Kweli sisikii

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kuna Mzee alikuwa kila akiweka wine yake akija kuinywa tena anakuta ladha imebadilika! Akaamua weka mtego, siku 1 akanywa wine kidogo akaacha akatoka yeye, mkewe na hausegal wakamwacha houseboy nyumbani, huku nyuma houseboy kama kawa kajipindua kanywa wine kidogo kajaza maji kufidia! Mzee kurudi kuonja wine akaanza kufoka house boy kuona vile akakimbilia banda la kuku! Mzee ita sana "Wee Juma, Juma!" houseboy kala bati! Mzee na mkewe wakaenda hadi banda la kuku!
Mzee: We Juma c nakuita wewe!
Juma: Sikusikia mzee!
Mzee: Yaani ww upo bandani mi naita wajidai hausikii? Inawezekanaje?
Juma:Kweli baba ukiwa bandani husikii mtu akiita! Kama wabisha ingia uone!
Kweli Mzee akaingia Juma akabaki nje, Juma akaanza payuka "Eti Baba nani anatembea na Housegal humu ndani?" Mzee kimya! "Baba nauliza nani anatembea na Housegal?"
Mzee akatoka kweli Mwanangu kumbe ukikaa humu usikii kitu! Haya kaendelee na kazi Mwanangu!
 
Dogo alkua mwenyewe kutoka Tanga kwenda Moro.
Dogo: (akamwambia konda)tukifka Segera unambie maana sipajui
Konda: Poa dogo ucjal.!
Baada ya mwendo mrefu dogo akauliza kama ameshafka Segera?
Konda:(kwa ukal akamjibu)We dogo vipi si tunakaribia Chalinze,Segera tumeshapita kitambo..
Abiria:Kwa huruma wakamuomba dereva arudi tena Segera.
Baada ya muda kdogo wakamwambia dogo ashuke coz ameshafka Segera
Dogo: Me nliambiwa na mama nkifka Segera nianze kula maandaz yangu...!
 
ha ha ha ha.hapo dogo cjui kilichompata.
 
Hata kama ni mimi sitasikia kabisa, tehe tehw tehe.
 
Dogo alkua mwenyewe kutoka Tanga kwenda Moro.
Dogo: (akamwambia konda)tukifka Segera unambie maana sipajui
Konda: Poa dogo ucjal.!
Baada ya mwendo mrefu dogo akauliza kama ameshafka Segera?
Konda:(kwa ukal akamjibu)We dogo vipi si tunakaribia Chalinze,Segera tumeshapita kitambo..
Abiria:Kwa huruma wakamuomba dereva arudi tena Segera.
Baada ya muda kdogo wakamwambia dogo ashuke coz ameshafka Segera
Dogo: Me nliambiwa na mama nkifka Segera nianze kula maandaz yangu...!
Haaaaa haaaa haaaaaa!uwiiiiiiiiii!namshukuru konda hakukatia mkwenzi hako ka dogo!ila imenikumbusha mabli sana!
 
Back
Top Bottom