Elections 2010 Kyela: Rhoda Mwamunyange atangaza nia kupitia CCM

Rhoda anasema kuna mambo walikubaliana na Mwakyembe mwaka 2005. Yaleyale ya Lusinde na Cigwiyemisi kule Mtera.
 
11qpyj9.jpg

Jamani hebu ona huyu dada alivyojichubua! namwonea huruma
 
PHP:
[quote="WildCard, post: 964258"]Rhoda anasema kuna mambo walikubaliana na Mwakyembe mwaka 2005. Yaleyale ya Lusinde na Cigwiyemisi kule Mtera.[/QUOTE]

yeh..kweli do amesema hivyo hila kuna utofauti kidogo kati ya Lusinde na Tingatinga ...
 
Mwache Mwanamama agombee, ana haki zote za kikatiba. Mambo ya binafsi hayana maana sana, tunachotaka wajitokeze watu wengi ambao sisi wapiga kula tutachuja. Si wakati wa kuendelea kutupandikizia wawakilishi wa wananchi. Mambo ya eti aliachana si ikwaje hayana maana hapa, kwani nani yuko sawa.
 
Huyu mama yuko ILO Kazi House,mmh kaolewa halafu kaachika?
Mmmmh Lwakatare mwingine nini?
cha kushangaza wewe ni mwanamke mwenzake hivi katika uongozi au utendaji mambo ya familia huwa ni muhimu sana kuliko uchapaji kazi? au familia nayo hufanya maamuzi ya muhusika? maraisi wangapi waliowahi kutawala dunia hii ilhali wakiwa hawana wenza na wakaweza?
 
Mratibu wa Kitaifa wa Shirika la Kazi Duniani(ILO) Bi. Rhoda Mwamunyange (katikati) akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi. Jimbo hilo hivi sasa liko chini ya mheshimiwa Dkt Harrison Mwakyembe. Wengine kushoto ni Mpambe wa Rhoda na kulia ni Ofisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari Mwirabi Sise.

Kwanza wewe sio mpuuzi kama unaweza kuleta mambo kama haya. Huyo Kapuya nikioanisha na Mpuuzi sipati picha, sijui upuuzi huo unamhusu yeye kiujanjaujanja? Maana kweli mambo mengi anayoyasema ni ya kipuuzi japo ni Mhadhiri Mwandamizi aliyemezwa na siasa na kulazimika kuwa alivyo. Lakini huyo Rhoda nadhani anataka kumkoroga kaka yake Mwakyembe tu, wanafahamiana vizuri sana hao na wanatoka jirani kiasi fulani, wote wakitokea karibu na ukanda wa ziwa Nyasa. Lakini uchambuzi wa mambo ndipo tofauti inapojikita. Sidhani kama anamfikia hata nusu Mwakyembe kama sio jazba tu. Ataweza siasa za Kyela zilivyo :dance:zaidi? Uzoefu na sheria na matumizi ya kiaina yake vinatakiwa ili kusimamia kile unachotaka kukielezea, sio swala la gender hapo. Kyela ni ngumu kisiasa. Wakiamua kukuchambua hawajambo lakini kufanyia kazi wanayoyataka yafanyike yataka moyo maana hao hao watakaji watakuwekea mizengwe utashangaa.

Haya, nieni kina Rhoda, sie tunawatakia kheri tu, usije ukawa umetumwa na watu fulani nyuma yako, labda kwa kujitangaza hivyo JK atakaujua na kukupatia kawilaya nawe utese kama wenzako, maana JK na mamadame sio haba kuwapa kipaumbele, sababu anazijua mwenyewe.
 
Wakina mama jitokezeni, msihofu siasa za kutishana. Ufisadi ni dhambi
 
CCM Wakimtoa Mwakyembe watakuwa wajinag sana lakini ndio demokrasia hii raha yake. Kama mtu unaweza kuwa challenged uwe challenged.
 
CCM Wakimtoa Mwakyembe watakuwa wajinag sana lakini ndio demokrasia hii raha yake. Kama mtu unaweza kuwa challenged uwe challenged.
IMO, Mwakyembe ni vuvuzela tu, mi sioni kama kuna mbunge yeyote wa CCM anayestahili sifa. Mwakyembe ni sawa na mtu anayepaza sauti kusema 'Meli inazama, meli inazama' halafu huyo tarrtiib anarudi kwene kachumba kake kulala!

Kama meli inazama jiokoe basi wewe na watu wako.EBO!
 
Back
Top Bottom