Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

Gari ya bei kubwa zaidi dunia ni Bugatti Veyron Super Sport inayogharimu $2,400,000 (Tshs 3.84 billion); na Lamborghini Reventon ni ya nne kwa bei ya $1,600,000 (Tshs 2.56 billion); na bei zote hizo ni kwa gari mpya, siyo mtumba.

Source: http://www.thesupercars.org/top-cars/most-expensive-cars-in-the-world-top-10-list/
Hivyo ya pedeshee Mosha ni Lamborghini ya na kainunua kwa mtu (Yusufu Bakresa) kwa Tshs 1 billion ambayo 39 % ya bei ya Lamborghini Reventon mpya!!!!

View attachment 59512


lamborghini-reventon-side-view-thumbnail.jpg
 
Kama kuna baadhi ya viongozi wa Yanga wa ngazi zingine walikuwa wanalalamika kutokulipwa pesa zao.......yeye ndo aibuke na faranga kwenye hiyo nyanja, tena kihalali?? Hapana NO!!

Hapo in red,
Sikatai kuwa kuna watu wenye pesa na wengine wanaweza kuwa wamezipata kiuhalali.
But, why wengi wali 'lay low' baada ya maneno ya EPA.....as per your say?
Nitajuwa ufisadi umegeuka kitu kibaya na cha ajabu kama ccm ikiangushwa,tofauti na hapo,nina wasiwasi umeloose touch na taifa lako.Kuna realities pia ambazo wabongo ka washazikubali flani hivi.Kulay low ni obvious ili kusiwepo maneno,kwani issue iliishia wapi?as far as I know,ni kijikafara flani kwa yule mzee wa red cars,wakakarabati mahabusu,wakawapumzisha yule muhindi na Mramba mahubusu nadhani keko,sasa stori ishakufa ni Ulimboka.

Ila pia mwizi kama hajakamatwa,haina maana kwamba hakuiba,ndo bongo hiyo,nothing more nothing less...
 
Zikiwemo za magendo!

Kipipi,

Mwambie Manuu aache kudakia mambo,it's not easy to farm and buy that porsh car . Huyo kijana has connections with the family of President Jakaya Mrisho Kikwete.
Ndiye kawafundisha hao akina Ritz one na Babake biashara that means anafanya hizo deals with full blessings za Dhaifu.
Ukitaka kumkamata Dhaifu just make thorough tax audit and history of the types of Mosha and then utajaza. Last time I told you JF that the money they have is mixed from Gvt coffers and dubious deals. Nasikitika JK has turned his family into a drug cartel ngoja akiondoka 2015 ndipo mtanikumbuka!

Yote yanayongaa sio dhahabu. Kijana kununua gari ya 600,000 USD must be with a head out of coconut kwani Huko alikulia watu wana shida gunia stupid boy?....?

Shule hakwenda that is the problem sasa hao ndio washauri wa JK what can Dhaifu do?.
 
Hivi hizo bei zenu za magari huwa mna-quote kutoka wapi mbona zinakuwa kubwa mno kutokana na uhalisia wenyewe angalia hapo bei za lambo http://www.autotrader.co.uk/search/...ice-from/30000/onesearchad/used,nearlynew,new (na hiyo tena kama unasafirisha unadai vat yako kwa maana hiyo ni cheaper zaidi).

Hivi huyo mwandishi anajua hata mshahara wa Rooney kwa wiki? hadi Lambo imsumbue kichwa au hata lowest wage ya mchezaji wa Man Utd, hivi mbona vitu vidogo sana kwao wao.
 
ARY, september2007 plate number zilikuwa ASW.Kwa hiyo huu ni mtumba wenye almost five years if at al it was newly imported. An old story? i can guess, yes! though the car looks good n expensive
 
Huyu hajawekeza kwenye siasa,kawekeza kwenye biashara,ndiye mwenye kituo cha mafuta pale sinza mori,pia anamiliki magari ya kusafirisha mafuta huko kibaha na chalinze,jamaa anae pesa bwana.

Si tuliambiawa humu JF kuwa hicho kituo cha mafuta cha Ridhiwan.
 
Kitu kinachokushindwa kuelewa ni kuwa magari hayo yanapokuwa ya mtumba yanakuwa ni rahisi sana, kama unabisha "google" halifiki kabisa bei hiyo usitake kuchakachuwa.

Hivi kwanini mnapenda kusema uongo?
 
Mnashangaa nini kama ana asset za kutosha si analamba mkopo alafu anarekebisha.Hivi hamjui matajiri ndio wanaongoza kwa mikopo mikubwa ktk mabenki?Asset tu ndio kitu cha kwanza kuongeza utajiri wa mtu.
 
Mama mdogo,

Bei ya Bugatti Veyron ni kubwa zaidi ya hiyo. Wengine wanasema ni zaidi ya Milioni kumi US $.

Kiwanda cha VolksWagen (People's Car) huwa wanatengeza ili kuonyesha UBABE kuwa wakitaka, wanaweza.

Hupunguza bei kwa makusudi ili watu wanunue kirahisi ikiwa na maana wanauza kwa hasara.

Hii hupelekea KAMPUNI na MASHIRIKA yote duniani KUGOMA kutoa BIMA ya aina yoyote kwa hili gari. Wanagoma kwa sababu ukitaka kuweka bima, utasema umenunua kwa hiyo bei wakati likiharibika, wanaenda pambana na Spare parts ghali mara tano ya bei hiyo.

Ndiyo maana wananunua watu ambao pesa kwao si tatizo. Pia ulaji mafuta wa hii Veyron si mzuri kabisa kwani linafikisha hadi zaidi ya 500 Horse Power, nguvu inayotosha kuzalisha umeme wa kutumika hapa Sikonge pote.
Gari ya bei kubwa zaidi dunia ni Bugatti Veyron Super Sport inayogharimu $2,400,000 (Tshs 3.84 billion); na Lamborghini Reventon ni ya nne kwa bei ya $1,600,000 (Tshs 2.56 billion). Bei zote ni kwa gari mpya, siyo mtumba. Hiyo ya pedeshee Mosha ni Lamborghini ya na kainunua kwa mtu kwa Tshs 1 billion ambayo 39 % ni Lamborghini Reventon mpya!!!!


View attachment 59512


View attachment 59513
 
wakuu jf,mosha hajapata pesa kwa jasho lake,anasimamia miradi ya riz1 kikwete!subiri 2016 kama atakua ndiye yeye
 
Kuna watu wanaishi bwana apa bongo, sie wengine tunaigiza tu
 
Back
Top Bottom