Ntumami
Senior Member
- Sep 3, 2010
- 127
- 23
haya nimeona mwenyewe kwa macho yangu nikajaribu angalau kuchukua baadhi ya picha kwa kutumia camera ya simu na nikapata hizi hapo.... hizo ni baadhi ya pcha nyingi za kuonyesha matumizi tofauti tofauti ya vyandarua vya bure ambavyo kidogo vifanane na "makokoro" ya wavuvi!! [I hope kanda ya ziwa wamenielewa ] kwa hawa jamaa nahisi ukisema malaria haikubaliki, wao hufikiri kuwa ni malaria does not bless you!!