Kweli sisikii

Dogo alkua mwenyewe kutoka Tanga kwenda Moro.
Dogo: (akamwambia konda)tukifka Segera unambie maana sipajui
Konda: Poa dogo ucjal.!
Baada ya mwendo mrefu dogo akauliza kama ameshafka Segera?
Konda:(kwa ukal akamjibu)We dogo vipi si tunakaribia Chalinze,Segera tumeshapita kitambo..
Abiria:Kwa huruma wakamuomba dereva arudi tena Segera.
Baada ya muda kdogo wakamwambia dogo ashuke coz ameshafka Segera
Dogo: Me nliambiwa na mama nkifka Segera nianze kula maandaz yangu...!

Hawa watoto wa kizazi cha jakaya kila kitu wanafanya kama Jk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom