Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

Ingekuwa hivyo, miaka 49 ya CCM na maandamano ya kuunga mkono hotuba za Rais leo tungekuwa tumeshaendelea kama Korea ya kusini.

Wenyewe wanaandamana baada ya hotuba, CDM wanaandamana kabla ya hotuba, hapa hakuna tofauti yoyote, ni yale yale..
 
Alishinda ushindi wa kishindo wa asilimia 99 kwa kunyang'anya kura za wananchi tena kwa nguvu.
 
hongereni sana wana GEITA!! kaza buti watanzania-peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
nyingi huanza na mbili. Ninavyofahamu population ya jiji la Mwanza hawa walioandamana si lolote si chochote, hao ni majobles tu, maduka mangapi yalifungwa wenyewe wakaenda kuandamana, masoko yalifungwa??wangapi waliondoka makazini?? vyuo/shule ngapi zilifungwa ?? Si chochote si lolote, msiige tembo kunya...nguvu ya wanachi haitatokea TZ, Watanzania wana akili bwana...CCM Oyeee!!!!

Mkuu, hapo juu palipokolezwa ulimaanisha hayo maneno au ulipitiwa tuu..siamini kama Watanzania tumefikia hatua hii ya ubaguzi wa kitabaka. Unataka kutugawa kati ya walionacho na wasio na kitu..kwamba Tanzania ndipo ilipo kwa sasa. Jamani tutambue kwamba Mtanzania ni Mtanzania, na wala si Mkenya, Mmarekani, Mwarabu au Mmyama..kila taifa lina namna yake ya kuwatambua na kuwaheshimu raia wake.
 
Aisee, naangalia hi pipo mpaka nywele zinasimama. Kweli nchi imemwagiwa mafuta yalipukayo. Watu wa mwanza walielewa vizuri somo la siasa enzi hizo!
 
nyingi huanza na mbili. Ninavyofahamu population ya jiji la Mwanza hawa walioandamana si lolote si chochote(chochote ni hayo ****** yako?), hao ni majobles tu, maduka mangapi yalifungwa wenyewe wakaenda kuandamana, masoko yalifungwa??wangapi waliondoka makazini?? vyuo/shule ngapi zilifungwa ?? Si chochote si lolote, msiige tembo kunya(tuige huo utumbo wako? MTHENGE wewe)...nguvu ya wanachi haitatokea TZ(Itatokea huko kwenye kengele zako), Watanzania wana akili bwana(mfn makamba,wewe,riz,RA,JK n.k,Kweli wewe ni zezeta)...CCM Oyeee!!!!(kamwambie kunduyo)./QUOTE]
 
Wana JF,
Nilikuwa kwenye mkutano huo japo nilifika kwa kuchelewa kidogo kutokana na majukumu. Niliowashuhudia wakiongea ni Mbowe na Sugu kwani kwa mujibu wa Mbowe, wameamua kugawana maeneo ili waweze kuyafikia maeneo mengi. Kwa maana hiyo, Dr Slaa yeye amekwenda Ukerewe wakati Mbowe alikuwa hapa Geita. Wabunge na viongozi wa CDM wapo pia maeneo mengine ya mkoa wa mwanza ila watakutana leo jijini Mwanza kwa ajili ya maandamano ya kesho Musoma.
Katika mazungumzo ya Mbowe,nimeguswa na kile alichokiita mpango wa serikali juu ya kutatua tatizo la umeme nchini. Kwa wale ambao watakuwa hawajasikia ni kwamba serikali inataka kuleta mwekezaji wa umeme kwa mtindo wa dharula kuzalisha umeme kwa kipindi cha miezi minne kwa gharama ya shilingi bilioni 400 kuanzia Julai. Katika hilo pia,serikali itakuwa inaipatia kampuni hiyo bilioni 23 kwa mwezi kwa ajili ya mafuta.
Mimi binafsi nashangaa kwa sababu mpango huu hautakuwa na tija yoyote zaidi ya kuwapa watu fulani ulaji na kuendelea kufukarisha watanzania.
Mbowe na timu yake wamekwenda Sengerema kwa ajili ya mkutano mwingine ambako amesema anaenda kumsema vizuri Ngeleja kwa sababu hapo ndo kwao.Nimefurahishwa pia na jinsi Mbowe alivyokuwa akisisitiza watanzania kuunganisha nguvu licha ya tofauti zao za kichama kwani anasema matatizo yanawakumba watanzania wote bila kujali vyama vyao.Kwa bahati mbaya sikuweza kupata picha ila watu walikuwa wengi.
Naomba kuwakilisha.
 
Hii ni zaidi ya operation sangara, na inaonesha chama kinavyoweza kutumia rasilimali kidogo kilizinazo kwa ufanisi.
 
Mkuu na ni nini alisema kitakuwa solution ya haya matatizo?..kuandamana??
 
Najibu hiyo red hapo juu, Siku watakapotambua dhamani ya kura zao na watakapoacha kuwasifia wezi. Mtu kaanza kazi tu, mara ana ghorofa, na mali kibao, mtaani anasifiwa na kuheshimiwa, jamaa huyu kiboko kaingia tu kafanya vitu fasta.

What kills us is within us!
 
Tunaoijua mza tumekaa kimya wewe kuku wa maziwa ndo unajiongelesha kwamba hiyo sio chochote. Viva chadema ViVa wana mwanza walizoea kusema wasukuma wamelala sasa wanahaha baadaa ya kuona kumbe harati za ukombozi mpya wa TZ zimezaliwa mwanza.
Jana wanachadema tumezindua AZIMIO LA MWANZA na tunapinga MALIPO YA DOWANS, UPANDAJI WA GHARAMA ZA MAISHA,NA KATIBA MBOVU
 
Back
Top Bottom