Kwenu, Marytina, Firstlady, Dena, Gaga,LD na .............

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi
Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell, Lilyflower,Lizzy, gaga, Marytina na wadada wengine wote wa JF.
Nashindwa kupost PM kwa kila mtu kwenu, ila jamani me nawapenda sana na natamani niwafahamu ili nami ninaposoma threat au comment zenu basi nione nachangia kwa fulani.. Jamani, najua urafiki una sehemu zake, ila kwa kuwa humu ni sehemu za kuchangia na kutoa story muhimu watu wapambanue, basi nimeona niwatafute kwa njia hii kwanza ili hata ukicomment/nikicomment kwenye post yangu/yako nifurahie zaidi.

Me naadmire sana comment zenu pia (they'r like conversations)

Leo ni kwa akina dada wenzangu tu, next time natafuta wakina kaka/baba

Msinichallenge basi!!
 
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi
Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell, Lilyflower,Lizzy, sis RR, gaga, Marytina na wadada wengine wote wa JF.

Akija huyu kwenye red patachimba
 
Asante Kituku na sie tunakupenda pia!!Karibu tukufahamu na wewe!!!!:grouphug:
 
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi
Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell, Lilyflower,Lizzy, sis RR, gaga, Marytina na wadada wengine wote wa JF.
Nashindwa kupost PM kwa kila mtu kwenu, ila jamani me nawapenda sana na natamani niwafahamu ili nami ninaposoma threat au comment zenu basi nione nachangia kwa fulani.. Jamani, najua urafiki una sehemu zake, ila kwa kuwa humu ni sehemu za kuchangia na kutoa story muhimu watu wapambanue, basi nimeona niwatafute kwa njia hii kwanza ili hata ukicomment/nikicomment kwenye post yangu/yako nifurahie zaidi.

Me naadmire sana comment zenu pia (they'r like conversations)

Leo ni kwa akina dada wenzangu tu, next time natafuta wakina kaka/baba

Msinichallenge basi!!

Mbavu sina hapa, I doubt kama huyu ni dada:)) ni St.RR not Sis RR

Atakuja kukuchallenge..
 
Najua hili si jukwaa la kuombana urafiki, bali ni jukwaa la mijadala zaidi
Ila mimi naomba nipost hii wazo langu kwenu wakina LD, Michelle, firstlady, Dena Amsi Nirshad ,Carmell, Lilyflower,Lizzy, sis RR, gaga, Marytina na wadada wengine wote wa JF.
Nashindwa kupost PM kwa kila mtu kwenu, ila jamani me nawapenda sana na natamani niwafahamu ili nami ninaposoma threat au comment zenu basi nione nachangia kwa fulani.. Jamani, najua urafiki una sehemu zake, ila kwa kuwa humu ni sehemu za kuchangia na kutoa story muhimu watu wapambanue, basi nimeona niwatafute kwa njia hii kwanza ili hata ukicomment/nikicomment kwenye post yangu/yako nifurahie zaidi.

Me naadmire sana comment zenu pia (they'r like conversations)

Leo ni kwa akina dada wenzangu tu, next time natafuta wakina kaka/baba

Msinichallenge basi!!

Ooooh! Akina dada tu kumbe, ngoja nisubili zamu ya akina kaka na akina baba
 
Dada kituku, St. R.R ni PANDE LA M-BABA
edit hilo jina kabla hajaja
 
Nimesha ku PM umeona? Dahh inabidi niombe BAN maana kila siku tu niko kwenye Title za thread. Haya bana
 
Back
Top Bottom