Kweli Waafrika Ndivyo Tulivyo - We Aint 'Capitalist Niggers'!

WomenofSubstanc,
maamuzi mazuri sana kwanza kama unaiushi Marekani yanini Japanese car halina mvuto nafasi wala hadhi ya Huku labda la kuendea kazini. Mambo yote American car!... najua wa Europe watakuja haraka...wakali hao...
Bora useme na wewe Mkuu,
Naishi bongo > 70% of my time..and even with that and the fact that Japs cars are the cars of choice TZ..I stick to my decision Mkuu.
 
Ive lost hope Mkuu!
When u hear a law on this or that.. I dont think it will bring any more hope to the hopeless.
To me its more of rhetorics...
Can u reflect as to what it will entail to lift the wagon back on track and let it move? It will require massive overhaul of almost the entire system.It will mean purgings that you can never phantom!
Anyway..miracles do happen.

It will entail kuwabana hawa ambao hawataki hisopo ya MWONGOZO iwasafishe na kusafisha nchi ya kifisadi:

Zitto's move on parastatal board fails

By Damas Kanyabwoya, Dodoma

Mr Zitto Kabwe's bid to get politicians removed from various parastatal boards was yesterday frustrated when his proposals (the schedule of amendments) to amend the Executive Agencies Act, 1997 were blocked.

The Kigoma North MP unsuccessfully submitted the schedule of amendments to the Clerk of Parliament yesterday to the effect that politicians and Permanent secretaries be removed from parastatal boards.

He shares the view with the Controller and Auditor General Mr Ludovick Utuoh, who has also been advocating for the removal of politicians from boards of public corporations and parastatals as a way of improving governance and accountability.

The Act was being amended to, among other things, remove representation of politicians and permanent secretaries from the ministerial advisory boards of government executive agencies and social security and pension funds.

A Permanent Secretary is a chairperson of the board of an executive agency which is under his/her ministry as per current structures.

In a twist of events, the Minister for Public Service Management, Ms Hawa Ghasia, who was tabling the amendments refused to include Mr Kabwe's amendment proposals on the ground that they were late.

This sparked heated exchanges between the MP on one side and the Minister and the Attorney General Mr John Mwanyika on the other side over Parliamentary rules and regulations regarding submitting of schedules of amendment.

Minister Ghasia said the schedule of amendments was not submitted to her in accordance with the procedures and therefore she could not include them in the overall amendments to the Act.

But Mr Kabwe stood firm and replied that the schedule of amendments was not supposed to be submitted to the minister but to the office of the Clerk of the Parliament, something that he did.

The Chairperson of the Parliament session that was debating the amendments to the Act, Mr Zubeir Ali Maulid (Kwamtipura-CCM), said he was informed that the amendments were submitted very late, barely a quarter of an hour before the tabling of the amendments of the Act by the minister.

Mr Kabwe said that it was a lie, as he had submitted the amendments at 9 am just before the starting of the morning session as the regulations require.

The AG then stood and said according to Parliament Regulations the schedule of amendments were supposed to be circulated to all MPs before the Act was tabled for amendments in Parliament.

But again Mr Kabwe said that it was not the duty of MPs to distribute the schedule of amendments to MPs but it was the task of the office of the Clerk of the Parliament.

"Mr Chairman the removal of politicians from the boards of public corporations and parastatals, as suggested by the CAG, has been met with strong resistance from various quarters, including from some MPs and Government officials, so I am not surprised by my amendments being blocked, but I will find another opportunity to present my proposals," he said.

The amendments of the Executive Agencies Act, 1997, were then passed by Parliament after a debate contribution of only one MP, Mr Zitto Kabwe.

Tabling the amendments earlier in Parliament, Ms Ghasia said other issues included in the amendments were the remittances of the agencies surplus revenue to the Treasury, as well as giving agencies employees an opportunity to appeal to the public service management or the President in case their rights were violated by their employers.

These amendments seek, especially, to reduce the role of Permanent Secretaries to that of policy advisors. Formerly as Chairpersons of the ministerial advisory boards they were involved in the strategic management of the agencies.

"This caused much interference and confusion in the running of the agencies and resulted into bad governance of these agencies," she said.

In their proposals, the Parliamentary Standing Committee on Justice, Constitution Affairs and Governance tabled in Parliament by the committee chairperson George Lubeleje (Mpwapwa-CCM) proposed that the revenue submitted by those agencies with surplus should fund the activities of those agencies that depend on government subsidy.

