kwenye mapenzi hii imo?

eeeeh kwa hiyo anamchambua kijana wa watu anamvua tratiiibuuu kwa hisia na kuona ni ng'adu ya kijana inatokomaa....
 
mi nimeambiwa habari hii nikabaki nashangaa as hii inakuwaje...labda tuwangoja wenye hekina na busara zao watupe mwangaza..

Hahahah jamiif hii dunia ina vya kushangaza vingi sana mpendwa lol......yaani ukistaajabu ya Mussa......
 
Last edited by a moderator:
Sasa kuna tabu gani? Mbona na nyie kutwa mnaangalia mipododo humu halafu mnarudi home kwa sony wega zenu na vitambi. Mkiangalia vitambi vyetu mnavuta picha ya flat tummy, gwaride linasonga! Jinsi ambavyo kila mwanaume anatongoza, mie hata sishangai na wake zenu nao wakitongozeka!
Ngachoka!

nimeipenda sana hii, like mia!!
 
Je tupo wangapi???? .........

kama ulizaliwa peke yako basi utakuwa kwa mumeo au mkeo uko peke yako kama mlizaliwa 4 basi kwa mumeo/mkeo mtakuwa 4 kama mko wengi kama kumi hivi na wengine ambao amezaa baba yako huwatambui basi ujue mko wengi kwa mumeo/mkeo, angalizo, ukitulizana mungu atakulinda kuanzia kwenye gono hadi hiv, hata kama mwenzio anatoka nje ila ukinusa pua yako nje tuuu kwishnehiii
 
Hapo kwenye bold mkuu umeongea...ni kweli kabisa nakubaliana na wewe!!hizi ndio hekima na busara tunazozizungumzia...asante sana!
kama ulizaliwa peke yako basi utakuwa kwa mumeo au mkeo uko peke yako kama mlizaliwa 4 basi kwa mumeo/mkeo mtakuwa 4 kama mko wengi kama kumi hivi na wengine ambao amezaa baba yako huwatambui basi ujue mko wengi kwa mumeo/mkeo, angalizo, ukitulizana mungu atakulinda kuanzia kwenye gono hadi hiv, hata kama mwenzio anatoka nje ila ukinusa pua yako nje tuuu kwishnehiii
 
Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.

ushishwawishiwe kabisa!kila mtu ana akili zake kkwakweli!mimi nimetulia kwenye ndoa yangu uzuri tu na naamini wapo wengi tu wenye maadili yao na wanaojua thamani ya miili yao!
 
Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.

usishawishiwe kabisa!kila mtu ana akili zake kwakweli!mimi nimetulia kwenye ndoa yangu uzuri tu na naamini wapo wengi tu wenye maadili yao na wanaojua thamani ya miili yao!
 
Hizi ni zile sredi zinazonifanya nitabasamu huku nikivutia picha jamaa zangu waliooa.
 
ni kweli ndugu yangu..wapo wenye maadili yao na wanaomuogopa Mungu..hii ni kwa wake na waume.
usishawishiwe kabisa!kila mtu ana akili zake kwakweli!mimi nimetulia kwenye ndoa yangu uzuri tu na naamini wapo wengi tu wenye maadili yao na wanaojua thamani ya miili yao!
 
usishawishiwe kabisa!kila mtu ana akili zake kwakweli!mimi nimetulia kwenye ndoa yangu uzuri tu na naamini wapo wengi tu wenye maadili yao na wanaojua thamani ya miili yao!
kuongelea mazuri tu wakati mabaya yapo ni udhaifu na kufukia ukweli,ukweli ni lazima usemwe tu hata kama utagharimu.
 
Back
Top Bottom