Kwenu Wanandoa na wadau wengine-Hivi PORNOGRAPHY inabomoa Ndoa au inaimarisha?

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,235
Jamani naomba mawazo na michango yenu kuhusu suala zima la picha za Pornoghraphy. Katika kukutana na watu mbalimbali nimekutana na wale wanaozipinga picha hizi kuwa hazifai na wengine wanasema ni nzuri kwa kuongeza ubunifu hasa kwa walioko kwenye ndoa.

Mimi binafsi naona ni bomu linaloweza kulipua familia na kuzidi kuporomosha maadili ya jamii. Wewe binafsi unaonaje kuhusu hili.
Karibuni tujadili.

NB:Kwa wenye idea zaidi tupeni faida na hasara pia za Pornoghraphy
 
Inategemea,,,,,,,,
niliwahi kuwa na msichana ambae hapendi kabisa kutazama porno
na mimi nilikuwa sitazami kabisa na mahusiano yalikuwa mazuri tu.
Baadae nilimpata mwingine ambaye tulikuwa hatulali bila kutazama
hizo porno na mahusiano yetu yalikuwa mazuri tu,,,,,,,
so inategemea na malezi ya watu......na jinsi mlivyo...
 
Mi nilishasimulia hapa jamvini kuhusu ugomvi wa mke na mume waliopelekana kwa Paroko, ambapo mke alikuwa anadai kuwa mumewe ni mchovu sana, na kwamba anahisi ana mahusiano huko nje,! Baba Paroko baada ya ushauri mwingi kwa couple hii aliwaambia kuwa si mbaya kama siku nyingine wataweka picha hizo chumbani kwao ili iwarejeshee hamu ya tendo!
 
Kwa maoni yangu inategemea nyinyi wenyewe. Biashara ya Porno ni ya mabilioni ya dollar inashinda hata ile ya movies za Hollywood kwa kuingiza pesa nyingi na sidhani wanaongalia porno ni single people pekee. Wako wengine wanaangalia kila kitu kinachofanywa kwenye hizo movies na wengine wana comfort zone na mambo mengine ambayo hawayapendi wanakaa nayo mbali kabisa. Hivyo kwa ndoa moja porno inawezekana kuwa ni part and parcel katika ndoa hiyo kwa kuwa wahusika wote hawaoni ubaya wa kuziangalia na kwa ndoa nyingine labda inaweza kuwa ni sumu kwa kuwa mmoja wa wahusika katika ndoa hiyo anaweza kuwa hakubaliani kabisa kuangalia porno kwa wote au mwenzake.
 
Nionavyo mimi ni bora kuondoa pornograph ktk ndoa, zile zinaweza sababisha watu wawe na unrealistic expectations kwa wake/waume zao, yaani wanaanza ku expect nao wafanye kama wale wa kwenye movie na hawariziki na anything less, kitu ambacho kwa wengi hakiwezekani na wengine wanajikuta wanaanza ku “act” badala ya kuwa themselves, matokeo yake ni kufanya suala zima liwe feki flani hivi, au waume wanaanza kujitilia mashaka kwa sababu hawatendi kama wale wa kwenye movie

Ondoa porn, explore each other and find out what each other like best, men/women are different pia yule wa kwenye porn ni tofauti na mumeo/mkeo, pia inawezekana ni actor/actress tu anafanya kazi yake yaku act...

Ndio maana kuna wale wanaojiuliza kwa nini wakati wa tendo lazima kichwani awe yule wa kwenye porn, wakati physically ni mumewe/mkewe vinginevyo haiwezekeni?!...moja wapo ya madhara ya porn hayo…
 
personally, nafikiri hatua hiyo itaimarisha ndoa,lakini ni vyema picha au filamu zenyewe zitazamwe tu katika wakati fulani.
 
inategemea mko conservative kiasi gani,
kwa watu ma-liberali na open minded, porno nzuri na inaongeza ladha kwenye mavituz ndani ya ndoa.
amini usiamini- nitakupa mfano mmoja; baada ya kuishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu na kuendelea, mvuto kwa wife huwa unapungua kwa sababu kadha wa kadha, waweza kujikuta siku mnalala na kitu hakisimami - hiyo inaweza ku-bore, kwa hiyo kwa kuangalia porno kitu unaweza kuwa excited na kumpa mkeo kitu roho inataka.
na vile vile kuna style mbali mbali mwaweza kujifunza humo, sio missionary kila siku.
tatizo ni watoto wa ma-ustaadhi na wazee wa kanisa; kila kitu dhambi!
 
napenda kushauri zitazamwe kwa wawili hao na zinahamasisha kufanya ngono hata kama umechoka
 
