Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,822
Jamani nimekumiss ile mbaya, umbali is a big problem. Next week ntakuja huko, ntakukuta.
Mateso yanayonikabili sasa ni kwamba naona next week ni mbali na siku haziendi kabisa, natamani ziruke ifike jumamosi ya wiki ijayo, nakupenda sana.
Msalimie jazz