Kweli tembea uone. Mzizi ulikuwa waijua hii!

Rubi

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,615
326
Nimeiona hii Neema blog ila sijui niche:becky: haya kwa wale wenye mgogoro jaribuni!

SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Zipo dawa za asili za aina mbalimbali ambazo zimethibitika kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, kwa leo tutaelezea kuhusu vitu vitatu ambavyo endapo vitatumiwa kwa pamoja basi vinaweza kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na kukufanya uwe fit kama dume la simba, na ngangari kama livyokuwa wakati una balehe.

.1. KORODANI ZA JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA

Picha ya korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa.

Korodani za kuku ni dawa nzuri sana ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa na mababu zetu tangu enzi na enzi, vijana wa siku hizi hawajui ukweli huu kwa sababu wana kasumba ya kudharau vitu vya asili.

MATAYARISHO :

1. Tafuta JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA ..Nimeweka msisitizo hapo kwenye neno " Jogoo Wa Kienyeji Aliyekomaa " kwa sababu najua kuna watu wanaweza kuchukua kuku wa kizungu, ama jogoo ambaye hajakomaa. Kamwe usifanye kosa hilo na usithubutu kabisa kutumia korodani za kuku wa kizungu. Kama haujui jogoo aliyekomaa ni yupi, uendapo kwa muuzaji wa mwambie akusaidie kupata jogoo aliyekomaa.

2. Unga wa HABBAT SAWDA au Unga wa MJAFARI robo kilo.
3. Andaa kisaani ambacho utakitumia kuweka korodani zako baada ya kumchinja kuku.

NAMNA YA KUFANYA :

1. Mchinje jogoo wako kisha mpasue kwa ajili ya kutoa korodani zake. Unapozitoa korodani za jogoo wako hakikisha unafanya bila korodani zako kupaa damu ila kama ikitokea bahati mbaya korodani zako zikigusana na damu, unaweza kuzisafisha lakini inashauriwa zaidi uzitoe korodani zako bila korodani hizo kugusana na damu. Kuna namna ambayo ukifanya, korodani haziwezi kugusana na damu wakati unazi toa. ( N.B: Korodani za jogoo unapozitoa, huwa kama mayai na haziwi na damu damu kama unavyo weza kudhania )

2. Chukua unga wa HABBAT SAWDA ( Tamka HABAT SODA ) au unga wa MJARIFU kiasi cha robo kiganja na kuutia kwenye kisahani chako.

3. Baada ya kuzinyofoa korodani hizo za kuku, ziweke juu ya kisahani chako ambacho juu yake umeweka unga wa HABBAT SAWDA ama unga wa MJARIFU na kufanya kama unazi biringisha biringisha hivi ili kuzichanganya.

4. Chukua korodani zako zote mbili , moja baada ya nyingine weka kinywani, meza na maji kama vile unavyo meza dawa. Hapo zoezi lako litakuwa limekamilika.
Hautakiwi kumeza zaidi ya korodani mbli, korodani mbili tu zinatosha sana, ila kama utataka kuwa na nguvu mara dufu unaweza kuwa unafanya zoezi hili kila mwezi, mra moja kwa wiki, mara mbili kwa wiki ama kila siku, kwa kadri unavyo jiweza .Endapo utafanya zoezi hili mara kwa mara basi nguvu zako zitakuwa sio za kawaida.

KAZI YA KORODANI ZA KUKU : Zitakufanya uwe na nguvu za ajabu na wala usichoke kufanya tendo la ndoa, unaweza kufanya tendo la ndoa hata mara nne, bila ya kuchoka na utakuwa unajisikia upo ngangari muda wote, sana sana labda ukose pumzi ama uchoke kiuno, but nguvu za kiume, utakuwa safi sana..

2. SUPU YA KORODANI ZA MBUZI : Korodani za mbuzi zinapatikana maeneo kama vile machinjioni n.k na zinapztikana kwa bei nafuu sana. Chukua korodani zako za mbuzi, zitumie kutengeneza supu kishs kunywa supu yako pamoja na korodani hizo za mbuzi ambazo zinakuwa zimekwisha wiva. Ukifanya hivi angalau mara moja kwa wiki kwa muda wa mwezi mmoja, amini ninacho kwambia, utakuwa vizuri sana. Kama hauna nafasi au muda wa kutengeneza supu unawezan kwenda katika maeneo ambayo wanatengeneza supu ama wanauza mbuzi choma na kuweka oda wakutengenezee supu ya korodani za mbuzi. ..Mgahawa wa wazi uliopo katika eneo la Sinza Afrika, sana ni maarufu kwa kutengeneza supu ya korodani za mbuzi, unaweza kutafuta muda ukaenda hapo kwa ajili ya kujipatia supu ya korodani za mbuzi ambayo hujulikana zaidi kama " ASHUSHI "

3. DAWA YA ASILI IITWAYO " JIKO " : Dawa hii imebatizwa jina la "Jiko " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuwasaidia wanaume kuyalinda majiko yao. Ni dawa safi sana na yenye nguvu za ajabu. Ni dozi ya siku kumi na mbili tu ambayo inaanza kuonyesha matokeo baada ya wiki mbili. Dawa hii inafanya mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuimarisha mishipa ya uume uliolegea ama uume ulioingia ndani, inaongeza hamu ya tendo la ndoa maradufu, inakufanya uweze krudia tendo mara nne bila ya kuchoka ( labda uchoke kiuno au pumzi ), na inakupa uwezo wa kukaa juu ya kiuno kwa muda mrefu .

Endapo utatumia vitu vyote vitatu, kama vilivyo orodheshwa hapo juu, yaani korodani za kuku, supu ya korodani za mbuzi pamoja na "Jiko" au "Nguvu Kazi" kwa jina lingine. Kuwa na uhakika kwamba tatizo lako la upungufu ama ukosefu wa nguvu za kiume, litakuwa limekwisha kabisa ndani ya mwezi mmoja wa kutumia dozi yako.

N.B : Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.( ------- ).:becky:
 
N.B : Dawa hii ni kwa ajili ya watu waliopungukiwa ama kuishiwa nguvu za kiume ambao wamewahi kuwa na nguvu za kiume, dawa hii haiwezi kumsaidia mtu ambaye amezaliwa akiwa hana nguvu za kiume.( ------- ).:becky:[/QUOTE]
MIMI NAHITAJI HIYO DAWA IITWAYO jiko, NIAMBIE NITAIPATA WAPI. HIZO NYINGINE KHA , MSALA
 
Mkuu Rubi Asante kwa dawa yako na ushauri wako mimi ningelikuwa nipo huko nyumbani ningeliifanya uchunguzi dawa yako kwa kuitumia lakini nipo nje ya nchi na huku hakuna hayo Ma Jogoo yaliyo komaa huku Kuku tunamnunuwa Super Market amesha chinjwa utampata wapi Jogoo aliyekomaa huku

hata kama utaagiza Jogoo mzima basi inaweza kuchukuwa hata mwezi kumpata na hata ukimpata utauziwa Dollar 30 kwa pesa za huko nyumbani TZ Shillingi Elfu 50. sasa itakuwa kazi kubwa na ndefu niliwahi kutaka Jogoo mzima ili nimfanyie mtu huku Dua basi ilikuwa kasheshe kweli kumpata na nilimpata kwa shida sana. Asante Mganga Rubi hongera kwa dawa yako.
 
Mnhhh...hizi dawa hasa ya kwanza na ya 3 ndio nazisikia leo...

Hiyo ya pumbu za mbuzi naweza kuamini coz kila tukichinja zamani tulikuwa tunaambiwa pumbu ni za wazee tena wanaume tuu....hizo zinaitwa hashua na zapatikana baa moja temeke huko sikumbuki yaitwaje ila ni maarufu sana kwa huo mzigo...

