Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Linapokuja neno NDOA, huwa hakuna hiki ni chako na kile ni cha kwangu...
CHAKO + CHANGU = CHETU
Kwa hiyo huhitaji kuacha mali yoyote ambayo unadhani itakusaidia kwenye ndoa yenu
 
sasas vitanda vya nini kwani huyo mume hana jamani?

mume alikua nacho,ila sasa hiki ni kipyaaaa,,,,,,,,kwa nini mechi kubwa hupelekwa UWANJA MKUU WA TAIFA BADALA YA UHURU???KWANI VYOTE SI VIWANJA????
 
mume alikua nacho,ila sasa hiki ni kipyaaaa,,,,,,,,kwa nini mechi kubwa hupelekwa UWANJA MKUU WA TAIFA BADALA YA UHURU???KWANI VYOTE SI VIWANJA????
aiseeee !ahahaaaa upo serias sio kitanda kimoja hata
 
relax dear ..hujanielewa...ni sawa kwenda na vitanda ,masofa, majiko.maradio .matv ondoa mavyombo hayo ...yaani ni nini hasa at least mtu aende nacho au vyote vyote ni sawa ? na haina shida?

Nimekuelewa sana mamaa, watu wanaenda kwa mume na tani 2 za cement ama za nondo! Chezeiya mjini wewe!
Sasa siku ukipiga dili la cement ama tofali si utaogopa kupeleka home manake wewe ni wa vijiko?
Ndo maana nikasema vile mtakavyopenda kutumia mtaweka, kama mchuchu ana led ya 62 inches na maza kaleta ya kichina mnatupia bedroom tu.
 
@King'asti hujanielewa ..ngoja nikuulize binti yako akiwa anaolewa utamnunulia kila kitu ?
 
aiseeee !ahahaaaa upo serias sio kitanda kimoja hata

hata kama vitatu,,,,,ujue maisha ya ndoa ni mapya,,,,,saa kama uwezo upo basi mnaanza kiupya zaid,,,,kama hakuna its okay,lakin watu hujaribu walau hata kununua nguo mpya,,,,,,imagine kitanda kwa mume kipo na yeye tangu aanze kukitumia ni miaka miwili au mi3,,,,then siku ya ndoa ndo mmepaniana kwa kua mmehalalishiwa MBAO TATU ZA CHAGA ZINAVUNJIKA KWA WAKATI MMOJA AU KWENYE GAME MMOJA,,,,,WILL U BE KOMFOTABO?????yaan siku hiyo hata makufuri yawe mapya bhana,if posibo hata kama ya mtumba
 
hiyo poa ,kuliko aolewe akute huyo mwanaume ana kila kitu mpka tambala la deki!
 
duh,huyo mama noma. hataki mwanae aende kuteseka. kuna kigogo mmoja jina kapuni, ye akiozesha binti zake anawambia mumeo akikuzingua rudi. na akirudi anampa kazi katika moja ya makampuni yake na kumlipa mshahara kama wafanya kazi wengne. chezeiya pesa wewe!
 
acha tu dear pesa?????????????
 
Back
Top Bottom