Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

hahahahaaaa ... nini kitakufanya umkimbize na sime mkuu?? why shouldnt you sit down with mkeo na kujua nini kilimpata?? events kama hizi zinafanya madogo "mabachellors" waone ndoa ni ndoano kwa kweli!

usifanye mchezo na kale kaugonjwa ketu+watu watanishangaa 7 yearz? Afu mnarudiana? Acha mabachellor waogope tu seven yearz ni mingi kwanza ashatumika sana huko nami nitakuwa nishaoa
 
ndo maana nimesemahatakiwi kufanya maamuzi papo kwa papo anatakiwa kupata muda kwani katika kipindi chote hicho kuna mengi yametokea lakini bado kuna nafasi

i conquer with you, hii sasa ni "healing process" ambayo ni sio kitu cha siku moja, its a process ... na ndio maana yule mama ali-faint kwa shock ... na hapa namlaumu sana huyo jamaa sababu hakutakiwa kwenda nyumbani kwa jinsi hiyo ... it had to a gradual process kwa kuwashirikisha ndugu au wazazi wake na mkewe kupelekewa taarifa taratibu, hili lingejenga utayari kwa mkewe wa kutarajia ugeni wa mumewe mpotevu ... the way tu alivyotokea angeweza hata kumuua mkewe kwa ile shock ... so sickening!
 
acha kuzunguka jibu swali langu
 
Acheni hizo, maisha yako hivyo. Mungu huwa ana mipango yake kwa kila jambo linalotokea. Ningepanda kama mkisoma kitabu kinachoitwa "the power of now" na "power of letting go" Ni vizuri vinaelezea namna ambavo tunatakiwa kuishi kwa kupractise letting go. Hata kama huyo mwanaume asingeomba msamaha na kuamua kuishi kivyake lazima kuna hisia atazipata mamaa. Kumbukeni wamezaa nae watoto 3! Halafu kwa wanawake mnatakiwa kujua kuwa mumeo naye ni mwanao eeeh! Ukimsamehe ni kama umesamehe mwanao!
Ningekua mimi ningemsamehe na kuanza kuishi kwa tahadhari.

Kwa hiyo hapa Mungu alipanga baba atokomee na mke mwingine halafu arudi baada ya miaka 7 huku amefulia na mama ampokee?
Mie kwa kweli ningemuambia aende akawasiliane na huyo shetani aliyemghilibu kisha aje naye ndiyo tuzungumze. Hivi kwa nini wanaume wakishamaliza hela yote na mke mdogo hukimbilia kwa mke mkubwa? Nani kasema bi mkubwa hataki hela?
 
C hilo la kuwa na mahusiano mengin nakuunga mkono kama nilivyokuambia awali wewe si malaika maadam uko ok ni lazima upate kitulizo haya mengine ni ya ziada na yako ndani ya maamuzi yako

jibu swali langu tuendelee na Topic
 
usifanye mchezo na kale kaugonjwa ketu+watu watanishangaa 7 yearz? Afu mnarudiana? Acha mabachellor waogope tu seven yearz ni mingi kwanza ashatumika sana huko nami nitakuwa nishaoa

kwanini uwe concerned na watu kukushangaa?? kwani ndoa ni yako wewe na watu au wewe na mkeo?? maamuzi utakayotoa yapaswa kuwa kwa furaha yako na sio furaha ya watu wengine ... no wonder ndoa nyingi zinayumba sababu ya kusikiliza "watu watanionaje" ... to hell with them ppl! umempenda kweli, umemsamehe, then kaeni chini wewe na mkeo, achana na mambo ya watu bana!

hata kama itakuwa imetumika, kwani inakuwa imeng'oka ile?? na kwani ndoa ni ngono tu?? vp by coincidence ukapa ajali (Allah aepushilie mbali) na viungo vyako vya kiume vikagoma kufanya kazi, ina maana wife itabidi asepe sababu ndoa itakuwa hamna hapo kwako? na je, hicho ndicho kilichomleta/amua kufunga ndoa?? vijana lazima waelewe hii misuko suko na maana halisi ya ndoa sio kukimbilia tu na kudhani ndoa its all about honey moon!!
 
now lets put it to you, kama angekukuta hujaenda mahakamani kuvunja ndo ungemsamehe?? if not, then why??
Ok,km nitakuwa sijaenda mahakama akinijia nitamsikiliza na nitamsamehe na sio kurufiana au kuuishi nae tena.
Na hapo ujue nitakua nimeshaamua kuishi peke yangu bila mwanaume yoyote.
 
