!
Ni mjanja mjanja sana huyu bwana mumzoee tu na siku ya fainali Zizou na huyu bwana wawekewe mabaunsa wasije fanya vurugu maana wote wawili vichwa mwamba geu!
 
Samahani,namaanisha fainali ni Real na Atleti na bingwa ni Atleti
 
Tena mabadiliko makubwa sana ambayo huyu AW hawezi kuyasimamia tutabaki kugombania nafasi ya nne kila msimu ili tu tushiriki UEFA. Tunataka makombe yenye hadhi sasa siyo vikombe mbuzi.
Safari hii hata kombe mbuzi mmekosa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tena mabadiliko makubwa sana ambayo huyu AW hawezi kuyasimamia tutabaki kugombania nafasi ya nne kila msimu ili tu tushiriki UEFA. Tunataka makombe yenye hadhi sasa siyo vikombe mbuzi.
kareonke mwenzenu ana ridhika na mwenendo wa tim, ye ako kibiashara zaid, kwa kweli sioni wenger akiondoka Arsener Fc hivi karibuni
Ishangilie mdogo mdogo tuu
 
Back
Top Bottom