Kwenye swala la mapenzi wanaume hawana mzaha...!

kamwali!bora ubwelili!huku wanasema eti hata kama wametuacha au tumewaacha tubakie t kuwa wao kisa na mkasa ?yani wanapenda kweli wakuache sio waachwe na wakishakuacha uchakaaaae ,akhu tumekataa kuchakaa siku hizi!
kamwali ndo hivyo, mawivu tu hawana lolote.................
 
Last edited by a moderator:
as long as hanikatazi kuutumia, atajua kila senti tano inaenda wapi.

Mie sina tatizo na hili hata kidogo, ila na yeye aweke hadharani.

Wanaohudumia ni wachache, wengi wao wanataka wanataka wajue mishahara ya wake zao inakwenda wapi
 
SnowBall twende zetu tukabadilishane mawazo kiti kirefu achana na hao viumbe. Kwani nani huwa analalamika kila siku anaonewa? tutawapiga pini tu men are up there to stay period!

ahahhahhhaha leo ndyo leo na mtazinywa sana kumalizia hasira za kujua max wenu wanavotoa maraha kwa wenzenu leo!AHAHAHHAHA hasa ikifika usiku lazima mbambikiwe bili!
 
na bado!nini sumu ujichome hata moto
ulivomuacha je aulitegemea ajilipue akha babu
girls na ladies wooote hakuna kisu kibaya kwa mwanaume aliyekuacha kama akikuona uko poa unashine kuliko alivokuacha sasa mkikaa mnanun,hamcheki ,hampendezi ,hamjirembi,hamtoki out na marafiki kisa umetendwa unazidi kupa macredit huyo mwanaume!
usiruhusu atawale maisha yako hata baadfa ya kuachana .cha kujipa ujane hai nini?cheer up!maisha bado yanasonga mbele atajibeba mwenyewe ahahhaahhahhah!

Nahsi tumepoteza mwelekeo wa mada pacha wangu snowhite na hata Mtambuzi akija atashangaa tulivyodivert from the topic. Mada inasema 'KWENYE SUALA LA MAPENZI WANAUME HAWANA MZAHA'..Na anachojaribu kusema Mtambuzi ni kuwa sisi wanaume tunajitolea sana kwenye mapenzi na saa zingine tunaweza hata kuua ili kulinda mapenzi yetu..sasa badala tupongezwe kwa kuwa na uchungu na wapenzi wetu naona kama sasa manatupiga vijembe...lol

Hebu rudieni kusoma upya mada ili mjadala uende vizuri na tuweke kumbukumbu sahihi...
 
wala hatujaitendea visivyo mada pacha!swala la uleule umiliki wa penzi la mwanamke anaojipa mwanaume!
kwa hiyo iwe ni kwenye mahusiano au baada ya hapo!
mambo ya once my girl ull always be yanatoka humu humu!
 
kuna siku nilimkuta X kapandishwa kwenye V8, niliumwa mwezi mzima.

Inauma wewe, inauma sana.

na bado!nini sumu ujichome hata moto
ulivomuacha je aulitegemea ajilipue akha babu
girls na ladies wooote hakuna kisu kibaya kwa mwanaume aliyekuacha kama akikuona uko poa unashine kuliko alivokuacha sasa mkikaa mnanun,hamcheki ,hampendezi ,hamjirembi,hamtoki out na marafiki kisa umetendwa unazidi kupa macredit huyo mwanaume!
usiruhusu atawale maisha yako hata baadfa ya kuachana .cha kujipa ujane hai nini?cheer up!maisha bado yanasonga mbele atajibeba mwenyewe ahahhaahhahhah!
 
yaani kama wewe snowhite uwe X wangu
niko radhi nilie pale uwanja wa taifa hadi unionjeshe tena lol

Aisee, nitafanya chochote hadi ukubali, chezeiya mwanamme analilia chake cha zamani wewe.

ahahahhahhahhahahha kwa wadada wa mujini siku hizi mmenoa!unapewa za uso kavu kavu hata kaburini hufiki!
 
platozoom hawa wamedivert mada bana..yaani wameingilia mlango sio wenyewe aisee..by the way chocho la wapi mkuu??

Unajua kabla ya kuleta mada inawezekana Mtambuzi aliwaeleza PM wachakachue mada makusudi. Hivi hukumbuki walishawahi kumueleza kwamba nondo anazotupia sredini zinawaelemea wao kwa hiyo wanataka za kulipiza kisasi
 
Last edited by a moderator:
wala hatujaitendea visivyo mada pacha!swala la uleule umiliki wa penzi la mwanamke anaojipa mwanaume!
kwa hiyo iwe ni kwenye mahusiano au baada ya hapo!
mambo ya once my girl ull always be yanatoka humu humu!

Kwa hiyo mnachopinga ni nini?..kwamba mwanaume hana moral authority kuclaim penzi la mtu wake kwa gharama kubwa?..au? Hebu angalieni jamani gharama anazoingia mwanaume tangu harusi hadi maisha ya kawaida,mashoping kila kukicha, mitoko isiyopimika bado kwenye 6*6..Yaani kwa msingi huu anakosaje guts za kufia penzi la mtu wake??..
 
yaani kama wewe snowhite uwe X wangu
niko radhi nilie pale uwanja wa taifa hadi unionjeshe tena lol

Aisee, nitafanya chochote hadi ukubali, chezeiya mwanamme analilia chake cha zamani wewe.

we si unaona Rihana na Chris Brown wanavyofanya...yaani kila mtu anammiss mwenziwe!
 
Back
Top Bottom