TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,513
- 11,276
Nimeziangalia hizi picha kwa umakini na nimegundua kuwa:
Kati ya wajumbe wote wa Serikali kwenye hiki kikao hakuna hata mmoja aliyejishughulisha kuweka kumbukumbu za kikao,
Ilhali kwa upande wa CHADEMA kila mmoja yuko bize kuandika kile kinachojadiliwa.
Je ndiyo tuseme kuwa wawakilishi wa Serikali walikuwa tayari na majibu ya nini kitakachoamuliwa hivyo hawakuhitaji kuweka kumbukumbu ya kinachoongelewa?
ama Hawako makini na majukumu yao ya kila siku kiasi cha kufikia ku-relax kwenye ishu nyeti kama hii?
If the later is true; inatupa picha gani wananchi juu ya vikao wanavyotuwakilisha sehemu nyingine?