The amendments gave a legal stamp to the Government's decision in the 2008/09 budget to ensure the surplus revenue of agencies are used to fund the national budget.
 
Indeed we cannot go against our Ujamaa nature for long. No wonder Mwalimu predicted that "in the end Tanzania will return to the values and basic principles of the Arusha Declaration"!

Companero:

Naona umeitafuta hile Avatar yako ya Darhotboard (Che Guevara) hili upambane. Kwikwikwi.

Anyway, Je unajua Che Guevara alitoa comment gani kuhusu Laurent Kabila.

Kabila kama mwanamapinduzi na kiongozi wa kumng'oa Mobutu alikuwa anashinda kwenye madanguro na vilabu vya pombe mjini Kigoma.

Na hao wapiganaji wake kazi ilikuwa ni ku-rape population.
 
Companero:

Naona umeitafuta hile Avatar yako ya Darhotboard (Che Guevara) hili upambane. Kwikwikwi.

Anyway, Je unajua Che Guevara alitoa comment gani kuhusu Laurent Kabila.

Kabila kama mwanamapinduzi na kiongozi wa kumng'oa Mobutu alikuwa anashinda kwenye madanguro na vilabu vya pombe mjini Kigoma.

Na hao wapiganaji wake kazi ilikuwa ni ku-rape population.

Asante kwa kunikumbusha hiyo nukuu, ninayo hapa kwenye hifadhi za nyaraka za wanamapinduzi wenzangu. Ndio maana baada ya kukatishwa tamaa na Kabila, Che akaandika kitabu cha kuelezea mapinduzi yanavyopaswa kuwa. Kisha akaenda zake Bolivia kuendeleza mapambano.

Huyo ndio Che ambaye yule Mwanafalsafa Maarufu Jean Paul Sartre alimuongelea kuwa ni THE MOST COMPLETE MAN OF HIS AGE. Naona I am getting carried away in a revolutionary odyssey - turudi kwenye mada.
 
Asante kwa kunikumbusha hiyo nukuu, ninayo hapa kwenye hifadhi za nyaraka za wanamapinduzi wenzangu. Ndio maana baada ya kukatishwa tamaa na Kabila, Che akaandika kitabu cha kuelezea mapinduzi yanavyopaswa kuwa. Kisha akaenda zake Bolivia kuendeleza mapambano.

Huyo ndio Che ambaye yule Mwanafalsafa Maarufu Jean Paul Sartre alimuongelea kuwa ni THE MOST COMPLETE MAN OF HIS AGE. Naona I am getting carried away in a revolutionary odyssey - turudi kwenye mada.

Che alikuwa delusional tu, alichopigania kilikuwa utopia.Angalia watu wa Cuba wanavyosota wakati Castro ame amass billions, kile ndicho cha kupigania?
 
Bora useme na wewe Mkuu,
Naishi bongo > 70% of my time..and even with that and the fact that Japs cars are the cars of choice TZ..I stick to my decision Mkuu.

WoS:

Mbona unatufunga kamba mapema. Sometimes ninakuona ukiwa online wakati bongo ni usiku wa manane. Kwikwikwi.
 
Asante kwa kunikumbusha hiyo nukuu, ninayo hapa kwenye hifadhi za nyaraka za wanamapinduzi wenzangu. Ndio maana baada ya kukatishwa tamaa na Kabila, Che akaandika kitabu cha kuelezea mapinduzi yanavyopaswa kuwa. Kisha akaenda zake Bolivia kuendeleza mapambano.

Huyo ndio Che ambaye yule Mwanafalsafa Maarufu Jean Paul Sartre alimuongelea kuwa ni THE MOST COMPLETE MAN OF HIS AGE. Naona I am getting carried away in a revolutionary odyssey - turudi kwenye mada.


Companero:

Wewe utapotea na mavitabu yako hayo wakati majibu mengine yapo waziwazi.
 
Bluray everything has a telos, an end to which one can aspire to reach. Logically, that end is normally ideal. That is why organizations have a mission and vision. The visions are usually long-term goals that the respective missions aim to achieve or at least close the gap as an attempt to achieve them - as a move toward Utopia (Kusadikika/Kufikirika). So, the fact that one dies without reaching that ideal moment/point does not mean that it was not worth fighting for. As they say, Rosa Park sat so that Martin Luther King Jr. can walk and Martin Luther King Jr. walked so that Barack Hussein Obama can run and Baraack Hussein Obama run so that we can fly!

