Kwenu kinaota/kinamea au kustawi kitu gani?

kuna mtu ana data za kilimo cha ndizi kwa biashara, nilisoma za uganda ni average ya 15 tonnes/ ha japokuwa research institute wanafika mpaka 60. hivi mkungu by average una uzito gani?, sh ngapi? zaidi ya maeneo mengine zaidi ya kagera, mbeya na kilimanjaro ndizi zinaweza kustawi vizuri? mwenye data pls!

Hiyo 15 tones ni kwa ekari moja au hekta moja?
 
Kwetu ni mihogo na mananasi

Kwenu wapi mkuu Mpigaji...........na vipi kuhusu upatikanaji wa ardhi na gharama nyingine?

hii miti inaota popote maana nimeiona kwa wingi sana dodoma, mwanza Kwakifupi mizaituni inafanana sana na muoarobaini kuanzia majani, matunda etc na kama hauna uzoefu unaweza usione utofauti. mahali unapoota muarobaini na mzaituni pia utaota

Mimi ni miongoni mwa wasioweza kuitofautisha miti hii..........niko Dodoma wapi hasa nikashuhudie? Je yale maeneo ya kulekea Ikulu ndogo ya Chamwino...........kuna miti mimgingi imepandwa kwenye nafasi kubwa ni mizeituni nayo maana inayo sifa ya ukijani karibu mwaka mzima.

Hatujazungumzia maharage wakuu huku Mbeya nimekuta kuna maharage fulani hivi ya njano wanaita maini nasikia ni mbegu toka Kigoma (I'm not sure) yanakubali sana huku mbeya na unaweza kulima marambili kwa misimu ya huku mwezi wa kumi na moja (Japokuwa utapata shida sana kuyakausha) na mwezi wa tatu ni kilimo kizuri pia kwa watu waliopo kanda ya huku ila nahisi Dodoma napo Maharage yanakubali

Dodoma maharage si sana nadhani utakuwa unailenga Morogoro; kwa maeneo inayopakana na Dodoma........kwenye wilaya ya Gairo; njianai akuna aiana kadhaa za maharage nakuna nayo yakiuzwa.

Nichangie kuhusu eneo, kule Mbingu Ifakara Mzuzu unamea vizuri sana, Kilosa morogoro ndizi zinakubali, mahenge Morogoro ndizi zinamea, tatizo la Mahenge ni kivuko. Kwa Dar pale Mabibo mkungu wa ndizi unafika 15,000/ kama bei ya juu kwa wastani. Hapa Lindi kuna maeneo japo si makubwa.

Umegusa mkoa wa Lindi................mkoa huu unafaa kwa kilimo kipi ukiacha mikorosho?
 
Kwenu wapi mkuu Mpigaji...........na vipi kuhusu upatikanaji wa ardhi na gharama nyingine?

Mimi ni miongoni mwa wasioweza kuitofautisha miti hii..........niko Dodoma wapi hasa nikashuhudie? Je yale maeneo ya kulekea Ikulu ndogo ya Chamwino...........kuna miti mimgingi imepandwa kwenye nafasi kubwa ni mizeituni nayo maana inayo sifa ya ukijani karibu mwaka mzima.

Dodoma maharage si sana nadhani utakuwa unailenga Morogoro; kwa maeneo inayopakana na Dodoma........kwenye wilaya ya Gairo; njianai akuna aiana kadhaa za maharage nakuna nayo yakiuzwa.

Umegusa mkoa wa Lindi................mkoa huu unafaa kwa kilimo kipi ukiacha mikorosho?

Tatizo la Lindi ilikuwa locked na hili tatizo limeigharimu sana Lindi,kwa hiyo utakuta wengi wanajua korosho tu, lakini huku kuna korosho,katani/mkonge, choroko, ufuta,gesi,matunda huko Kipatimu, mtama,vitunguu huko Mkoma na Mbwemkuru,mahindi,nyanya na kabichi. Kuna mianzi pale Mavuji/mangaka. Ufugaji sasa hivi umeanza baada ya jamaa toka kaskazini kuhamia. Uvuvi wa samaki na utalii.Jatropa pia for biofuel.

Tatizo la maeneo haya ni manpower,ardhi bado ipo kubwa sana.
 
nikitaka kuhifadhi mafuta ya alizeti nafanyaje wakuu,
nahifadhi alizeth au nakamua kwanza then nihifadhi kama mafuta! na mafuta yanaharibika baada ya muda gani yakishakamuliwa na kuhifadhiwa kwenye ndoo/dumu/galoni?!
 
Tatizo la Lindi ilikuwa locked na hili tatizo limeigharimu sana Lindi,kwa hiyo utakuta wengi wanajua korosho tu, lakini huku kuna korosho,katani/mkonge, choroko, ufuta,gesi,matunda huko Kipatimu, mtama,vitunguu huko Mkoma na Mbwemkuru,mahindi,nyanya na kabichi. Kuna mianzi pale Mavuji/mangaka. Ufugaji sasa hivi umeanza baada ya jamaa toka kaskazini kuhamia. Uvuvi wa samaki na utalii.Jatropa pia for biofuel.

Tatizo la maeneo haya ni manpower,ardhi bado ipo kubwa sana.

Nashukuru kwa changamoto hii naifanyia kazi
 
Wakuu samahani, nilikuwa vijijini kuotesha miti ya misitu ndio maana sikuonekana hapa jukwaani. Wakuu huko mambo sio mchezo, watu wanaotesha miti ya mbao/boriti ile mbaya. Kama mpango wa hewa ya ukaa utafanikiwa kuna watu watatoka hivi hivi wakiwa wamekaa.
 
Mkuu nilijua umekula kona,Thanks you are back, hivi ili ufaidike na hiyo carbon business miti yako inabidi iwe una ukubwa wa kiasi gani?
 
karibu tena malila, bado tunaendelea kusubiri modes watuanzishie kajukwaa ka ujasiliamali nadhani kwasasa wapo busy sana na jukwaa la siasa.
nilihudhuria workshop moja ya mazingira kwa wenzetu aisee nilibaki mdomo wazi, hawa viongozi wetu hawataki kuwapa wananchi elimu ya uatunzaji na uanzishaji wa misitu na badala yake tunawaona wao ndio wa kwanza kununua mashamba na kupanda miti vijijini.

Turudi kwenye mada: kwenye ile workshop walisema by 2015 karibu kila nchi itakuwa imeintroduce carbon tax ambapo kila kampuni italipa kodi kutokana na carbon itakayoizalisha kwa mwaka na ili kuineutralize ile level ya carbon itawabidi wanunue credits kutoka kwa wenye misitu na hivyo mkulima mwenye msitu atakuwa anapokea hela kama mama mwenye nyumba vile. Tayari hii kitu inafanyika US, Asia, Euro
 
ni ukubwa wowote ule cha muhimu ni wewe kuangalia ile miti yenye kutoa majani mengi mfano muarobaini, mzaituni. Utalipwa kutokana na calculations zao. Mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
 
karibu tena malila, bado tunaendelea kusubiri modes watuanzishie kajukwaa ka ujasiliamali nadhani kwasasa wapo busy sana na jukwaa la siasa.
nilihudhuria workshop moja ya mazingira kwa wenzetu aisee nilibaki mdomo wazi, hawa viongozi wetu hawataki kuwapa wananchi elimu ya uatunzaji na uanzishaji wa misitu na badala yake tunawaona wao ndio wa kwanza kununua mashamba na kupanda miti vijijini.

Turudi kwenye mada: kwenye ile workshop walisema by 2015 karibu kila nchi itakuwa imeintroduce carbon tax ambapo kila kampuni italipa kodi kutokana na carbon itakayoizalisha kwa mwaka na ili kuineutralize ile level ya carbon itawabidi wanunue credits kutoka kwa wenye misitu na hivyo mkulima mwenye msitu atakuwa anapokea hela kama mama mwenye nyumba vile. Tayari hii kitu inafanyika US, Asia, Euro

Hapa Bongo tayari watu wanakula hiyo hela, tangu mwaka juzi. Ukiweza M-Pm Edson akupe vitu, yumo humu humu. Ni pesa nzuri. Kama ulivyosema utakuwa baba/mama mwenye shamba.

Kwa sasa mti mzuri ni acrocarpus, huu mti unaota na kukua kwa speed nzuri na hauharibu mazingira kama mlingoti.
 
Mkuu nilijua umekula kona,Thanks you are back, hivi ili ufaidike na hiyo carbon business miti yako inabidi iwe una ukubwa wa kiasi gani?

Unajua; unapiga story huku unachapa kazi, ili ukiwa mzee unabaki na kazi ya kucheza dhumna pale mtaa wa Msimbazi, kusali na kucheza na wajukuu,huku ukihudhuria semina mbali mbali.
 
