Kwenda na kurudi, Dar- Johansburg <$57>

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wadau sina information za kutosha kuhusu usafiri wa ndege hapa nchini. Lakini leo asubuhi nimeshtushwa na nauli ya kwenda South Africa ambayo inaonekana ni ndogo kuliko nauli za humu ndani. Hivi nini kinachosababisha usafiri wa ndege hapa kwetu uwe kwa wachache na ionekane ni anasa?
 
Jamani hii ya dollar 50 hata mimi nimerisikia, lazina kuna error mahari, maana ni ndongo kama waenda zanzibar
 
Wadau hata mimi nimeskia nahisi kuna walakin ktk hiyo figure,kama iko sawa basi ushindani umefikia mahala pake.
 
Waongo hao, ukiangalia hilo tangazo vizuri lazima utaona * ikimaanisha kuna vigezo au masharti kadhaa ya kuzingatiwa. KQ nao wanatangaza safari za ndjamena kwa $50 lakini ukiwaomba booking nauli inafika $1360!
 
Nimesikia nikajiuliza mara mbilimbili kweli inawezekana?
ni ndege mpya ya PRECION yenye uwezo wa kubeba abiria 116
Go and Return ticket $57 bila VAT
 
inaonesha kama kuna gharama zilizojificha...

Ni kweli kuna gharama kama za VAT wanasema hazijawekwa, hivyo sio kwamba utalipa hiyo dola 57 tu. Kinachonishangaza ni kwa nini haya makampuni wkt mwingine wanatangaza bei bila kujumuisha VAT? Mtu waweza kurupuka, ukienda ukifikiri ni bei rahisi kumbe bado kuna gharama nyingine kibao!
 
Inawezakana hasa kama nindege za kubebea wanyama au za jeshi huwa wanafanya hii kitu.
Ndege ya kubebea wanyama kama kuna free space kwa anaependa kwenda RSA cheaply. Kurudi unajigharamia mwenyewe au ukubali kurudi na wanyama.
 
$57 !!!!! No way, there are something went wrong or ??? no please.. can't be that cheap.. lol
 
Wadau sina information za kutosha kuhusu usafiri wa ndege hapa nchini. Lakini leo asubuhi nimeshtushwa na nauli ya kwenda South Africa ambayo inaonekana ni ndogo kuliko nauli za humu ndani. Hivi nini kinachosababisha usafiri wa ndege hapa kwetu uwe kwa wachache na ionekane ni anasa?

Labda kama ni "Air Ungo"
 
Hahahaha,

Ukimpa mnyamwezi aliyezoea vituko vya sales deal kama hili swali la kwanza kukuuliza ni "what's the catch?".

Halafu ukishamueleza kila kitu hawezi kumaliza mazungumzo bila ya kukuuliza "Is there anything else I should know?"

Huku anakurekodi kesho ukimletea beef ana ushahidi.
 
Inatupasa tufike uko usafiri wa anga hautakiwi kuwa anasa kuna midege inaenda mbeya inafika mpaka dola 300 khaa nani atapanda?ofcourse wachache
 
Back
Top Bottom