La mgambo limelia jamani natangaza sensa ya wanaume wasiopenda mawigi!

jamani nimeshasema na dem wangu anajua.nasema kwa mala ya mwisho.sitaki kuona mawigi.kwanza mvua ikinyesha kidogo tu yananuka.wakati wa mvua unakuta wamevaa ile mifuko inayoitwa shangazi ili mawigi yasilowane.mimi nikiyaona hata jogoo hawiki.yananukaaa...!!mawigi si ishu.eti waitu nina nywele kama za muzungu"....alaaa....!!pumbavu.
 
Tangia umejiunga JF leo ndo umeongea la maana. mia!
 
kaka zangu,kina baba,ma-nkali na babu, ama mmekutana na wadada wenye kuvaa mawigi kama ya kina Joti ndo yanaonekana kama yanachomachoma?msiogope,kuna yanaitwa sijui brazilian etc kama hamuogopi kuingia gharama yanavutia kidogo.kuna wengine Mungu hakuwakumbuka kabisaa kwenye nywele,hata akipiga zungu la unga linakuwa kama la mtoto mwenye unyafuzi.lets bear with one another jamani,tusikomoane. na anayelalamikia perfume za manzese,ww nunua coco chanel am Christian Dior umpe kama zawadi ya besdei atapata msg.
 
jamani nimeshasema na dem wangu anajua.nasema kwa mala ya mwisho.sitaki kuona mawigi.kwanza mvua ikinyesha kidogo tu yananuka.wakati wa mvua unakuta wamevaa ile mifuko inayoitwa shangazi ili mawigi yasilowane.mimi nikiyaona hata jogoo hawiki.yananukaaa...!!mawigi si ishu.eti waitu nina nywele kama za muzungu"....alaaa....!!pumbavu.
hata nywele bila wig zikinyeshewa mvua hunuka. Pole yake dem wako. mia
 
Jamani mimi mwanamke siyo mrembo kwa kweli. Mzuka na weaving, wigi siko. Kisa hiki ni cha kweli natoa hapa si kwamba nadharau wale wavaaji ila muwe makini .

Juzi nikiwa kwenye dala dala natoka kariakoo, akaingia dada mmoja mtanashati kavaa mlegezo ili kale ka CUPI kenye kamba kaonekane. Ile anaibuka kwenye dala dala mlangoni kulikuwa na chuma kikamata wigi likachomoka kichwani likabaki kwenye chuma. Huko ndani ya kichwa chake ilikuwa hatari, manywele mabaya, yamevurugika nahisi alitoka kufumua rasta akaweka ili kuficha uchafu wake AKAUMBUKA. Dada wenzangu shaurini hapo. Kwa wanaume naomba wapigeni marufuku wake zenu kuvaa mawigi, tena wekeni msistizo.

Wanawake wengine wakivaa hawapendezi lakini wamo tu. Siku hizi kuna consultants wa urembo nenda katoe hela yako wakushauri nini ufanye na mwili wako, uso au hata kwenye hizo nywele unazotaka wakwambie kama utapendeza au la.

Samahani wanawake wenzangu, ni mtizamo tu ila mawigi siyo INSHU.
 
Umesema kweli Caroline watu wakivaa wengi ndani ni hatari acha tu. Ila mwanaume hutaki wigi basi toa pesa aewabadilishe

Kwi kwi kwi acha ubahiri mwanzisha topic unadhani ukimwambia partner wako hata hacha?

Tusilaumu wakati sie hatusaidii as kama unampenda utasema ukweli na haitaleta tatizo
 
Jamani mimi mwanamke siyo mrembo kwa kweli. Mzuka na weaving, wigi siko. Kisa hiki ni cha kweli natoa hapa si kwamba nadharau wale wavaaji ila muwe makini .

