Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,212
- 113,502
YES i DONT DRIVE JAP VEHICLE!
Why don't you drive Japanese vehicles? Coz they look down on us?
YES i DONT DRIVE JAP VEHICLE!
Why don't you drive Japanese vehicles? Coz they look down on us?
Kwa mfano sikujua kuwa wajapan wanatudharau sana watu weusi na yet sisi weusi ndiyo mabingwa sana wa kununua japs cars, stereos etc.I always though weupe ndiyo wana prejudice kuhusu weusi more so the black Americans.
Kubadilika kwenye ni pamoja na kutokujali sana kuwapatronise kwa bidhaa zao LOL..YES i DONT DRIVE JAP VEHICLE!
Frankly speaking baada ya Kusoma Capitalist Nigger nilichukia hiyo fact ya wao kutudharau....
I just decided as a gesture to myself...LOL...no Jap car for me.I know it sounds funny but kila mtu ana jinsi ya kudeal na anger yake!( but this doesnt mean that I can really do away with all jap gadgets.... afterall they wont feel anything by me not buying their stuff anyway...but still i did it for me).
Kwa hiyo umejitambua kuwa unadharaulika? Na pia umetambua kuwa huhitaji magari ya wanaokudharau? Kama huo utambuzi nduo utambuzi ambao Capitalist Nigger umekupa sasa umekufanya uwe na mbadala gani?
But do you really have much of a choice with cars? Coz either way you go you gonna have the same thing be it German, British, American, Italian....it's really hard to escape Japanese products
But do you really have much of a choice with cars? Coz either way you go you gonna have the same thing be it German, British, American, Italian....it's really hard to escape Japanese products
Mbona kuna gari yetu inaitwa 'nyumbu' courtesy to wanajeshi wetu wabunifu!
Ingawa hujaniuliza mimi but I'll chime in anyway. Hakuna cha mbadala hapo hadi Afrika itakapoanza kuzalisha bidhaa zake yenyewe. La sivyo utakuwa unaruka majivu na kukanyaga moto au mkojo na kukanyaga mavi
Hii habari ya ku boycott Japanese cars wakati una Sony Camcorder na Mitsubishi HDTV ni delusion, makampuni ni yale yale. Halafu hata hayo magari non-Japanese hujui parts zimetoka wapi.
Unaweza ku boycott ndizi kutoka Costa Rica, siyo Japanese products.Unless you assume a religiously Jewish diet approach about it.
I know but honestly that revelation came as a shock to me....at least whites..hao nilikuwa najua wanatuona kivingine....but the japs?? sikua najua!
Ni kama Tom Hilfiger at one time alivyosema products zake hajatengeza for the blacks!Yet unashangaa kuna weusi wanajishaua na hizo products..as if TH is the only piece of meat on earth!
Now you are talking - tulianza na kutengeneza gari letu la 'nyumbu', siasa-uchumi yetu ya 'ujamaa', vitabu vyetu pale 'tph' sasa mbona tumeachana navyo?
Bluray,
Mkuu ni jinsi tunavyofikiria tu.. hakuna kitu kinatengenezwa Japan hakitengenezwi nchi nyinginezo na kwa uhakika japanese products are not the best at all..tunafikiria, mazoea au labda tumefundishwa kuamini hivyo..
Well tumeachana navyo kwa sababu tu wajinga! Kama kuna kipindi tulikuwa tunatengeneza hayo Manyumbu (nadhani yalikuwa malori) enzi hizo sasa hivi usikute wangekuwa wamesha transition ktk kutengeneza passenger cars kama sedan na SUV...