Kweli tanzania imepigika!

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Wanajamvi hatari kwa nchi yetu!

Hivi mbunge anatambuliwa kuwa kahudhuria vikao vya bunge kwa kusaini posho?
Kwani utaratibu wa kuhudhuria vikao si unafahamika kwa kila m2 kuorodhesha jina lake kwenye attendance sheet?
Hoja ya Spika kuwa watafukuzwa wasio pokea posho ina uhusiano wowote na kuhudhuria vikao vya bunge?
Hii imekaaje watu tuliopata bahati mbaya kuongozwa na mbumbumbu?, hoja ya spika imeniacha midomo wazi! Au sijaelewa naomba kuelimishwa.
So ...... wakiwezeshwa wanaweza? This is the type of our leaders we endowed in TZ; do you think our national will emerge from poverty. if decision makers are of this type?
Mungu wangu!
icon9.png
 
Back
Top Bottom