Kiongozi hiyo baa yenye kuuza pumbu za mbuzi hapo sinza afrika sana inaitwaje...nikagonge hashuwa nione mabadiliko..pia nakuwa nimepiga na breakfast kiaina badala ya kula supu mbuzi na chapati mbili unakula pumbu mbuzi mbili unapata shibe na charge inaongezeka...ahahaha 2 in 1.
 
yeah... elimu kubwa hii, ngoja umri usogee hasa ya korodani, hizi zingine zinatekelezeka..
 
lol...mimi tatizo langu tu ni kama zinaweza kupita kooni..
hapo sasa unajua zamani nilikuwa siwezi kunywa kloloquine mpaka niiweke kwenye tonge la ugali au ndizi ndo nimeze.

Sasa hii najua inateleza lakini je hutatapika. kaazi kwelikweli.
 
Nimeiona hii Neema blog ila sijui niche:becky: haya kwa wale wenye mgogoro jaribuni!

SULUHISHO LA UPUNGUFU/ UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.

Zipo dawa za asili za aina mbalimbali ambazo zimethibitika kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume, kwa leo tutaelezea kuhusu vitu vitatu ambavyo endapo vitatumiwa kwa pamoja basi vinaweza kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na kukufanya uwe fit kama dume la simba, na ngangari kama livyokuwa wakati una balehe.

.1. KORODANI ZA JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA

Picha ya korodani za jogoo wa kienyeji aliyekomaa.

Korodani za kuku ni dawa nzuri sana ya nguvu za kiume, na imekuwa ikitumiwa na mababu zetu tangu enzi na enzi, vijana wa siku hizi hawajui ukweli huu kwa sababu wana kasumba ya kudharau vitu vya asili.

MATAYARISHO :

1. Tafuta JOGOO WA KIENYEJI ALIYEKOMAA ..Nimeweka msisitizo hapo kwenye neno " Jogoo Wa Kienyeji Aliyekomaa " kwa sababu najua kuna watu wanaweza kuchukua kuku wa kizungu, ama jogoo ambaye hajakomaa. Kamwe usifanye kosa hilo na usithubutu kabisa kutumia korodani za kuku wa kizungu. Kama haujui jogoo aliyekomaa ni yupi, uendapo kwa muuzaji wa mwambie akusaidie kupata jogoo aliyekomaa.

2. Unga wa HABBAT SAWDA au Unga wa MJAFARI robo kilo.
3. Andaa kisaani ambacho utakitumia kuweka korodani zako baada ya kumchinja kuku.

NAMNA YA KUFANYA :

1. Mchinje jogoo wako kisha mpasue kwa ajili ya kutoa korodani zake. Unapozitoa korodani za jogoo wako hakikisha unafanya bila korodani zako kupaa damu ila kama ikitokea bahati mbaya korodani zako zikigusana na damu, unaweza kuzisafisha lakini inashauriwa zaidi uzitoe korodani zako bila korodani hizo kugusana na damu. Kuna namna ambayo ukifanya, korodani haziwezi kugusana na damu wakati unazi toa. ( N.B: Korodani za jogoo unapozitoa, huwa kama mayai na haziwi na damu damu kama unavyo weza kudhania )

2. Chukua unga wa HABBAT SAWDA ( Tamka HABAT SODA ) au unga wa MJARIFU kiasi cha robo kiganja na kuutia kwenye kisahani chako.

3. Baada ya kuzinyofoa korodani hizo za kuku, ziweke juu ya kisahani chako ambacho juu yake umeweka unga wa HABBAT SAWDA ama unga wa MJARIFU na kufanya kama unazi biringisha biringisha hivi ili kuzichanganya.

4. Chukua korodani zako zote mbili , moja baada ya nyingine weka kinywani, meza na maji kama vile unavyo meza dawa. Hapo zoezi lako litakuwa limekamilika.
Hautakiwi kumeza zaidi ya korodani mbli, korodani mbili tu zinatosha sana, ila kama utataka kuwa na nguvu mara dufu unaweza kuwa unafanya zoezi hili kila mwezi, mra moja kwa wiki, mara mbili kwa wiki ama kila siku, kwa kadri unavyo jiweza .Endapo utafanya zoezi hili mara kwa mara basi nguvu zako zitakuwa sio za kawaida.

