Kwenda na wakati

Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,959
1,633
Jamaa zangu Chinga wanajua sana kwenda na wakati na matukio hasa wakati wa kuwapa majina watoto wao. Hii nilithibitisha pale Maandazi road nilipomsikia baba Ochama akiimuuliza nkewe mama Ochama kuwa ntoto wao kaenda wapi, na mama Ochama akajibu: Ochama kaenda kucheza kwa akina Chadamu hapa anankimbia Buchi nchokozi sana.Baba Ochama nae akaongeza: afazali akacheze na akina Chadamu maana hata Obama n-dogo wake Buchi nae chiku hizi nchokozi kama kaka yake Buchi na baba yao Wochingitoni anawaaachia tu. Duuuh mwenyewe nilikoma.
 
Back
Top Bottom