Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

Gaucho ni bishoo sana, Dunga kafanya cha maana sana. Tuache upenzi tu wa mtu. Mimi nina uhakika Brazil watafanya vizuri!! Ni Maoni tu!
 
Naona 'Saint' Gang Chomba uko hewani. Tuwatakie Brazil mema hata bila ya kipenzi chako 'Saint' Gaucho.
 
Huyo Dinho mechi ya juzi na wachovu DC alikuwa amejichokea tuu.

Ronaldo De Lima mshambuliaji wa zamani wa AC Milan alipata kunena haya...
''Ronaldinho Gaucho ni sawa na Tembo ambaye hata augue na kukonda namna gani hawezi kuwa kama Nyau.

Sasa wewe unayekurupuka na kusema the Saint alikuwa kajichokea tu nalazimika kukupuuza.

No Gaucho
No Football
 
nilipokuwa naandika thread hii nilitafakari kwanza na kugundua kuwa Ronaldinho Gaucho alitumwa na Mungu kuja kuonyesha soka la Mbinguni linavyosakatwa.
So wakurupukaji wooote pamoja na kocha Dungayembe limewashuka.

No Gaucho
No Football
 
hata angekuwepo gaucho,ronaldo de lima,pato sijui na nanilii brazil weupe tu kama real madrid,beki 3 ndie kawaponza leo pengo la marcelo wa real madrid limeonekana wazi na pato kidogo mbele pale,ila gaucho sio sana
 
Kweli uliyoyataraji yametimia GC, critics wa Dunga wanakenua 2 kokote kule walipo, teh teh!!
 
Ningesikitika sana kama Brazil wangetolewa Gaucho akiwepo, lakini sasa hakuna tulichokipata na sasa tutakikosa
 
World Cup 2010: Boss Dunga ready to end Brazil reign


_48240688_nedvbrashorthighlights640.jpg

The Netherlands book a semi-final place with a 2-1 win over Brazil

Coach Dunga has confirmed he will stand down after taking full responsibility for Brazil's World Cup exit. Dunga saw his men suffer a 2-1 quarter-final defeat at the hands of the Netherlands in Port Elizabeth.
Robino had given Brazil the lead only for the Dutch to draw level through a Felipe Melo own goal before Wesley Sneijder's 68th-minute headed winner.
"We knew when I started that I would be here for four years," said Dunga, who took over as Brazil boss in 2006.
"It's sad, it's difficult, nobody prepares to lose."
In December 2009 the 46-year-old said he would step down after the 2010 World Cup finals, even if he were to have guided Brazil to their sixth World Cup triumph.
"Without a shadow of a doubt, I am the coach of the Brazilian team, I have the greatest responsibility," added the 1994 World Cup-winning captain after the defeat.
o.gif
606: DEBATE

Brazil could easily have been leading 3-0 at half-time



myhammers

The momentum of the match swung in the Netherlands' favour when Melo headed beyond goalkeeper Julio Cesar and into his own net attempting to clear a 53rd-minute Sneijder cross.
"We had two players going for the same ball and what happened happened," stated Cesar.
Inter Milan striker Sneijder netted the winner when he headed Dirk Kuyt's near-post flick-on past a stranded Cesar.
Juventus midfielder Melo was sent off 17 minutes from time for a careless stamp on Arjen Robben as the Netherlands held on to reach the World Cup semi-finals for the fourth time.
"We knew it was going to be a very delicate, very difficult game, but we weren't able to maintain the rhythm we had in the first half in the second half," reflected Dunga.
 
Am a happy person after seeing Dunga's mediocre outfit beeing seen off by the ever flamboyant Dutch. I have been supporting Brazil tangu utoto because nilikuwa nawaona ni bunch of entertainers....unfortunately entertainment stopped after Dunga took over with his mediocrity. Verdict: hang Dunga to death!!
 
