Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kwani kuwa mwanzilishi wa JF kunatoa free pass ya ubunge TZ


Mwafrika

Hiyo ya mwanzilishi wa JF na Mtunza Fweza imechomwekwa na mwandishi,Israel ni Mwandishi mpambe wa mwakyembe,Watu wa kyela tunajua hivyo..Lakini wapiga kura hawako JF wala majira
 
jamaa ni kama mzee jangala, haeleweki wala hana msimamo, alitamka kwa kimya chake leo anakula matapishi yake! Hafai kabisa huyo wanakyela mumuogope huyo



bado hii ni elimu ndogo sana kwa kuwasaidia wanakyela, kama mpaka sasa hajafanya kitu sidhani kama atawasaidia waiga kura kule...
usisahau exposure yake ya ulaya zaidi ya miaka 18.kyela itakuwa kama london.
Tumpe moyo bwana mwakalinga.
 
kajinyonge ndugu yangu.mwakalinga yuko hatua kumi mbele.akiingia mjengoni kila mwanakyela anakula laptop. Hivi tunavyozungumza mwakalinga inabidi apewe ulinzi mzito kwani wafuasi wa mwakyembe wameanza kuchanganyikiwa.

Du this is very low, Wanakyela milo mitatu kwa siku taabu, huduma za afya mbofu mbofu nadhani latops are not their immediate needs....akiingia kwa gear hizo ataaibika wanakyela si mabwege!
 
Jamaa ni kama Mzee Jangala, haeleweki wala hana msimamo, alitamka kwa kimya chake leo anakula matapishi yake! Hafai kabisa huyo wanakyela mumuogope huyo



Bado hii ni elimu ndogo sana kwa kuwasaidia wanakyela, kama mpaka sasa hajafanya kitu sidhani kama atawasaidia waiga kura kule...

Mkuu,

Bila kukuficha hayo ulioandika yanaonesha ni jinsi gani upeo wako unahitaji maongezo kidogo katika "critical thinking" yako.

Na kwa kuongeza ni ashirio kwamba watanzania wengine wenye mawazo kama haya ulioandika,wanahitaji kuwa na "critical thinking" hasa kuelekea uchaguzi wa 2010.
 
Kijana"Field Marshal"sasa unasemaje na kauli hii ya Mwakalinga kugombea?maana ulituambia wazi kuwa Mwakalinga hana nia hiyo japokuwa mimi nilikuhakikshia kabisa kuwa atagombea na kaanza harakati za kugombea Kyela!
Mwakalinga tupe hoja zake kutuambia utaifanyia nini Kyela!?
 
Mkuu,

Bila kukuficha hayo ulioandika yanaonesha ni jinsi gani upeo wako unahitaji maongezo kidogo katika "critical thinking" yako.

Na kwa kuongeza ni ashirio kwamba watanzania weingine wenye mawazo kama haya ulioandika,wanahitaji kuwa na "critical thinking" hasa kuelekea uchaguzi wa 2010.

Uko obsessed na Mwakalinga! you can not change my thinking...so sorry!
 
Si unajua tena sisi tunaomfahamu na wote tumo katika kutaka kuleta mabadiliko TZ na tunaanza na Kyela.

Teh teh teh teh bwa bwa bwa ! I am afraid you must have started with a wrong foot....kila laheri kiongozi, ila mwishoni wanakyela watafanya uamuzi sahihi kwa atakaye wafaa...sisi wengine tuko nyuma ya PC tu!
 
Mwakalinga ni mkristu wa Kyela.chuki zipi ndugu yangu?
mimi siku zote naamini JF ni one family sasa wewe unaumia kuona Mwakalinga anakuwa mbunge?

Wewe unajijua vizuri na chuki zako dhidi ya wakristo ambazo umekuwa unazimwaga hapa jamvini kila siku. Kama ulijua kuwa wana jf ni familia moja basi usingekuwa unatoa maneno ya kashfa, chuki na sumu mbaya dhidi ya wakristo kwa vile tu wamepingana na mipango yako ya kuigeuza Tanzania kuwa Tanzanistan.

