Kwenye mahusiano haya hutokea?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Hivi ni kweli, mtu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, anadiriki kumwambia ampendaye hawezi kuongea pumba kwasababu anamwogopa, lkn kwa wengine anaongea pumba!
 
Hivi ni kweli, mtu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, anadiriki kumwambia ampendaye hawezi kuongea pumba kwasababu anamwogopa, lkn kwa wengine anaongea pumba!
Yea huwa inatokea, nadhan mtu umpendae hustahiri heshima, pia mazoea yaliyopita kiasi si mazuri ktk mahusiano, hugeuka kua dharau!
 
Mbona mi naona ni opposite?nikiwa na demu wangu naongea pumba hile mbaya ila kwa wengine adabu
 
bora aongee pumba zake mbele yng ili nijue ni za aina gan co kw wengne na wakamuona hana adabu 2tadharauliwa wote mi na yeye
 
yaani kwa umpendae unashindwa kuongea pumba kwa wengine unaongea? ndio umemaanisha hivyo? nahisi sentence zako hazijakamilika mkuu
 
Back
Top Bottom