Kwa hiyo hapa Mungu alipanga baba atokomee na mke mwingine halafu arudi baada ya miaka 7 huku amefulia na mama ampokee?
Mie kwa kweli ningemuambia aende akawasiliane na huyo shetani aliyemghilibu kisha aje naye ndiyo tuzungumze. Hivi kwa nini wanaume wakishamaliza hela yote na mke mdogo hukimbilia kwa mke mkubwa? Nani kasema bi mkubwa hataki hela?

kufanya kosa (at first place) sio kosa, kosa kurudia kosa! ameshwasiliana na shetani, akamkana na ndio maana amerudi, wether amerudi na hela or hapana, kwanini usimsamehe??
 
kwanini uweke watu wakushangae, kwani ndoa ni yako wewe na watu au wewe na mkeo?? maamuzi utakayotoa yapaswa kuwa kwa furaha yako na sio furaha ya watu wengine ... no wonder ndoa nyingi zinayumba sababu ya kusikiliza "watu watanionaje" ... to hell with them ppl! umempenda kweli, umemsamehe, then kaeni chini wewe na mkeo, achana na mambo ya watu bana!

hata kama imetumika kwani inakuwa imeng'oka ile?? na kwani ndo ani ngono tu?? vp by coincidence ukapa ajali na viungo vyako vya kiume havifanyi kazi, ina maana wife itabidi asepe sababu ndoa itakuwa hamna hapo kwako na hicho ndicho kilichomleta/amua kufunga ndoa?? vijana lazima waelewe hii misuko suko na maana halisi ya ndoa sio kukimbilia tu na kudhani ndoa its all about honey moon!!

ni kweli najua yote lakini C wanaume huwezi kukaa bila ya kuwa ushaoa mwingne au unakaa nae after her diparture na ukweli mwingine sisi si wepesi kumrudia mke aliefanya hivi maana unajiuliza hv if she is capable of doing this si kuna siku shetani atamrudia ataniua? Nikupe mfano mzuri tuwe FAIR mwanaume akifumaniwa na mkewe kuna uwezekano mkubwa ndo kusurvive after husband's comfession lakini mume amfumanie wife nyoo!! Hata akicomfess the most of men wont give a damn on it..ndo nishasema women are too emotional weak, easy to forgive but difficult to forget
 
Ok,km nitakuwa sijaenda mahakama akinijia nitamsikiliza na nitamsamehe na sio kurufiana au kuuishi nae tena.
Na hapo ujue nitakua nimeshaamua kuishi peke yangu bila mwanaume yoyote.

kama utakuwa umeamua kuishi bila ya mwanamume mwingine yeyote, hapo naweza kukuelewa, naamini utaendelea kumpa nafasi ya yeye kuwa karibu na watoto wenu kufidia gap la upendo wake walilokosa watoto for 7 yrs, na hii itakuwa katika same house??
 
Huwa napenda ila upeno huo huo huwa unakikomo pia.

Canty, hujapenda ... upendo hauna kikomo, hauna masharti!!
Wengi tunachukuliana tu sababu ya kufanana hisia zetu na ndio maana situations kama hizi watu zinatusumbua kusolve sababu tunakuwa kiukweli hatuko katika upendo wa kweli. Wanaopendana kweli, na kiukweli kabisa, hili sio jambo kubwa kiivyo, ni suala la kujua tu mwenzako aliteleza (tambua ya kuwa binadamu wote tu dhaifu), na kwamba sasa amaerudi kundini, ni kumsamehe na kufungua ukurasa mpya wa maisha!
 
kama utakuwa umeamua kuishi bila ya mwanamume mwingine yeyote, hapo naweza kukuelewa, naamini utaendelea kumpa nafasi ya yeye kuwa karibu na watoto wenu kufidia gap la upendo wake walilokosa watoto for 7 yrs, na hii itakuwa katika same house??
Haa haaa,same houc?nani kasema?
Km nimeamua kuwa peke yangu means hata yeye simtaki pia,
Watoto watenda huko kusalimia baba yao ila si kuishi pamoja tena!
Kwangu haiwezekani.
 
ni kweli najua yote lakini C wanaume huwezi kukaa bila ya kuwa ushaoa mwingne au unakaa nae after her diparture na ukweli mwingine sisi si wepesi kumrudia mke aliefanya hivi maana unajiuliza hv if she is capable of doing this si kuna siku shetani atamrudia ataniua? Nikupe mfano mzuri tuwe FAIR mwanaume akifumaniwa na mkewe kuna uwezekano mkubwa ndo kusurvive after husband's comfession lakini mume amfumanie wife nyoo!! Hata akicomfess the most of men wont give a damn on it..ndo nishasema women are too emotional weak, easy to forgive but difficult to forget

hata kama wako weak sidhani kwamba hilo linatupa justification ya kuwatenda na kuto-feel the pains that we are daily causing unto them. tuachane na sociaetal norms, wanawake nao pia wana feelings kama ilivyo kwa wanaume, kama wewe ukimfumania mkeo kwanini usimsamehe ilhali we mwenyewe wajua kama unafanya au ulishawahi fanya the same upuuzi?? yaani hapa huwa siwaelewi wanaume wenzangu, kwanini sisi tufanye wao watusamehe, na kwanini wao wakifanya sisi tusiwasamehe??
 
Husninyo miaka saba hisia gani hizo,
Yaani mie hiyo miaka ilikuwa tosha kabisa kuhamishia mapenzi yangu yote kwa katoto alikoniachia tumboni..
Big NO!

FL kama ulijifunza kumpenda huyo mtu ni rahisi kuhamisha upendo na sio tu kwa mtoto bali hata kwa mwanaume mwingine. Kama ulimpenda bila masharti na vigezo yaani ule upendo pure usiochakachuliwa basi kwa miaka yote hiyo utakuwa unamuombea mumeo arudi na siku atakayorudi utasmile badala ya kushangaa.
 
Back
Top Bottom