Bado sijaamini kuwa Mwakalinga anakubaliana na maneno yako ila ninasubiri aje kukukana hapa hadharani.

nilitegemea wewe ungekuwa wa kwanza kum support,imekuwa kinyume chake ni chuki na hasira,BILA MWAKALINGA jf LABDA ISINGEKUWEPO.
Mwakalinga OYEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!

Ha ha ha, inaonekana hujapata memo. Mimi siungi mkono chama ambacho kimetawala nchi miaka yote hii na kuifilisi, kuiuza kwa wageni, na kudhulumu kila kilicho haki ya watanzania.

Sina mpango wa kumuunga mkono mwana JF yeyote anayegombea kwa tikiti ya chama cha mafisadi (iwe Mwakalinga au yeyote yule). BTW, hii sio issue against Mwakalinga, issue hapa ni kuhusu wewe kuwa mpiga debe wa Mwakalinga.
 
Teh teh teh teh bwa bwa bwa ! I am afraid you must have started with a wrong foot....kila laheri kiongozi, ila mwishoni wanakyela watafanya uamuzi sahihi kwa atakaye wafaa...sisi wengine tuko nyuma ya PC tu!

Siasa ya Tanzania na Afrika kwa ujumla ni blah-blah tu, hamna concrete willingness kufanya mambo.

Sasa hawa walioendelea na wengine kama Russia wanasema hapana, tutaendeleza chumi zetu kwa resources tulizo nazo na kama hazipo na kuna ulazima wa kuzipata basi tuaenda huko zilipo.

Sisi waafrika siku zote ni mambumbumbu mbele ya walioendelea sasa ni nani atasema kama sisi si mambumbumbu.

Kama mtu umesoma Ughaibuni na kufanya kazi ughaibuni na wao walioendelea wakatambua kwamba kuna waafrika wenye akili kama wao kwanini wasije siku moja wakasema Tanzania nako siku hizi kuna miundo mbinu ya kisasa ya barabara, reli, mawasiliano na mengine?
 
Hii Kali kuliko wacha mimi niendelee kula nondo za Meremeta niko ukurasa wa 40 sasa!

Huyo Kanda2 ni mtu hatari kabisa, wewe bonyeza jina lake na usome mambo ambayo amekuwa akiandika hapa kuhusiana na mahakama ya kadhi au suala la OIC (kama hayajafutwa na mods).

Jamaa ana chuki mbaya sana dhidi ya wakristo na natumaini Mwakalinga atakuja hapa kumkana (kama Peter) zaidi ya mara ya tatu.
 
Watahakikisha jamaa ametoweka katika anga zao kwa njia yoyote ile ,wacha tusubiri na tuone.
 
Kila la kheri Mwakalinga. vita uliyochokoza ni nzito ila watu makini kama sisi tuko nyuma yako utashinda kina Mwafrika wanalegea.
 
Kijana"Field Marshal"sasa unasemaje na kauli hii ya Mwakalinga kugombea?maana ulituambia wazi kuwa Mwakalinga hana nia hiyo japokuwa mimi nilikuhakikshia kabisa kuwa atagombea na kaanza harakati za kugombea Kyela!
Mwakalinga tupe hoja zake kutuambia utaifanyia nini Kyela!?
mkuu msubiri SteveD yuko page ya 8 MS word anaandaa waraka kukujibu...btw mhazini wa tanzanet sidhani kama ana jipya.......
 
Hee,Bwana weeee....stop! stop! stop!.....nikweli hii? hapa ni homa kali ,mpiganaji kazi anayo bajameni...mnasema hajafanya nini?Kwa mawazo yenu mnafikiri jamaa kajitupa kichwa kichwa?uzuri mmoja mwakyembe anaelewa vizuri sana kuwa mtu pekee anaweza kumwondoa kyela ni mwakalinga na kama katangaza hivyo basi nyie subirini na pc zenu
 
Hee,Bwana weeee....stop! stop! stop!.....nikweli hii? hapa ni homa kali ,mpiganaji kazi anayo bajameni...mnasema hajafanya nini?Kwa mawazo yenu mnafikiri jamaa kajitupa kichwa kichwa?uzuri mmoja mwakyembe anaelewa vizuri sana kuwa mtu pekee anaweza kumwondoa kyela ni mwakalinga na kama katangaza hivyo basi nyie subirini na pc zenu

ebana eeh hivi wewe una majina mangapi humu? aaaaagggh
 
Kila la kheri Mwakalinga. vita uliyochokoza ni nzito ila watu makini kama sisi tuko nyuma yako utashinda kina Mwafrika wanalegea.

Ha ha ha ha wewe ndiye ushindwe na ulegee kabisaa kwenye hizo jitihada zako za kuigeuza Tanzania kuwa Tanzanistan. Wewe endelea tu kuwa nyuma ya Mwakalinga kisha uone wanaKyela watakachofanya siku ya kura.
 
Watahakikisha jamaa ametoweka katika anga zao kwa njia yoyote ile ,wacha tusubiri na tuone.


Jamaa gani tena..Mwakalinga?
 
Hiyo ya mwanzilishi wa JF na Mtunza Fweza imechomekwa na mwandishi, Israel ni Mwandishi mpambe wa mwakyembe,Watu wa kyela tunajua hivyo..Lakini wapiga kura hawako JF wala majira

Mwandishi ameyajuaje yote hayo? Lazima aliambiwa na mhusika.

Ushauri kwa Bwana Mwakalinga, ametangaza mapema sana kujitosa kwenye kinyang'anyiro na aangalie asije akajikuta anawekwa kwenye kibano cha CCM kwamba alianza kampeni za uteuzi mapema zaidi kabla ya wakati muafaka wa kufanya hivyo. CCM ni chama cha wenyewe na politics za huko ndani wanaziweza wao wenyewe, kwa hiyo inabidi awe makini sana.

Nina hakika ana nia njema sana, lakini watu wasiopenda ushindani wanaweza kutumia nafasi hiyo kumpaka matope. Ile mada iliyofungwa, ilisemekana kwamba yuko Arusha na baadhi ya wana JF wakapaka kwamba ameenda kukutana na "The Big Papaz". Kaa mbali sana hao jamaa (the big papaz) na wala usije ukaonekana unakunywa nao chai hata kama watakuwa wamekualika kwa nia njema, the easiest way ya kukupaka matope itakuwa kwamba umetumwa na hao mafisadi papaz.

Once mtu akipenyeza hiyo agenda ya kutumwa na mafisadi papa, ukizingatia mgogoro uliopo kati ya RA (+EL indirectly) vs Mwakyembe, basi atakuwa amekumaliza kirahisi sana kwa kuwa huo ndio umekuwa wimbo ndani ya CCM na hata kwenye magazeti kwamba wabunge wote walio na ugomvi na RA, jamaa ameandaa watu wake ambao atawa-finance ili waweze kuwashinda wabunge wa sasa kwenye nominations.

Kila la Heri Bwana Mwakalinga, tutaendelea kukumbusha kila tukiona unaenda kinyume na motto ya JF (kumkoma nyani giladi, will you DARE TO TALK OPENLY? - ukitimiza hilo utakuwa balozi mzuri na mwakilishi wa JamiiForum ambayo umeshiriki kuianzisha na kuwa mdhamini wake). Once ukifanikiwa Mbunge usije ukawa kama Dr. Msekela, usikimbie hiki kijiwe, endelea kuja ili tukupe vipande vyako pindi tukiona unachemsha, tukupe ushauri, tukupe maoni na tukukosoe pale tutakapoona umechemka ama chama chako/serikali ya chama chako ikichemsha. Iga mfano wa Bwana Zitto na Mzee wangu Dr. Slaa, hata joto likizidi bado wapo wanakubali kukosolewa na kutetea misimamo yao ambayo wao wanaiamini kwamba wamesimamia upande wa haki.
 
Back
Top Bottom