Juzi nikiwa kwenye dala dala natoka kariakoo, akaingia dada mmoja mtanashati kavaa mlegezo ili kale ka CUPI kenye kamba kaonekane. Ile anaibuka kwenye dala dala mlangoni kulikuwa na chuma kikamata wigi likachomoka kichwani likabaki kwenye chuma. Huko ndani ya kichwa chake ilikuwa hatari, manywele mabaya, yamevurugika nahisi alitoka kufumua rasta akaweka ili kuficha uchafu wake AKAUMBUKA. Dada wenzangu shaurini hapo. Kwa wanaume naomba wapigeni marufuku wake zenu kuvaa mawigi, tena wekeni msistizo.

Wanawake wengine wakivaa hawapendezi lakini wamo tu. Siku hizi kuna consultants wa urembo nenda katoe hela yako wakushauri nini ufanye na mwili wako, uso au hata kwenye hizo nywele unazotaka wakwambie kama utapendeza au la.

Samahani wanawake wenzangu, ni mtizamo tu ila mawigi siyo INSHU.

Hapo kwenye red. Unapinga wigi au unapinga matumizi mabaya ya wigi? Na extension je maana sawa wigi litavuka?
 
Kuna mweshimiwa mmoja (nadhani ni waziri) alienda kuapishwa kasuka utii wa roda (aka twende kilioni) , wacha watu wamnange. Tena walomnanga ni wanaume wakati mama ni natural. Acheni kuwa double standard. Mwanamke nywele!
 
...nasubiria mjadala wa wasiopenda make ups! Mtu unamwambia saa mbili kasorobo tunatoka, yeye kang'ang'ana kwenye kioo anajipaka makorokoro ya marangi rangi usoni,...sijui mask, shadow, aaarrgghhh!

By the time anakwambia tayari, ishafika tatu kasorobo usiku!
Mkirudi outing shughuli inaanza upya kuyaondoa tena...nusu saa nzima!...mnh, wanawake!
Jumapili Njema.
 
Aaah Kazi kweli kweli. Nakumbuka kuna siku hubby alitaka kususa kutoka kisa nimechelewa.

...nasubiria mjadala wa wasiopenda make ups! Mtu unamwambia saa mbili kasorobo tunatoka, yeye kang'ang'ana kwenye kioo anajipaka makorokoro ya marangi rangi usoni,...sijui mask, shadow, aaarrgghhh!

By the time anakwambia tayari, ishafika tatu kasorobo usiku!
Mkirudi outing shughuli inaanza upya kuyaondoa tena...nusu saa nzima!...mnh, wanawake!
Jumapili Njema.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tuwasamehe tu,huwezi jua wengine waliungua nywele,acha wayavae kama miwani kwa mwenye matatizo ya macho!
 
Jamani nakaribia kuhitimisha hoja hii, kama nilivyokusudia awali. Ngoja nisubiri michango ya wanaume wengine angalau watano hivi ndipo nikunje jamvi.
 
Naanza mimi ni wa kwanza. Mawigi yanani-put off sana. Kama na wewe hupendi mke/gf wako avae wigi tafadhali niunge mkono. Natanguliza samahani kwa akina dada mnaovaa mawigi. Msinishambulie mtoto wa mwenzenu. Sijazoea kelele.

Hey! Sensa huwa hsitangazwi Bali hufanyika! Sifagilii wigi wala nywele za marehem ....acheni nywele zenu ikiwezekana mzichome tu
 
Kuna mweshimiwa mmoja (nadhani ni waziri) alienda kuapishwa kasuka utii wa roda (aka twende kilioni) , wacha watu wamnange. Tena walomnanga ni wanaume wakati mama ni natural. Acheni kuwa double standard. Mwanamke nywele!

Wewe mama mzima unawapotosha vijana,aliekuambia mwanamke nywele nani?Mwanamke tabia!
 
Anna+Makinda.jpg

Ooh nilidhani masanja mkandamizaji kavaa wigi kumbe sio.
 
Back
Top Bottom