Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku! Wamechana nyavu ya dirisha wakabeba simu na kuniachia chaji tu.Yan sijui niende kwa bibi nikamwambie, maana wameniharibia siku vibaya sanaaaa!!!!!!!!
 
Mkuu, uswahilini sehemu gani unaishi?
 
Yaan Jason Bourne wa Bourne identity anaibiwa? badili ID faster
 
Kweli uswahilini noumaa wamenikombea ka blackberry kangu usiku! Wamechana nyavu ya dirisha wakabeba simu na kuniachia chaji tu.Yan sijui niende kwa bibi nikamwambie, maana wameniharibia siku vibaya sanaaaa!!!!!!!!

pole sana..pole utapata nyingine baba usijali...one goes one comes....utapata ya ukweli zaidi ya iyo...pole kwa kupoteza contactsss..

bt si uswahili tu popote pale watu wanaiba..ata masak pia wanaibina,oystbay....ata NY watu wanaiba...swala ni kuibiwa simu n not cz ni uswahilini...pole sweetie jaman...

vp beb tufanye mchango wa nokia kitoch?....weka akaunt namba...samsung kitoch buku 30 tu...mintachangia buku mia 5...POLE KAKA.

i undstand vile inavyodistab...
 
Nakushukuru kwakweli ngoja ni karudishe line kisha nitaweka namba ya Mpesa hapa mama!
 
Pole aisee....halafu BB bana ukishazoea ndo inapokuwa tabu zaidi. Ina addiction fulani ambayo ni ngumu kuicontrol.fanya fanya uweke namba ya mpesa hapa tukufanyie mambo
 
Nakushukuru kwakweli ngoja ni karudishe line kisha nitaweka namba ya Mpesa hapa mama!

nipo voda shop apa...replacememnt ya BB to nokia ktoch imetuliaa...bt izi sm ni nzuri sana kwa kutunza chag....kitu unatumia siku 8-12 ndo unachaji tena raha tupu ata ngereja akifanya mambo yake we mawasiliano mia mia
 
Cheki na jamaa wa mtandao wako kama ulitunza IMEI ya simu wape wataweza kutrace mtu atakayeitumia
 
pole aisee....halafu bb bana ukishazoea ndo inapokuwa tabu zaidi. Ina addiction fulani ambayo ni ngumu kuicontrol.fanya fanya uweke namba ya mpesa hapa tukufanyie mambo
nashukuru wacha nichangamke niirudishe line!
 
Mkuu kwakweli sikumbuki IMEI vizuri ila najua Blackberry Curve 8520, BBM yake ni 221912E
<br />
<br />

Sijui ni-add hii kwenye bbm anaweza kukubali huyo mwizi halafu nikampata. Halafu hukuweka mapassword na mazagazaga kama hayo?huwa inasaidia maana mwizi hawezi fanya chochote akikuta ina password kibao. Atajaribu zikifika 10 trials ndo basi kushney full kujiblock
 
Sasa kama IMEI huna apo kwa kweli kuna haja ya kutafuta plan B ebu cheki na babu maeneo ya karibu mweleze lengo lako sio kumdhuru mwizi ila arudishe simu tuu kumbuka kwenda na charger itasaidia kumwona kwenye kioo mwizi wako ambaye bila shaka atakuwa teja tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom