Kwimba imetekwa na chadema

jitu la kale

Member
Dec 29, 2010
77
18
Nipo hapa stand ya mabasi ngudu-kwimba,kuna mkutano wa chadema,unaöngozwa na Wenje,letisia nyerere,na mtoto wa mashishanga yule mkuu wa mkoa wa zaman wa mwanza,watu wanaipenda chadema hadi noma
 
Huyo mtoto wa Mashishanga ni yule Tall mwembamba ama ni yule wa kike?
 
Tunaelekea pazuri zaidi jamani pasisahaulike Musoma vijijini watakapofika Mara kuleee alipo yule fisadi mwingine Nimrod Mhand
 
yaani ukitaja CHADEMA mwili unanisisimka sana....yaani hapo habari za kiitelijensia zinawaumiza kichwa sana...hahaaa
 
Vipi kuna shughuli zozote za kijasiriamali zafanyika ama CHADEMA imesitisha shughuli zote za uchumi kwa masaa haya ya mchana hapo KWIMBA?
 
Mbunge wa hapa kwimba mh. Masoli (msambaza mafuta migodini),toka atanganzwe na DED(Mkurugenzi) wa hapa hajawaii onekana hapa kwimba-mwanza,juzi alipigiwa simu haje kwenye vikao na wananchi,akajibu yupo uarabuni kwenye biashara zake za mafuta,leo wamemshitaki kwa letisia nyerere,na Wenje
 
PIOOOPOS POWER,

Nafurahi mwamko ukitokea Kwimba na kwetu Misungwi wataelewa. Anyway................ by 2015 kitaeleweka tu!!!!!!!!!!!!!!
 
Vipi kuna shughuli zozote za kijasiriamali zafanyika ama CHADEMA imesitisha shughuli zote za uchumi kwa masaa haya ya mchana hapo KWIMBA?
wamefungua matawi hapa kwimba,sema hapa letisia nyerere alijitolea nyumba pamoja na hati yake kwa chama so ndo ofisi na ni kubwa sn ujue
 
PIOOOPOS POWER,

Nafurahi mwamko ukitokea Kwimba na kwetu Misungwi wataelewa. Anyway................ by 2015 kitaeleweka tu!!!!!!!!!!!!!!

Huko mbali sana mkuu kitaeleweka mapema zaidi. Hatuwezi kuvumilia hii hali ngumu inayosababishwa na Kikwete hadi 2015!
 
Back
Top Bottom