Kweli zoezi la sensa halijafanikiwa

Nimeipenda hii movie, ila najua serikali dhaifu mwisho wa siku itatoa takwimu hata kama ni za kuchakachua, ingawa ukweli ni kwamba hili zoezi, limeonyesha kukabiliwa na changamoto ambazo zinaashiria dhahiri kabisa kwamba zoezi halijafanikiwa kama ilivyotarajiwa. Mbona kura zenyewe walichakachua, sembuse sensa??

Ndio kawaida yao hawa..........we subiri utasikia zoezi la sensa limeenda vizuri......tumefanikiwa kwa asilimia 97.......hakuna mtanzania ambae hajahesabiwa tehe tehe......wakati mimi hapa nilipo mpaka sasa hivi sijahesabiwa lol!
 
Back
Top Bottom