Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Bei ya diesel na petrol kwenye mji wa Pemba (Mozambique) leo ni kama ifuatavyo:
Kwa taarifa yako mji wa Pemba uko kilometre kama 400 kutoka Nacala (bandari yanaposhushiwa mafuta)
Hapa Bongo bei ya diesel na petrol ni kama ifuatavyo
Kwa kifupi ni kwamba kwa nini bei ya mafuta Pemba (Mozambique) ambayo ni zaidi ya 400km kutoka yanaposhushiwa ni chini ya US$1 (US$0.81)? wakati hapa kwetu ni zaidi ya US$1 (US$1.1) kwa nini????
Mozambique wanaimport mafuta kama sisi, je au tunafinance ufisadi hapa???
Je kwa nini BP wanakimbia Tanzania?? Si hayo tu, hata kwenye construction industry makampuni yote yenye integrity (European companies kama Skanska, etc) yote yamefunga virago ma matokeo yake wote tunayajua (fake everything)....
Kwa nini?????????????
- Diesel 27.24 MTs
- Petrol 29.11 MTs
Kwa taarifa yako mji wa Pemba uko kilometre kama 400 kutoka Nacala (bandari yanaposhushiwa mafuta)
Hapa Bongo bei ya diesel na petrol ni kama ifuatavyo
- Diesel 1,600 Tshs
- Petro 1,650 Tshs