In a similar vein Che fought so that Cubans can move on. As their kids say every morning, Seremos como El Che, that is, We shall be like Che. Moreover, Mwalimu envisioned Ujamaa Mkongwe so that Mtanzania can visualize Ujamaa Mamboleo.

'Nilishaanza kuiona Egalite' - Kaptula la Marx
 
Mkishindwa mijadala na -kuwajibika mnaanza topic za ajabu. Hii ni topic ya ajabu ambayo wanao-propose wanaonyesha kukata tamaa na mwenendo wa mambo yaendavyo na hali halisi ambyo inabidi tui-face.

Man is natural greedy, and capitalism is there, cannot be avoided. We capitalised land, feudalism existed time immemorial. Kule kwetu hakuna ardhi ambayo utasema eti hii haikuwa na familia au majina ambayo hayaeleweki. WE were capitalists equally to any race being African, Asian or European. The lands in kilimanjaro and Iringa were held by chiefs or kings of those days and were responsible for the wellbing of the the people surrounding them.

Partition of Africa, Nationalism played a big part on the African mindset. While partition of Africa made boundaries to where we can move and exerciise our freedom; Nationalism [by a big way] gave theories which destroyed Africans minds. Tanganyika independence influenced Zambia, and Kenya getting their independence. Tanzania influenced mozambique, angola, south africa and Zimbabwe.

If you have people who think "the same", how can you expect them to be different in development?

We are not so sick, but for the modern world, what we need is fight those vices; as for example those politicians who took us to those stages of being "that poor". We have politicians who know that they lie; and they keep on doiing it. What do you expect if CCM has depended on Malecela to lie for all the years; so that they can win election; how do you think wananchi will benefit? The poisons like such politicians are the ones which are making this topic being rellevant! We trusted our leaders and they brought us at this stage. Everywhere in the world and country relies on its learders on development theories! They took us for granted!!
 
Mkishindwa mijadala na -kuwajibika mnaanza topic za ajabu. Hii ni topic ya ajabu ambayo wanao-propose wanaonyesha kukata tamaa na mwenendo wa mambo yaendavyo na hali halisi ambyo inabidi tui-face.

Thank you participant observer oops I mean interested observer kwa kushiriki katika kujadili topiki hii ya ajabu.
 
Interesting Observer,
Mkuu pengine wewe ndio umeshindwa kuelewa tunachozungumza.. Capitalism sii mfumo unaokuwa fdefined as kila mtu kumiliki mali yake! wazazi wetu kumiliki mashamba yao sii Ubepari na wala sii kinyume cha misingi ya Ujamaa wa Kiafrika.

Navyofahamu mimi hoja zote za Compareno zinahusiana na mfumo huu wa Ujamaa wa kiafrika ambao wazazi wetu walikuwa wamiliki wa ardhi na mali zao kinyume cha Ubepari unaozungumzia wewe au tunaouona resources zetu are used mainly for the benefit of European and North American..
Sasa Kiuchumi na kiini chimbuko la mfumo wa Kibepari unatoknnana na kutumia resources za nchi maskini, kutajirisha nchi hizo na ndio maana mbinu zote za Ubepari hazitazami kutoka nchi Tajiri kwenda nchi maskini isipokuwa kutoka nchi maskini kwenda nchi tajiri.. Ni sawa na sisi tunaendesha magari yetu ya biashara ktk lane inayorudi Oneway traffic)...badala ya sisi kuchukua lane inayokwenda kwa Mabepari..

Hao viongozi waliotufikisha hapa ndio hao capitalistic African ruling elites, They're collaborationist, oppressive, and corrupt.. They include politicians, business people and professionals who consciously or unconsciously, directly or indirectly support the global oneway system of economic trafficing..

Na bila shaka hawa watu are quislings or puppet allied to that system ambayo muundo wake ndio unaitwa modern slavery sii tena kwa kushika nchi na ardhi bali kutumia watu wachache wanaoshindwa kuona nje ya pazia la globalisation ili kuendeleza colonialism, imperialism, class exploitation....

Mkuu ebu fikiria sangara wanatoka Lake Nyanza (Victoria) lakini hatuwezi kuuza ulaya bila standard wanazozitaka wao na ktk mkataba wa hizo standard ni lazima tuwauzie shirika walochagua wao (lenye kulinda maslahi yao)..Shirika ambalo ndilo litasambaza Ulaya nzima na kirahisi..Ebu fikiria sana kwa nini karibu kila kitu kinachozalishwa nchi maskini ni lazima kipitie hilo soko la dunia.. Why wame control na Centeralised mauzo yetu kwao wakati wao wanapouza vitu vyao hakuna mkono katikati..Na hatuwezi ku penetrate ngome zao hata kidogo kwa kutumia G7 20 wala 100...Lakini kwetu bidhaa zao zinaingia bila kupata kibali cha mtu yeyote na kwa bei wanazopanga wao hivyo demand na supply inakuwa baina ya nchi mzalishaji na nchi mnunuzi!.

