Kweli Udakitari na Ualimu ni Wito?WITO NI NINI?

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
628
93
Mimi nnavyoelewa wito nimsukumo wa dhati wakutenda jambo.Nikiwa na maana kazi zote nizawito nasiudaktari,uuguzi na uwalimu pekee ndio kazi zawito.Mbaya zaidi neno wito limekuwa kikwazo cha watu katika sekta tajwa hapo juu kulipwa kiduchu,kufanyakazi ktk mazingira magumu mno!Hizi nikazi za Utu nasi Wito tu!Mwalimu akiamua kuzalisha majambazi anaweza!
 
Wito ni kujitolea pasipo kuangalia faida ya hicho kitu unachokifanya,same as volunteer!
 
Back
Top Bottom