KAZI YA KORODANI ZA KUKU : Zitakufanya uwe na nguvu za ajabu na wala usichoke kufanya tendo la ndoa, unaweza kufanya tendo la ndoa hata mara nne, bila ya kuchoka na utakuwa unajisikia upo ngangari muda wote, sana sana labda ukose pumzi ama uchoke kiuno, but nguvu za kiume, utakuwa safi sana...( ------- ).:becky:

kwenye Red si nikajua kinachofuata ni kupaka chumvi na mafuta kidogo
harafu kutia kwa Oven
kuendelea kidogo si ndo nakutana kwenye Blue hapo
hapo nikasema sijui kama inawezeka maana vidonge vya Rangi mbili tu vinakwama!!
Hiri zoez gumu kidogo aisee!!
 
kwenye Blue si nikajua kinachofuata ni kupaka chumvi na mafuta kidogo
harafu kutia kwa Oven
kuendelea kidogo si ndo nakutana kwenye red hapo
hapo nikasema sijui kama inawezeka maana vidonge vya Rangi mbili tu vinakwama!!
Hiri zoez gumu kidogo aisee!!
kweli hii haina tofauti na uganga maana unaambiwa unapozitoa hakikisha zisigusane na damu. halafu zingekuwa zinakaangwa zinaonekana tamu unajua tumezoea kusema mayai ya jogoo hayaliwi khe! kumbe ni dili kwa wengine.
 
Mkuu Rubi Asante kwa dawa yako na ushauri wako mimi ningelikuwa nipo huko nyumbani ningeliifanya uchunguzi dawa yako kwa kuitumia lakini nipo nje ya nchi na huku hakuna hayo Ma Jogoo yaliyo komaa huku Kuku tunamnunuwa Super Market amesha chinjwa utampata wapi Jogoo aliyekomaa huku

hata kama utaagiza Jogoo mzima basi inaweza kuchukuwa hata mwezi kumpata na hata ukimpata utauziwa Dollar 30 kwa pesa za huko nyumbani TZ Shillingi Elfu 50. sasa itakuwa kazi kubwa na ndefu niliwahi kutaka Jogoo mzima ili nimfanyie mtu huku Dua basi ilikuwa kasheshe kweli kumpata na nilimpata kwa shida sana. Asante Mganga Rubi hongera kwa dawa yako.
Kweli ndugu yangu ukiwa unaishi ughaibuni hasa kwenye nchi za thelujitheluji ni kazi kweli kupata vitu asilia kama kuku wa kienyeji ambao huku Afrika tunawafuga kwa wingi tena chakula wamezoea kujiokotezea wenyewe kwa kuchakulachakula ni muhali.

Lakini ndio maisha utafanyaje ukimpata mtu anakuja bongo we agiza tukuletee hata kwa meli tutawaweka kwenye tenga na vyakula vyao asilia ili hata kama meli itasafiri mwezi mzima nao wafike salama.
120px-Ameraucana_wheaten_bantam_male.jpg

120px-Cock.jpg
 
Njoo ufanyiwe maombi kwa jina la Yesu tu inatosha[/QUOTE

ESAM si unajua siku hizi wanaume suruali wanazidi sio kwa sababu walizaliwa hivyo ila mazingira wanyoishi wengi wao imewasababishia kuwa wanaume suruari. i.e kutumia vilezi, kutokula chakula bora (wengi ubishoo kula chips, baga, nyama choma na vifananavyo vyakula asili hawali wenyewe wanaita kwenda na wakati), kutumia sigara, kujichua, kutumia kemikali mfano: kujichubua, kuvaa kata k. kutoboa masiko, kuvaa hereni, cheni, chachandu, kujipaka poda, wanja, lipsitiki, kusuka n.k tehetehe "jokes"

Sasa kwa hayo yote hayahusiani na maombi ndio maana unakuta dawa za ajabuajabu kama hizi hazikosekani kwa sababu hali ni mbaya kunako sita kwa sita maana mahangaiko yamezidi.
 
Back
Top Bottom