Mkuu naweza kwenda hadi kesho nikizungumzia Ubepari lakini swala lhapa sii Ubepari ni SISI waafrika yaani mimi na wewe kwa nini tumeshindwa hata baada ya kukubali Ubepari kupiga hatua moja mbele badala yake nchi kama Tanzania ndio kwanza tunarudi nyuma..

Ndio hapo sisi wengine tunasema pengine hao wanaopita mtihani huu hawatumii oneway traffic kwenda huko kwa Ubepari..Itawezekana vipi mfumo unauondwa ili kutegemea mali ya maskini utumike tena kwa nchi maskini mzalishaji vile vile unavyotumika kwa tajiri mhitaji!.
Sidhani ka a approach za kukidhi demand zinafanana na zile za Supply pamoja na kwamba vitu hivi vinategemeana...Tumeona nchi kama China India, Malaysia na hata Vietnam wanakwenda mbele kwa kuweza kuchanganya baadhi ya asili zao na kuzitumia kama silaha na kinga dhidi ya unyonyaji na uongozi mbaya...wanafanya kazi kama vichaa na wana malengo sio sisi...

Kisha swala sio tu viongozi wabaya mkuu Tanzania ya leo hata hesabu ya vitu vinavyoweza kuzalisha leo na kusafirisha nje naweza sema ni ndogo kuliko wakati wa Mwalimu..Haiwezekani nchi reli ya kati ikasimama kwa miezi 6 au zaidi lakini bado tupo sawa kiuchumi ati tunazalisha kuliko zamani!.
Haiwezekani Bandari kutoweza kupokea meli kwa wakati unaotakiwa zikakaa nje kwa miezi miwili bado tukadai nchi inafanikiwa wakati bandari za Tanga na Mtwara zinaota majani..... kumbe hesabu yote inahesabiwa mabillioni ya dhahabu inayozalishwa na Barricks kuwa mchango wa GDP wakati ni asilimia chini ya 2 ya mauzondio huchangia ktk mfuko wa taifa..Haya tazama Umeme, maji na nyote haya ni matatizo sugu ambayo hayakuanza jana wala juzi toka Mwinyi na Mkapa tumesumbuka na umeme wamgao, maji machafu kisha tunaendelea na hotuba za uzalishaji umekuwa...Na wapo watu wanaamini kabisa hizi figures kwa sababu wanayaona majengo yakizidi kunyanyuka mijini... well hata mimi nikiiba BoT millioni mbili siwezi jenga kibanda nitainua kitu cha kisawasawa... na kwa lugha ya Kidanganyika akipata Mkandara tumepata wote -ni SIFA kuibia BoT...sasa kama hatujarogwa au laana kitu gani mkuu nambie wewe!
 
Nyani Ngabu,
Mkuu unajua nini? umenipa kufikiria kitu ambacho leo najaribu sana kutafuta sababu..Hizo mud houses hazikujengwa wakati wa Azimio la Arusha..Ukweli ni kwamba ktk miaka ya Nyerere hardly mtu aliweza kujenga nyumba sisi wote tulikuwa tukiishi nyumba za serikali, baba zetu au kupanga ktk vibanda vya vyumba sita..Sielewi kwa nini ilikuwa ngumu kiasi za wazazi au kupanga!..Ujenge nyumba wewe umezitoa wapi fedha za kukuwezesha! kama wapo basi ilikuwa ni asilimia ndogo sana..Hiyo Sinza lilikuwa pori tu....
Pamoja na yote haya nachoshindwa kuelewa ni pale mnapolalamikia Ujamaa kwa sababu tulikuwa hatuna sabuni, colgate na sijui Blueband tena mnamlaani Nyerere kwa vitu hivyo, leo hii hatuna maji, Umeme, Afya, Usafiri mbaya na kifupi miundombinu yote ni mibovu lakini kwa mtazammo wa wengi ni afadhari Tanzania isiyokuwa na miundombinu kuliko ile isokuwa na colgate..
Hii kweli sii ndio tafisri ya - Ndivyo tulivyo mzee wangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom