kwenye mapenzi hii imo?

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,413
990
hivi nimekutana na hii kesi kuwa: kuna dada mmoja ni mke wa mtu, sasa akatokea kumpenda mwanaume mwingine (huku ana ndoa yake hapo) ila akamwambia huyo mwanaume kuwa amempenda sana japo anajua kabisa hawawezi kufika popote kwa kuwa yeye ni mke wa mtu, na huyo jamaa hajaoa bado. Cha kushangaza ni kuwa dada anamwambia huyo mwanaume kuwa eti ame-improve sana katika kumpa mumewe chakula cha usiku kwa kuwa wakati akiwa katika tendo hilo huwa anamuwaza huyo mwanaume wa nje na kuona kama ndiye anaye do naye. Hiyo imesababisha mumewe kuzidisha mapenzi kwake kwa kuwa anaridhishwa sana na uwajibikaji wa huyo mkewe wakati wa ku do...ndugu zangu hii imekaaje: ebu tujadili.
Nawasilisha wakuu.
 
Sasa anataka kumzawadia huyo kijana kwakumboreshea nyumba au tumpe hongera kwakua anawajibika kwenye sita kwa sita? mwambie awache utoto atulie na mumewe na ajiheshimu ............
 
Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.
 
dada haeleweki mi imenisikitisha sana kwa kweli...
Sasa anataka kumzawadia huyo kijana kwakumboreshea nyumba au tumpe hongera kwakua anawajibika kwenye sita kwa sita? mwambie awache utoto atulie na mumewe na ajiheshimu ............
 
Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.

mmmmmmmmh...
 
umeona ee...unaweza kufikiri mai waifu wako anajituma unaenjoy mwenyewe kumbe upo kivuli tu pale, njemba nyingine ndio inatawala show!
Mmmh, hii taasisi mbona inachoshwa hivyo??

Hivi nashawishiwa kuamini hakuna wake za watu walotulia???
Ila kuna mmoja naye hapa, ananshangaza na vioja vyake na kaolewa.

Nadhani inabidi tuongelee za mazuri kuwapa moyo akina baba kuwa hawachakachuliwi kiasi hiki.
 
Sasa kuna tabu gani? Mbona na nyie kutwa mnaangalia mipododo humu halafu mnarudi home kwa sony wega zenu na vitambi. Mkiangalia vitambi vyetu mnavuta picha ya flat tummy, gwaride linasonga! Jinsi ambavyo kila mwanaume anatongoza, mie hata sishangai na wake zenu nao wakitongozeka!
Ngachoka!
 
sasa sijui mtu utajuaje kama mwenzako hana hisia na wewe anakuridhisha kupitia hisia zake kwa mtu mwingine? hii ni hatari!
 
wajuzi wa mambo tunawasubiri jamani tupate busara yenu...
 
Kweli kabisa maana tuna vunjwa moyo kila kukicha!

Back
Top Bottom