Kwa maoni yangu inategemea nyinyi wenyewe. Biashara ya Porno ni ya mabilioni ya dollar inashinda hata ile ya movies za Hollywood kwa kuingiza pesa nyingi na sidhani wanaongalia porno ni single people pekee. Wako wengine wanaangalia kila kitu kinachofanywa kwenye hizo movies na wengine wana comfort zone na mambo mengine ambayo hawayapendi wanakaa nayo mbali kabisa. Hivyo kwa ndoa moja porno inawezekana kuwa ni part and parcel katika ndoa hiyo kwa kuwa wahusika wote hawaoni ubaya wa kuziangalia na kwa ndoa nyingine labda inaweza kuwa ni sumu kwa kuwa mmoja wa wahusika katika ndoa hiyo anaweza kuwa hakubaliani kabisa kuangalia porno kwa wote au mwenzake.

mie mbona zinanishinda kuangalia ??cant find any feeling naona kama WWE tu :)
 
Mi nilishasimulia hapa jamvini kuhusu ugomvi wa mke na mume waliopelekana kwa Paroko, ambapo mke alikuwa anadai kuwa mumewe ni mchovu sana, na kwamba anahisi ana mahusiano huko nje,! Baba Paroko baada ya ushauri mwingi kwa couple hii aliwaambia kuwa si mbaya kama siku nyingine wataweka picha hizo chumbani kwao ili iwarejeshee hamu ya tendo!

Huyu Baba Paroko lazima atakuwa out of his mind! how come mtumishi wa Bwana kushauri vitu kama hivyo? isitoshe pale wanakuwa wakati mwingine ni watu wa jinsia tofauti na zaidi ya mmoja.Jamani makanisani nako tumekwisha.
 
hizi picha zinasaidia sana!lakini ni vyema watu wakawa makini na wakawa selective!kweye bizo picha wale actors wana tendency ya ''kuji-express''.sasa hili ni kinyume kabisa na maagizo ya mwenyezi mungu.muwe makini mnaotumia hichi kilevi,kinyume na hilo mtakuja kuwaingilia wake zenu kinyume
 
Shemeji, kama wanapenda kujiexpress kuna ubaya gani? Manake kama wanapenda afu we hutaki, wapwa zangu watakusaidia.
 
hizi picha zinasaidia sana!lakini ni vyema watu wakawa makini na wakawa selective!kweye bizo picha wale actors wana tendency ya ''kuji-express''.sasa hili ni kinyume kabisa na maagizo ya mwenyezi mungu.muwe makini mnaotumia hichi kilevi,kinyume na hilo mtakuja kuwaingilia wake zenu kinyume

Geoff umeongea pweinti hapa uliposema ulevi.Huu ni ulevi sawasawa na cocaine,ukishaanza tu kuangalia basi,kama mkeo hayupo karibu unaweza kubaka mtu njiani yani ni hatari sana.what if ukianza kumfananisha mkeo na hao unaowaona.Halafu nimewahi sikia kuwa hizi picha zinaharibu sana kompyuta.
 
sasa shem,ina maana na wewe unapenda kujiexpresi?

Hahaha! Kuna siku nilimwomba binti mmoja tujaribu akachomoa. Na tangu siku hiyo sijamwona tena! Ile kitu inahitaji ujasiri na ubabe wa hali ya Juu.
 
Hahaha! Kuna siku nilimwomba binti mmoja tujaribu akachomoa. Na tangu siku hiyo sijamwona tena! Ile kitu inahitaji ujasiri na ubabe wa hali ya Juu.

hiyo kitu bwana achana nayo!katika sehemu mbaya kabisa ambazo aikuwahi kufurahishwa nalo katika hizo ''bia'' ni hiyo ya kumuingilia mwanamke kinyume,lol! shemeji acha kabisa.

na kilichosababisha nizifanyie hizo picha SEND-OFF ni pale nilipoona za wanaume kwa wanaume wanapandana
 
Hahaha! Kuna siku nilimwomba binti mmoja tujaribu akachomoa. Na tangu siku hiyo sijamwona tena! Ile kitu inahitaji ujasiri na ubabe wa hali ya Juu.

Bora alikukatalia mwanaume mbaya weye! Ungejaribu kwa mkeo uone kasheshe lake.
 
hiyo kitu bwana achana nayo!katika sehemu mbaya kabisa ambazo aikuwahi kufurahishwa nalo katika hizo ''bia'' ni hiyo ya kumuingilia mwanamke kinyume,lol! shemeji acha kabisa.

na kilichosababisha nizifanyie hizo picha SEND-OFF ni pale nilipoona za wanaume kwa wanaume wanapandana

Nakuomba mafundisho haya umpe na mpwa wetu. Hii sakramenti imempitia mbali sana
 
Bora alikukatalia mwanaume mbaya weye! Ungejaribu kwa mkeo uone kasheshe lake.

Ukitaka kujua hasira za kale ka mama watoto kangu kagusie hilo jambo. Lol! Hicho kitumbua tu napewa kwa masharti na kwa ratiba maalum, sembuse hicho kitundu kichafu?
 
Ukitaka kujua hasira za kale ka mama watoto kangu kagusie hilo jambo. Lol! Hicho kitumbua tu napewa kwa masharti na kwa ratiba maalum, sembuse hicho kitundu kichafu?

Dah sikuwezi! umeshindikana.Lakni mimi ni mvua samaki ,nitakuvua tu siku moja.uwe kondoo mwema.
 
Back
Top Bottom