La maana la Kikwete ni lipi?

Piere. Fm

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,208
1,170
Naombeni mnisaidie jaman ni jambo gani ambalo Kikwete kalifanya katika awamu yake ya kwaza ambalo litakufanya wewe kama Mtz umkumbuke Rais wako huko mbeleni?
 
Naombeni mnisaidie jaman ni jambo gani ambalo Kikwete kalifanya katika awamu yake ya kwaza ambalo litakufanya wewe kama Mtz umkumbuke Rais wako huko mbeleni?
mkuu
Umekusudia jambo lenye manufaa au tija? Au jambo lolote tu japo la kuudhi au lenye kuumiza umma?
 
Jamani Dodoma na Manyoni siku hizi ni karibu na barabara ni ya lami. Mtu kufanya kazi Manyoni na kupumzika Dodoma ni rahisi sana
 
Pamoja na udhaifu wake katika kuchukua maamuzi na kuendekeza urafiki katika uendeshaji wa serikali, lakini nitamkumbuka kuwa yeye si dikteta kama Mkapa. Enzi ya Mkapa ukiisema serikali mabaya yake basi utatangazwa wewe si raia, mwulizeni J. Ulimwengu na Mzee mmoja kule Zanzabar (RIP) nimemsahau jina lake, walipata joto yake
 
Kumteua makamba kuwa katibu mkuu wa ccm. Kwa kweli hilo ndilo jambo jema alilowatendea watanzania ambalo kamwe hatutalisahau.
 
Back
Top Bottom