Kweli Wezi Noma

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Jamaa pamoja na kuzibiti usalama wa Baiskeli yake lakini wezi wameondoka na Bike wakaacha matairi!
Bike.jpg
 
Hahah Kama bike ingekuwa yangu ningecheka tu baada ya tukio maana huu wizi ni wa kikomedy zaid
 
ahahahahahahaa.....hawa wezi watakuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maana haya mapinduzi si ya kawaida
 
Ukisikia wizi uliokwenda shule ndio huu!! Jamaa anaikuta minyororo yake kama alivyoiacha lakin kaibiwa.
 
Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
 
Itakuwa Uholanzi hiyo. Maana huko unapopaki baiskeli na kugeuza mgongo tu, wenzako wanakata kufuli na kuondoka nayo. Usiombe uwe na baiskeli ya kisasa.
 
Back
Top Bottom