Kwenu nyie....

Dah, yaani nipo kwene basi from Moro na hapa JF ndo napunguza stress kabsaa, nimeshtuka tupo Kibaha! hebu lete ka thread kengine sio ka MALARIA SUGU nataka vitu vitamu, siasa hapana maana mawaziri woote ni vimeo tu kama yule aliesema majiko ya samaki ferry yafungwe maana moshi unafika ikulu kwa jamaa hadi anashindwa kula kuku na bata
 
kuitana mpz tu ni kosa ?
waitane majina yote km hawafanyi wala hawamit tatizo nin?
nomino si vitenzi ......waitane tu majina yote ya paradiso mpk ya eden si issue
lakin ntaitaj kujua wnachat nini uko chemba+paswod nipewe....ilo tu

Kwako linaweza lisiwe kosa lakini kwa mwingine linaweza likawa kosa. Watu tuko tofauti. Mwanamke wangu anaweza asifurahishwe na mimi kumwita mwanamke mwingine "mpenzi" ambaye si ndugu yangu. Kwa hiyo inategemea na mtu na mtu.
 
ninachojua mimi haya ma social networking websites yanaharibu sana mahusiano ya watu.

Nwayz, nimeona niulize tu nione misimamo na maoni ya wadau

Afadhali umesema kua ni mtazamo wako, na mimi pia nakubaliana na ww ila under the following: unapokubali ku-expose ur true ID, pili, Unapokuja hapa na idea ya kuopoa au kuopolewa, tatu, kutokuingatia maana ya mtandao husika, kama ni wa kutafuta lovers thats well and good but i think sio JF, sijui labda maana sijawahi
 
Haya mjadala mwema simu imeisha chaji na nipo kwene basi, tutaendelea baadae kama leo sitafanyiwa surprise ya mechi na wifi/shemeji yenu, maana nikitoka kidogo tu, nikirudi eti hio mechi ndo zawadi yangu!! nina mashaka labda anataka ajue kama nimeiba..labda ananipenda, labda ana haki ya kupata mechi...baadae basi! asanteni
 
Mzaha mzaha hutumbua usaha!

Jibu langu ni kuwa hajui lakini hata hivyo sitathubutu ku flirt flirt na watu huku...hakuna cha mpenzi wala barafu wa moyo. Vile amabvyo sitapenda kumwona yeye akifanya hivyo hivyo sitamfanyia.

Ukweli ni kuwa sipendi kabisa aitane itane hayo majina ya mahaba na watu humu. Wengine hawataniwi, PM inaweza lead to kitu kingine.
 
mhh akijua patachimbika....thou swaga na uandsh wangu anaujua so i kp on kukataa isnt me....haha hah kaz kwl kweeeeli!!!
Kwa nini unakataa kama ni wewe? Wakati huohuo wewe unasema akiflirt its ok akupe tu p/word yake usome pm zake, huo si ubinafsi? Mpe na wewe yako aone yaliyomo sirini Rose!
Pia kumbuka mtu wako bwana lazima utagundua tu uandishi wake, kuna vitu huwezi kubadili na utajisahau tu.
Be considerate enough usiumize hisia za mwenzako.
 
Mungu wangu itakuwa ni balaa anaweza akazimia mwezi mzima atashangaa kweli ni mimi au ni mwingine au anaota?? Patakuwa hapatoshi
 
Una maana nimevuka mipaka????
sijamaanisha hivo ila nimesema hapa kuna uhuru lakini si unajua hata uhuru wenyewe una mipaka?
Kwangu mimi sitapenda kuona wangu anaitana itana na watu huku majina ya kimahaba. Safari huanziaha nyingine.
Yuko huru na niko huru kuchangia lakini lazima kuweka akilini hiyo mipaka ya uhuru.
si watu husema kuingia kwenye mahusiano (ya ndoa/mapenzi) ni kuuza uhuru?
 
sijamaanisha hivo ila nimesema hapa kuna uhuru lakini si unajua hata uhuru wenyewe una mipaka?
Kwangu mimi sitapenda kuona wangu anaitana itana na watu huku majina ya kimahaba. Safari huanziaha nyingine.
Yuko huru na niko huru kuchangia lakini lazima kuweka akilini hiyo mipaka ya uhuru.
si watu husema kuingia kwenye mahusiano (ya ndoa/mapenzi) ni kuuza uhuru?

Ila na wewe sasa umezidisha hizo principals zako bwana kwani dear, my love, my darling kwa kiswahili mpendwa, mpenzi. Mbona barua za kuomba kazi tunaandia Dear Sir/Madam. Mie sioni tatizo hapo kwa majina mradi isifike kwenye PM mkaanzisha safari moja mara ooohhh pale kona ya shekilango hotel gani tena vile siju. Wewe unaonyesha mkali sana nakuogopa
 
Ila na wewe sasa umezidisha hizo principals zako bwana kwani dear, my love, my darling kwa kiswahili mpendwa, mpenzi. Mbona barua za kuomba kazi tunaandia Dear Sir/Madam. Mie sioni tatizo hapo kwa majina mradi isifike kwenye PM mkaanzisha safari moja mara ooohhh pale kona ya shekilango hotel gani tena vile siju. Wewe unaonyesha mkali sana nakuogopa
Usiniogope, mi na linda vyangu tu Dena.
sasa wakianza huo mzaha wa kuitana majina ya mahaba utajuaje kama hawata hamia PM? Watakachoongea huko utakijua ww? Utashangaa wenzio wameenda zao places huko kukutana.
Mie bwana staki hayo mambo kabisaa....yananikera. Mazoea gani hayo uanze kuitana na mpenzo wa mwenzio majinna ya mahaba.?
Huo ni msimamo wangu
 
Kwenu nyie wana JF hususan mlioko kwenye mahusiano ya urafiki wa kimapenzi na ndoa na ambao ni wadau wakubwa wa MMU, je mwenzako anajua kama uko hapa? Anajua jina utumialo? Na wewe je unajua kama yeye yupo na jina alitumialo? Je kama ana vivuli vingi (multiple user IDs) unavijua vyote?
Hajui..hajui!
hAYUKO...
Singepata shida angejua...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom