Kwenu Waandishi wa Habari na Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania...

Tanzania ni zaidi ya hatari

Alafu una ambiwa tuna Amani wameshampiga mtu anaomba aachiwe uhai wake wao wanammalizia kafa na mtutu kifuani Hata Kama hakusalimu amri walisha muweka chini ya ulinzi kwanini wa muue??? Kazi ya majaji na mahakama ni nini??? Mtakufa mpaka lini??? Au tuendelee kumalizia hasira kwenye keypad?? Jamani mwenzio akinyolewa wewe tia Maji......Ngoja nikale bia nilale rip shujaa
 
hv polic mnatumwa au mnatumiwa? huko tunakoelekea mtashindwa hata kuvaa nguo zenu
 
Hata gazeti la Uhuru ni chombo cha habari. Usishangae likaibuka na kichwa cha habari "Mwandishi awafanyia vurugu askari" au "CHADEMA wamuua mwandishi wa habari" !!

Sijui kwa nini njaa ilichagua kukaa tumboni!
 
waandishi wa habari tumieni taaluma yenu kuiwajibisha serkal hii dhaifu,yenye mafisadi,ee mwenyez mungu angamiza mafisadi,
 
Inauma sana kuuwawa ndugu yetu Daudi mwangosi, lakini na upande wa pili huyo askari nae amefanyaje, nadhani kuna kitu atakuwa ame-document wakaona njia pekee ni kumfanyia hivyo, nadhani polisi wengi wakifika uzeeni huwa wanaishi kwa majuto sana
 
Hata gazeti la Uhuru ni chombo cha habari. Usishangae likaibuka na kichwa cha habari "Mwandishi awafanyia vurugu askari" au "CHADEMA wamuua mwandishi wa habari" !!

Sijui kwa nini njaa ilichagua kukaa tumboni!

Bora ilikaa tumboni, ingekaa kichwani ingekuwa balaa
 
Nimeangalia hizo picha, na kufikiria majibu mepesi tutakayopewa kesho nimepata hasira sana.

Mkuu usipate jazba sana, wamewalea wenyewe waandishi wa habari, kilichokosewa ni wa channel10 kesho watauwa wa Tbc kabisaa
 
Kesho habari gazetini Vurugu za chadema mwandishi wa habari kapoteza maisha!!!
Nasikia Uchungu kuona nguvu zinatumika kubwa kwa mtu ambaye hana siraha!! Kulikua na haja gani kumuua mtu ambae hana hata fimbo mkononi?
 
sio wewe tu mkuu.
Swali kwa mwema na nchimbi, baada ya mwangosi, who is next??????????? Naombeni mnijibu tafadhali. Nani mtamuua baadae???? Maaana inaonekana ndicho pekee mlichojifunza huko CCP, to kill innocent people.
Kweli nimelia sana! Mwaka wangu wote umeharibika!
 
Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten, Waandishi Wa Habari na Wapenda maendeleo wote. Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema peponi.

Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa mmekaa tu kimya, Jerry kashikishwa kesi mmekaa tu. Na sasa mwenzenu, Mtanzania mwenzetu kauwawa tena on field, mtafanyaje?

Je Mtakaa kimya upepo upite?

Rest In Peace Daudi Mwangosi.

Maandiko yako yote nakubaliana nawe, ISIPOKUWA HAPO KWENYE RED TU. Huyu mtu naomba tuyaache maana mahakama imeshatoa maamuzi lakini ukweli ni zaidi ya ujuavyo. Niishie hapo.

Back to the point: Ni kweli hapa ni sehemu muhimu kwa wanahabari kuungana kuanzia leo. Hebu ngoja tuone watakachokifanya. Kama ningekuwa Mhariri, kesho kichwa changu cha habari kingekuwa; POLISI SASA IMETOSHA KUUA, TUHURUMIENI WATANZANIA.
 
Sawa Mkuu hilo la huyo bwana tutalizungumza wakati mwingine. Sasa tubaki na lililoko mkononi.

Na je kama media itaendeleza mchezo wake ule ule wa kuficha, Sisi wananchi tuchukue Hatua gani?

Lisipite Hivi Hivi
 
Kifo hiki cha kusikitisha kimeigusa Chanel Ten ambayo kwa mtazamo wangu huitizama CDM kama wafanya vurugu wa nchi hii. Sasa kwa hili mtakuwa mmepata akili na kuielewa CCM Police na maonevu yake. Sikuwahi kuona CDM wakifanya fujo hata siku moja, siku zote nashuhudia polisi wakifanya fujo kwa jina la kuzuia fujo ambazo wakati huo huwa hazipo.

Channel Ten sasa muache kujikomba kwa serikali, haya yanaweza kumkuta hata Fred Mwanjala na yule mjahidina mwenzake anayependa kujipendekeza kwa serikali.

Tupinge mauaji haya kwa kila hali. Polisi watulinde na si kutuua
 
Swali kwa mwema na nchimbi, baada ya mwangosi, who is next??????????? Naombeni mnijibu tafadhali. Nani mtamuua baadae???? Maaana inaonekana ndicho pekee mlichojifunza huko CCP, to kill innocent people.
Kweli nimelia sana! Mwaka wangu wote umeharibika!

Mwandishi ameangukiwa na 'flying object'
 
Duuh!Nimalizie kiroba changu tu maana waandishi wa bongo walivyo na njaa kali,kesho sito shangaa wakisema "cdm wahusishwa na kifo"!
 
Back
Top Bottom