Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Mimi sibishi, lakini tunapoelekea, hayo uliyoyasema, yatabaki historia tu................... Wanawake wa kizazi hiki sio sawa na wale wa zamani ambao walitishwa na mila na desturi pamoja na mafundisho ya dini juu ya ndoa na mahusiano. Nyie subirini tu, siku si nyingi mtashuhudia haya niyasemayo.............. Zile zama za kuwaona wanawake kama wao ndio wenye wajibu wa kuamua kuwa ndoa iendelee au isiendelee, zinaelekea ukingoni, wote sasa tutakuwa na wajibu katika hilo, kwa maana ya ukimwaga mboga namwaga ugali.............
Tunayaona haya kila siku, siku hizi wanawake wako mstari wa mbele kuacha waume zao!