Hapa Bongo tayari watu wanakula hiyo hela, tangu mwaka juzi. Ukiweza M-Pm Edson akupe vitu, yumo humu humu. Ni pesa nzuri. Kama ulivyosema utakuwa baba/mama mwenye shamba.

Kwa sasa mti mzuri ni acrocarpus, huu mti unaota na kukua kwa speed nzuri na hauharibu mazingira kama mlingoti.

Kaka hii miti hapo inakubali Njombe? inachukua muda gani hadi kuwa mikubwa? inafaa kwa mbao pia? ni sehemu gani nyingine inakubali?
 
karibu tena malila, bado tunaendelea kusubiri modes watuanzishie kajukwaa ka ujasiliamali nadhani kwasasa wapo busy sana na jukwaa la siasa.
nilihudhuria workshop moja ya mazingira kwa wenzetu aisee nilibaki mdomo wazi, hawa viongozi wetu hawataki kuwapa wananchi elimu ya uatunzaji na uanzishaji wa misitu na badala yake tunawaona wao ndio wa kwanza kununua mashamba na kupanda miti vijijini.

Turudi kwenye mada: kwenye ile workshop walisema by 2015 karibu kila nchi itakuwa imeintroduce carbon tax ambapo kila kampuni italipa kodi kutokana na carbon itakayoizalisha kwa mwaka na ili kuineutralize ile level ya carbon itawabidi wanunue credits kutoka kwa wenye misitu na hivyo mkulima mwenye msitu atakuwa anapokea hela kama mama mwenye nyumba vile. Tayari hii kitu inafanyika US, Asia, Euro

Kaka "Kada" (usiogope huku hatuna ugomvi ni ujasiriamali tu!!!!!!!) hii kitu hata wakenya wameshaanza kuichangamkia aisee pamaja na kuwa wanashida ya ardhi na wanajangwa ila sisi bado tumelala kidogo kuna wajanja wachache watafaidi sana hii kitu miaka michache ijayo
 
mkuu malila karibu sana jamvini, mi nilikua nasikia hewa ya ukaa hewa ya ukaa kumbe dili namna hiyo!!! yaani za hizi nataka nianze ku google huo mti nione umekaaje na aina zingine pia!
 
Hii thread ni nzuri sana. Kuna haya matunda yaitwayo matofaa na shokishoki yanalimwa yanajiotea huku zenj, ni deal sana ku-export nchi za arabuni hapo. Lakini kama mnavyojua ufinyu wa ardhi huku zenj unafanya kusiwe na large plantations ya mazao haya. Je huko Tanganyika wadau mimea hii inastawi,if yes ichangamkieni. Aidha baada ya kupitia kwa umakini posts zote za topic hii nimebaini changamoto zifuatazo: A) Listing/identifications ya haya maeneo potential ya mazao mbalimbali ni budi yaende sambamba na maelezo ikiwa sehemu husika ina umeme au la cz most ya mavuno ya bidhaa husika zinahitaji refridgeration ili kulinda ubora na semi-processing ili kuongeza ubora. Si haba kwa sasa vijimashine viko vingi ndani na nje ya nchi but problem z power. Hapa ndo hatutachoka kuzitaka sirikali zetu zifanye mapinduzi ya kweli na dhati ya umeme.(bado naumiza kichwa vp tutawezesha mapinduzi haya kilimo kama yanavyojadiliwa ktk topic hii). B) Utekelezaji wa kweli wa yanayojadiliwa humu lazma yawe na strong linkage baina ya wanaoitwa 'wakulima' wa kule mashambani na wanaoitwa employees walioko mijini(hapa napenda kumpongeza muanzisha mada hii ambayo naamini itawatoa wale wote wategemea TGS-? kutumia muda wao wk end na vi-SUV vyao kuelekea mashambani-pwani,tanga,moro,dom, iringa,sngda nk badala kwenda kule Darlive kuambukizana maradhi. Hii inatokana ukweli kwamba daraja hili wa watz ndo lenye access kubwa kutumia internent na kutoka nje ya mipaka yetu hivyo kuweza kujifunza na kujua opportunities nyingi tofauti. Pia wana access ya kupa pesa kila mwezi hivyo kuwa rahisi kuhudumia mazao C) Walaaniwe waliokuwa wakitaka jf ifungiwe kwani jf siyo Jukwaa la Siasa pekee kwani kuna vitu adhim kama hivi.
 
Back
Top Bottom