Kwepa kuombwa bia

Fatford

Member
Mar 23, 2008
10
2
Unajua njia rahisi ya kuwakwepa waomba bia? hii hapa.

caller; Mambo vipi mshakaji weekend inakuwaje.

msela: Poa mi nipo mtaani nakamata Tusker tu..

caller; Sasa upo nije basi unipe bia moja mbili?

msela:Nipo hapa mbagala jeshini hapa njoo basi unipe company...

Akija huyo anahitaji ameshindikana.....
 
hahahahah hii kali Mbagala jeshini kuna nini kwani ama Bomu laweza mlipukia? Wapiga mizinga mazee hawaangalii...wanatia timu....!
 
Kwani Mabomu yanalipuka kila siku!! Watakuja tu. Dawa kubwa Kaa Kaunta alafu kula jiwe hakuna kucheka na mtu
 
Mkuu umetoka bongo muda mrefu nini....kuna siku nilijifanya kukaa counter...akaja jamaa na mkewe...wakaniona jamaa akawa anaagiza na muhudumu akaja niambia kuna ile couple pale wamekunywa bia 16 na mguu wa mbuzi...nilizima ujanja..jamaa unawajua ukizingatia umetokea mamtoni ilibidi nilipe tu....
 
nyie mnawalemaza.....iweje mtu huna pesa aende bar kuomba omba..ndio maana wanashkishwaga ukuta watu wa namna hiyo.....hio ipo sana kwa wachaga mtu anakulazimisha umlipie bia
 
Hahahaha Yo Yo balaa....jamaa alikuwa mchagga na mkewe hahahaha !
 
Wazee wa Kiraracha wakikusikia!! Mie simo.
 
nyie mnawalemaza.....iweje mtu huna pesa aende bar kuomba omba..ndio maana wanashkishwaga ukuta watu wa namna hiyo.....hio ipo sana kwa wachaga mtu anakulazimisha umlipie bia

Yaani wangeosha glasi za bar....kwa kweli....hata kama ni wazee wa nyumbani na wameniona pale nakamata moja mbili....eti na mguu wa mbuzi.
 
Hahahaha Yo Yo balaa....jamaa alikuwa mchagga na mkewe hahahaha !

Hivi kwa nini wachagga iwa wanalazimisha sana kununuliwa bia?
Mi kuna mama mmoja iwa ananikera mchagga ukimsalimie tu kosa lazima umnunulie 3 tena anakwambia lipia kabisa.
 
Yaani wangeosha glasi za bar....kwa kweli....hata kama ni wazee wa nyumbani na wameniona pale nakamata moja mbili....eti na mguu wa mbuzi.

Mkuu umeniacha hoi kwa kicheko, kweli kabisa utaacha waoshe glasi za bar!!..Ila kama watu wanaagiza mpaka miguu ya mbuzi lazima wapewe fundisho na kukoma kufanya kufuru wakipewa/wakiomba ofa za bia..
 
Mkuu umetoka bongo muda mrefu nini....kuna siku nilijifanya kukaa counter...akaja jamaa na mkewe...wakaniona jamaa akawa anaagiza na muhudumu akaja niambia kuna ile couple pale wamekunywa bia 16 na mguu wa mbuzi...nilizima ujanja..jamaa unawajua ukizingatia umetokea mamtoni ilibidi nilipe tu....

Du ,wewe Masanilo nimeamini ni ALCOHOLIC kweli,

na AVATAR yako inaonyesha!!!

Ungezuga unakwendaToliet, halafu mzee unachapa

mwendo kama anavyofanyaga mwenzio

MAKONYAGI!!

Ha hahaaaa!!
 
hahahahah mzee nina shida na pombe kwa kweli any IDEA walau nipunguze?
 
kIBURI ya pombe inakuja kama unaHELA mfukoni..vinginevyo mkondo wa pesa ukipotea lazima utapunguza unywaji ndo mwanzo wakusema ntakuwa nakunywa weekend tu wakat hapo awali ulikuwa wapata kilaji daily....Bado sijaona njia nyingine mbadala ya kuacha Pombe kama si ugonjwa au kutokuwa na pesa mfukoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom