la bill gate hili..........

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
la kutembelea tembelea vi hafla mbali mbali
bill-gates-car.jpg
 
Mkuu hilo ni 'full safari -pack!
Ndani ni full mahewa, vitanda vya hatari, misosi, games, mini-bar etc
 
huo urefu ndy haswaa!..unajua faida yake nini?....ni watu wa nje kuliangalia na kujiuliza "sjui nani mjinga huyo" hawakuoni, ww unawaona!
 
Lakini mwisho wa siku ataishia kwenye kaburi sawa na wewe tu! Hata lingekuwa refu kama treni bado halimfanyi akwepe kifo!
 
hilo linamfaa yeye mwenye linafasi likuuuuuuuuuuuuubwaaaaaa la parking na kugeuza. mwenzangu mie uwe nalo hili sijui utapark wapi!
 
bb vkesisy2006 ndani likoje?mimi nataka kuangalia bedroom ikoje?
Mnaozungumzia kufa -mmechoka kuishi?msitukumbushe hayo mambo yenu-nendeni mkaanze matayarisho!
 
Tatizo mnaliangalia huku mnawaza barabara zenu za Tandale na Mwananyamala nk, ndio maana hamuachi kusema ohoo refu mara ohoo kubwa. Sasa ukiwa nalo na wewe unaishi Kisukulu utacha kuliona refu?!!!! Licheki kutoka ground mpaka lilipo it is just about 0.5ft. Yaan Bata wa uswazi hapiti chini yake, nafasi atoe wapi bwana?!!!
 
Not that he can't afford a car like that but is that really his car? Is there at least a caption which says it's Bill Gates' car? Or is it because it looks pricey? I'm saying that because that's not Bill Gates' mansion(I've seen photos of it). Unless his car was taken when t was parked at someone else's house. Just asking....I could be wrong.
 
Back
Top Bottom