Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku!

Ni Uswahilini ila mtaa ni wa ushenzini
Nimecheka kweli. Pole ulie ibiwa uje unipeleke kwako tumzibe haja ndogo. Atairejesha au atakoma hatorudia tena.
Ila siku nyingine uwe mwangalifu na hizo sifa ulizo taja. Uswahilini+ ushenzini. Utakua nawewe unazo kati ya hizo sifa.
 
nimezaliwa na kukulia uswahilini...ila mpaka nnavyoongea hapa naishi uswahilini sijawahi ibiwa hata kijiko!!!
 
Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku! Wamechana nyavu ya dirisha wakabeba simu na kuniachia chaji tu.Yan sijui niende kwa bibi nikamwambie, maana wameniharibia siku vibaya sanaaaa!!!!!!!!

POLE SANA KAKA/DADA, Mi mi siishi uswahilini ila kuna siku wahuni walipita wakachana nyavu wakaiba, LAkini mwizi huyo nadhani alikuwa hana akili sawa sawa. Ile simu aliendelea kuitumia nikimpigia kwa simu za washikaji akawa anapokea na kunizingua zingua, nikaamua kwenda voda ili tu tress namba anazopigia rafiki zake ili tutambue huyo jamaa yuko anga gani kupitia kwa hao anaowapigia. UNAJUA NILICHOAMBIWA NA HUYO CUSTOMER CARE VODA.. NILICHOKA KABISAAAAAAAAAAAAAA!

Aliniambia niende police kutoa taarifa, kwamba wao hawana mamlaka ya ku tress huyo mwizi, na wa kufanya shughuli hiyo ya ku tress ni polisi, sasa nikajiuliza simu yenyewe 35elf NOKIA, ukienda police, nina imani police hawezi kutoka pale kaunter na kuanza kufuatilia bila chochote- NIKAAMUA KUPOTEZEA.

Kwa hiyo tatizo la kuibiwa simu halitakoma mpaka sheria hii waliyojiwekea watoa huduma kama haitabadilishwa.

Ukisajili simu, inasajiliwa namba za line (SIMCARD) pia na ZA simu- kwa hiyo hata kama mwizi akiiba simu akatupa simu card uwezekano wa kumkamata kwa kutumia namba za ile simu anayotumia iliyokwisha sajiliwa upo, ila ushilikiano wa haya makampuni ni sawa na hakuna. Yaani bongo we acha tu.

Sijuwi tutazinduka lini.
 
Pole sana itakuwa Kimara temboni ndio uswahilini au Bonyokwa
<br />
<br />

MIE MCHANA WA LEO NIMEIBIWA WALLET INA KADI YA KURA YA BANK NA ELF 50 IM REALY FURIOUS! NIMESHIDWA HATA KULA LAST WEEK KIBAKA ALIKATA NYAV YANGU BAHATI SIMU NA POCHI NA VYOOTE MUHIMU NALAZA MVUNGUNI COZ NINAUZOEF WA USWAZ NA NSHAIBIWA SM MARA KADHAA LOL,KWA WENZANGU WA USWAZ FICHENI MVUNGUNI ,POLE MHANGA!!!
 
pole mkuu hata mimi naishi sinza niliwahi kuibiwa kwa mtindo huo...huwa wanakuja na superglue wanaipaka kwenye fimbo maalum halaf wanavuta kiulaini...lakini kila kitu kina mwisho wake ipo siku walimkamata mhalifi hapa mtaani......nilishiriki kumuadhibu na kwa hakika....nilimkata masikio mimi mwenyewe...polisi walikuja kuchukua mwili wao
 
nimezaliwa na kukulia uswahilini...ila mpaka nnavyoongea hapa naishi uswahilini sijawahi ibiwa hata kijiko!!!
<br /> <br / Kama sio miongoni mwao basi wanakuheshim kutokana na utaalamu uliokua nao!
 
Rafiki yangu yeye alimbandika na pasi ya moto, alikuwa anamlia timing wakati jamaa anakata wavu. Huyo aliingiza mkono ndani jamaa kaudaka mkono akampasi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom