Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

Wabongo wee waache tuu, kuna mtu namfamu hapa hapa bongo, anamiliki cruise ship, anamiliki jet, na yuko very low profile ndugu zake ndio matanuzi na kujitapa kutwa kucha!. Huyo mwenye Bugati sio hiyo Veylon bali ni Mama mmoja wa Kiarabu, mwenye Ferrari ni yule mhindi wa rada, Mwenye McLaren ni mswahili mwenzetu!. Bongo tuna tajiri wetu mmoja anayependwa kujatwa tajwa sana kwenye nyimbo, huku amejisheheneza kwa micheni kibao na mipete ya almasi, ile Hummer zimetoka tuu akanunua, walipotoa latest version, akanunua tena na walipotoa hii version ya sasa, kanunua tena, anazo 3 ili kuonyesha jeuri ya utajiri!. Wakati hao wakionyeshea, wako matajiri wa ukweli, wanamiliki mpaka visiwa!, wamejinyamazia kimya kabisa na account zao ziko Credit Sussie zimejituliza tuli!.

Haaahaaa! Tajiri huyu si yule anayefanya kazi za kuuza madini na vito feki? Kinachonichosha ni kelele zetu hizi...do we really make money through proper channels maana kelele hizi ni kama tunapata kwa zali la mentali vile.
 
Gari ya bei kubwa zaidi dunia ni Bugatti Veyron Super Sport inayogharimu $2,400,000 (Tshs 3.84 billion); na Lamborghini Reventon ni ya nne kwa bei ya $1,600,000 (Tshs 2.56 billion); na bei zote hizo ni kwa gari mpya, siyo mtumba.

Source: Most Expensive Cars In The World: Top 10 List 2012-2013
Hivyo ya pedeshee Mosha ni Lamborghini ya na kainunua kwa mtu (Yusufu Bakresa) kwa Tshs 1 billion ambayo 39 % ya bei ya Lamborghini Reventon mpya!!!!

View attachment 59512

View attachment 59513

kudadadeki walahi wazungu...sisi hata nyumbu tu kazi kubwa
 
duuu leo nalala na njaa kumbe watu wanamagari ambayo kama wakiyauza wanaweza kula mpaka uhai wao wote haya ndio maisha tafuteni nayi mtapata.:A S cry:
 
Bongo biashara inalipa sana tatizo wabongo wengi mkimaliza vyuo mnakimbilia kutafuta kuajiriwa ukishakuwa Bank Teller unaona ushamaliza.
Eti unakuta mtu ana degree ya Horticulture then kaajiriwa NMB eti ni Bank teller.Shame on you all.

Kwa hii sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii, vijana itatubidi tuangalie biashara.
 
Gari ya bei kubwa zaidi dunia ni Bugatti Veyron Super Sport inayogharimu $2,400,000 (Tshs 3.84 billion); na Lamborghini Reventon ni ya nne kwa bei ya $1,600,000 (Tshs 2.56 billion); na bei zote hizo ni kwa gari mpya, siyo mtumba.

Source: Most Expensive Cars In The World: Top 10 List 2012-2013
Hivyo ya pedeshee Mosha ni Lamborghini ya na kainunua kwa mtu (Yusufu Bakresa) kwa Tshs 1 billion ambayo 39 % ya bei ya Lamborghini Reventon mpya!!!!

View attachment 59512

View attachment 59513

Tatizo bongo stori za kujiandikia nyingi sana,
Huyu jamaa namfahamu vizuri, hela anazo na kajikita sana kwenye transport na kikubwa kilichomuinua ni mikopo mikubwa ya benki, ana akili na conection za kucheza ambazo hata wewe ukiipata chance tumia.
Lakini hili gari lake sio la bilioni moja kama anavyodai, hii ni kujitakia maujiko yasiyo ya lazima, sikatai anazo lakini gari lake kwa thamani ya sasa uk ni £30,000 sawa na shs 100,000,000 nusu ya bei ya shangingi la mbunge
soma link hii hapa chini uone bei za ma lambo
Used LAMBORGHINI Car for Sale - Auto Trader UK

halafu soma hili tangazo chini
2 Doors, Manual, Coupe, Petrol, Metallic White. LAMBORGHINI Murcielago LP 640, 2 Doors, 56,000 miles, White. Lamborghini Murcielago Replica based on Toyota MR2,. IM NOT LOOKING FOR ANY OFFERSSS, WHITE WITH RED LEATHER SEATS, SO PLEASE DONT WASTE MY TIME, SAT/NAV, TELEVISION, CD/MP3 PLAYER, ONLY THE NUMBER PLATE WORTH 25000 POUNDS, ALOT TO MENTION BETTER TO COME N SEE URSELF. 10 MONTHS MOT, 6 MONTHS TAX, PART EXCHANGE WELCOME, TAVISTOCK STREET, DUNSTABLE, LU6 1NE. £29,999 call +44(01582) 639916
siyo mnakuwa mnadanganywa halafu mnakubali kwa sababu mwenzake kaisha litumia hivyo atakuwa kamuuzia kama milioni sitini tu
Tuko wengi tunaoendesha magari ya kifahari hivyo tunazijua bei zake
 
Wabongo wee waache tuu, kuna mtu namfamu hapa hapa bongo, anamiliki cruise ship, anamiliki jet, na yuko very low profile ndugu zake ndio matanuzi na kujitapa kutwa kucha!. Huyo mwenye Bugati sio hiyo Veylon bali ni Mama mmoja wa Kiarabu, mwenye Ferrari ni yule mhindi wa rada, Mwenye McLaren ni mswahili mwenzetu!. Bongo tuna tajiri wetu mmoja anayependwa kujatwa tajwa sana kwenye nyimbo, huku amejisheheneza kwa micheni kibao na mipete ya almasi, ile Hummer zimetoka tuu akanunua, walipotoa latest version, akanunua tena na walipotoa hii version ya sasa, kanunua tena, anazo 3 ili kuonyesha jeuri ya utajiri!. Wakati hao wakionyeshea, wako matajiri wa ukweli, wanamiliki mpaka visiwa!, wamejinyamazia kimya kabisa na account zao ziko Credit Sussie zimejituliza tuli!.

Kwa hiyo unataka kusema huyo jamaa ana H1 (Humvee - zile za kijeshi kabisa), H2 na H3?!?
Pia chifu, version ya mwisho ya Hummer ilikuwa H3. Na toka mwezi wa tano, 2010, hakuna gari ya Hummer yoyote inayotengenezwa; kwani kiwanda cha GM kilisitisha utengenezaji wa gari hizo. Sasa hiyo latest version - "hii ya sasa" unayosema wewe ni ya Hummer gani?!
 
napingana na wote, bongo hakuna bugati, mie niko UK na zimeuzwa 25 tu hapa zikionekana kila mtu anapigania apige nayo picha
 
Endelea kupinga, njoo nyumbani utashangaa!, hivi kukaa uk ndio unajifariji wenye pesa ndefu wako huko tuu?. Huyo jamaa mwenye Jet, ana majumba ya maano hapo London na kuna wazungu kibao wana magari ya kutesea lakini wanakaa nyumba za kupanga!.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyo jamaa ana H1 (Humvee - zile za kijeshi kabisa), H2 na H3?!?
Pia chifu, version ya mwisho ya Hummer ilikuwa H3. Na toka mwezi wa tano, 2010, hakuna gari ya Hummer yoyote inayotengenezwa; kwani kiwanda cha GM kilisitisha utengenezaji wa gari hizo. Sasa hiyo latest version - "hii ya sasa" unayosema wewe ni ya Hummer gani?!
Bahati mbaya mimi sijui which is which, ila zilipotoka tuu, yeye ndiye wa kwanza kuleta likubwa jeusi lina mshepu mbaya mbaya mbaya, baada ya miaka miwili akaleta la njano soap soap kidogo na ni dogo kidogo, zile mbili za kwanza ni left hand, sasa anatumia dogo zaidi jeupe right hand na halina mokolokolo mengi.
 
Endelea kupinga, njoo nyumbani utashangaa!, hivi kukaa uk ndio unajifariji wenye pesa ndefu wako huko tuu?. Huyo jamaa mwenye Jet, ana majumba ya maano hapo London na kuna wazungu kibao wana magari ya kutesea lakini wanakaa nyumba za kupanga!.

Pasco sikatai bongo watu wanazo lakini bugati bado kaka. mie mwenyewe niko bongo kila siku na ninajua kuna watu wanatisha, samahani lakini hata mimi siyo mchovu ila sioni sababu ya mbongo kununua bugati kwa sababu halina mvbuto kama lambo au ferari
 
Endelea kupinga, njoo nyumbani utashangaa!, hivi kukaa uk ndio unajifariji wenye pesa ndefu wako huko tuu?. Huyo jamaa mwenye Jet, ana majumba ya maano hapo London na kuna wazungu kibao wana magari ya kutesea lakini wanakaa nyumba za kupanga!.
Pasco hebu nikuulize, RANGE ROVER SPORTS OVERFINCH 2012 na hiyo bugati ni gari gani inakuvutia???
 
578829_359476824124018_1235832504_n-350x262.jpg

Picha zaidi ya watu wakilishangalia..............maajabu hayataisha Bongo
 
Davis mzaliwa wa kiboriloni, amefanya kazi sana kwa mzee mbwa aruki(lekashingo) hapo mail moja, baasa ya kujiingiza kwene dili za hapa na pale ndipo alipoibuka
 
Endelea kupinga, njoo nyumbani utashangaa!, hivi kukaa uk ndio unajifariji wenye pesa ndefu wako huko tuu?. Huyo jamaa mwenye Jet, ana majumba ya maano hapo London na kuna wazungu kibao wana magari ya kutesea lakini wanakaa nyumba za kupanga!.
Achana nae mzushi tu huyo nyumbani kwake hapo
cbk

hizo ni councel flat ambazo zipo moja ya deprived areas in london (mitaa ya dagenham hiyo ndio mitaa wabongo weengi wapo huko).

By the way chilisosi toa post code yako.
 
Kwa vile nchi yetu ni ya vibaka hakuna anayejali kumbana mbavu akaeleza alivyopata huo utajiri wake unaomtumia badala ya kuutumia. Kuna siku huenda tutatapa mtu mwenye udhu aingilie kati. Maana hali ikiendelea hivi kuna uwezekano wa kuingia vitani.
 
Kama anafanya biashara halali haina tatizo,,,tumwache atumie jasho lake.Lakini kama ni kinyume na hivyo tuna haki ya kuhoji.

Hakuna biashara halali aliyoifanya huyo ya kupata fedha za kuchezea namna hiyo, AS HIS NAME IMPLIES, Mosha, MUSHI, MASAWE, TEMU,.....,.....,...?! Chezea watu hawa wewe? I'm in doubt!
 
Back
Top Bottom