Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,256
Wakuu look at the whole issue from a different perspective.
Katika uchaguzi wa 2005 mchakato ulikuwa mkali na wa kukata na shoka .Alliances were made and many political associations were made.Na huo ndo ukawa mwanzo wa "mtandao". Mtandao ulikuwa very powerful and sucked in many people good and bad.Wengi walifanya mahesabu yao vizuri na wakajipanga mkao wa kula baada ya mchakato mgumu wa uchaguzi.
Mtandao ukashinda, na hata JK alisikika akisema, sasa tuuvunje mtandao maana kazi yake imemalizika.
Lakini mtandao huo ulikuwa umewabea wezi,wahuni watu wazuri kabisa pamoja na watu waaminifu.
This is a democratic country,kama chama kilijua upo mtandao na ukaukubali bila maneno, kazi kubwa zaidi ni kuuvunja baada ya uchguzui maana tayari una nguvu kubwa.
Kumlaumu JK peke yake katika huo mtandao ni kumwonea maana hata yeye room yake ya kumaneuvre ni funyu.Mtandao ndo waliomweka pale.
Nikiendelea kuwa mchokozi ,sidhani kama Lowassa,Karamagi,Rostam ambao ni vinara vya mtandao watataka any opposition to their positions lying down.Hii ni democrasia bwana lazima JK acheze chess vizuri naye asije liwa kingi!