Wasiojuwa soka ambao hata wakipewa mpira hawawezi kupiga danadana eti bado wanamtetea Dungayembe....teh teh.

Pale alipotolewa Melo basi angeshushwa chini Gilberto kisha juu unampa utwala mt: Gaucho.
Ungefurahi yani
 
kupiga danadana sio kujua mpira,kuna watu mitaani wanapiga danadana na wana kontro kuliko hata kina gaucho lakini mpira wa ushindi au ukiwatupa uwanjani hakuna kitu,hii ndio inatufanya soka letu bongo lisiendelee kwa kudhani kupiga danadana ni kujua soka,kina forlan au rooney au wachezaji wengi wa ulaya hususan uingereza soka lao la darasani mtu alikuwa hajui hata kupiga danadana wala chenga lakini wachezaji wa afrika chenga nyingi lakini ukitupwa na england tunafungwa hakuna hata taifa moja la afrika lililomfunga england mpaka leo,ndio 7bu hii imeonesha niliwaambia wengi argentina kwa germany itaambulia chenga twawala ila ushindi hakuna 7bu kocha sio hana technic,spain imebadilika inacheza soka na hata soka la kihuni inalijua,brazil itaishia soka safi ila ikikutana na timu kongwe eg germany,spain,holland na hata wachovu france itafungwa tu,gaucho kaishia soka la burudani sio la ushindi kwa sasa.
 
2006 huyo Gaucho si alikuwemo kwenye timu na waliishia robo fainali, awapishe wengine bana.
 
2006 huyo Gaucho si alikuwemo kwenye timu na waliishia robo fainali, awapishe wengine bana.

gaucho wa msimu huu umemuona?
Unafahamu kafunga magoli mangapi na kutengeneza mangapi?
Je ni kiungo gani aliyeitwa kwenye timu ya Dunga ambaye ameifanyia makubwa klabu yake msimu huu?
msikurupuke kuponda vitu ambavyo hamna ufahamu navyo.
Kama ni mchango Dinho kafanya mchango mkubwa sana kwa Milan msimu ulopita.
Ni majeruhi ya kina Nesta na Pato ndo yaliipoteza AC.
Sasa sio mnakaa halafu mnatoa kashfa zisizo na upako
 
World Cup 2010: Brazil sack coach Dunga


_48250386_009733929-1.jpg
Dunga was already expected to stand down as Brazil coach after the World Cup


Dunga has been sacked as Brazil coach following his country's quarter-final exit from the World Cup. A statement from the Brazilian Football Federation (CBF) confirmed the former captain has been dismissed, along with his entire coaching staff.
 
Pumbavu kabisa hilo...
Wacha walitimue.

Unajuwa ktk Maisha kila mtu ana misimamo yake, tabia zake, itikadi zake, mapenzi yake nk nk nk nk.

Mtu anayeishi kwa kufuatilia mwenzie kafanya vipi nae aishi huyo ni sakala.

Huyo Dunga alitaka kupita mule alikopita Scolari mwaka 2002.
Lakini akasahau kuwa mwenzie alikuwa na wachezaji wa uhakika kwa mfano kutoka golini mpaka namba 6 walikuwa hawa, Marcos, mzee Cafu, Mzee Carlos, Roque Jr, Lucio na Edmilson.
Halafu kule mbele walikuwepo Gilberto, Juninho mzungu, The Saint, Rivaldo na Elgodo ama De Lima.

Sasa kwa timu hii hata ukimuacha Romalio basi hutakuwa na presha.
Na kweli kazi ilifanyika na watu wakabeba ndoo.

So unavyofanya kitu jitahidi kugundua na kufanya vitu kwa upeo wako na ujuzi wako.

Limemshuka sasa sijui hata kapotelea wapi, na wachambuzi wa soka woooote waliokuwa wanamsifia hapa jamvini kwa maamuzi yake ya kipuuzi wote wamepotelea Gizani.
 
Back
Top Bottom