Nimtoto umri siku 14 ananyonya sana na kila amalizapo kunyonya huandamwa na kwikwi kiasi cha kitia huruma
Msaada wa dau na wataalamu.
Hiyo ni kawaida sana. Kumbuka mtoto awapo tumboni hapumui kwa kutumia pua, na mapafu yake yanaanza kutumika kuingiza hewa ya Oxygen baada ya kuzaliwa. Hizo kwikwi ni mapafu yanaanza kuzoea kuingiza hewa na kutanuka. Hali hiyo isikuogopeshe, itatulia baada ya wiki chache. Ukiwa na mashaka zaidi uliza ushauri kwenye clinic ya watoto ama hospitali alipozaliwa. Sote tulijifunza taratibu. Hongereni!
Sent from my RM-914_eu_finland_217 using Tapatalk
Pole sana,ni suala common kwa watoto wachanga hasa wa kwanza(usiniulize takwimu)
Inasemekana sababu kubwa ni kunyonya 'hewa'
Hii huchangiwa na position ya mtoto wakati wa kunyonya kuacha nafasi ya kuingiza 'hewa' kinywani.
Pia wengine wanasema overfeeding inaweza kupelekea hali hii.
Cha kufanya...
Muone daktari/mkunga aliyebobea kwenye maswala ya watoto wachanga/unyonyeshaji anaweza kukusaidia.
Hiyo ni kawaida sana. Kumbuka mtoto awapo tumboni hapumui kwa kutumia pua, na mapafu yake yanaanza kutumika kuingiza hewa ya Oxygen baada ya kuzaliwa. Hizo kwikwi ni mapafu yanaanza kuzoea kuingiza hewa na kutanuka. Hali hiyo isikuogopeshe, itatulia baada ya wiki chache. Ukiwa na mashaka zaidi uliza ushauri kwenye clinic ya watoto ama hospitali alipozaliwa. Sote tulijifunza taratibu. Hongereni!
Sent from my RM-914_eu_finland_217 using Tapatalk
Ahh...Utakuwa umembemenda mtoto.
First borne bila shaka!
Hiyo mara nyingi ni normal,baada ya muda itakwisha.